Kiukweli hili ni kundi kubwa sana sema kisiasa Wapinzani hawalipi Umuhimu unaostahili.
Kundi hili limeathirika kwa muda mrefu sana toka kipindi cha Magufuli takribani Miaka 10 kuna watu...
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa kimeshafanya mazungumzo na vyama vingine vya upinzani kwa lengo la kuungana na kuikabili Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi ujao.
Kauli hiyo imetolewa...
Wakuu,
Haya ndio maazimio ya mkutano wa SADC na EAC kuhusu mgogoro wa DRC, na moja ya walichoazimia ni Mkutano wa SADC na EAC waazimia kuondoa vikosi vya kigeni visivyoalikwa katika ardhi ya DRC...
MAFAO YA KIINUA MGONGO; WABUNGE WANAOGELEA.
Kiinua mgongo kwa mbunge mmoja wa Bunge la Tanzania ni Sh272 milioni baada ya kipindi cha miaka 5 akihudumu kama mbunge wa Bunge la Tanzania.
Jumla ya...
Wakuu
Baada ya mapumziko ya mwisho wa wiki, leo mkutano wa 18 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika kikao chake cha 10 linaendelea ambapo baada ya Kipindi cha Maswali na Majibu...
Natamani sana kusikia ambacho alizungumza samia katika huu mkutano wa Sadc. Tusikie nasi rais wetu alitoa mchango gani au alishauri nini. Haya mambo ndo unatamani angekuwepo Nyerere au Mkapa...
Ni Sera ya NGOs nyingi za kimataifa nchini kusafirisha staff/wageni kwa ndege (preferably ATC) kwa ajili ya safety/usalama. Sasa kimeumana tayari watu wapo home wiki ya pili ATC mjipange na...
Wanajukwaa heshima iwe kwenu.
Hivi kweli wenye mapenzi mema wanashindwa na walaghai na wafitini wenye kumshikilia Mzee Slaa na kumnyima dhamana kusiko haki?
La Hasha,
Mbinu hizi zitumike...
Kama kawaida wataalamu wa siasa yaani political scientists matokeo yakitoka ya chaguzi hufanya tathmini.
Uchaguzi wa Chadema Lisu alijiandaa barabara .Kuwa hata angeshindwa wangegawana mbao na...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewajibu vikali wanaodai kuwa hakuna kilichofanyika tangu Tanzania ipate uhuru, akisema kuwa kauli hizo zinatokana na...
Nina takribani siku ya tatu wilayani chato pahala nilipopachagua kufika kufanya utafiti dhidi utimamu wa akili wa Raisi wa Tanzania kabla hajawa raisi
Nikiwa kwenye utafiti wangu nikajikuta...
Wananchi zaidi ya 1000 wanaoishi katika kijiji cha Mavimba Kata ya Milola Wilayani Ulanga Mkoani Morogoro wamebaki bila makazi baada ya Mvua iliyoambatana na upepo mkali kubomoa Nyumba zaidi ya...
Wakuu,
Wakati napita pita zangu mitandaoni nimkeutana na hili bandiko linaloonesha kiasi cha pesa ambacho Marekani iliipa Tanzania mwaka 2023 kama msaada.
Inawezekanaje kwamba tulipewa msaada...
90% chaguai nyingi zinagubikwa na rushwa kuanzia ndani ya vyama na nje ya vyama .
Wagombea wengi huwatumia viongozi katika serikali za mitaa ili kupenyeza rushwa zao kwenda kwa wananchi hili...
Waziri wa Elimu ndugu Mkenda katika hotuba yake ya uzinduzi wa Mtaala mpya wa elimu ametoa kali ya mwaka pale aliposema kuwa Yeye na timu ya wataalam walipata ugumu kuonana na Rais ili wampatie...
Chama cha mapinduzi CCM wilaya ya Mbarali kupitia Jumuiya ya umoja wa wanawake Tanzania UWT, imefanya maadhimisho ya miaka 48 ya chama Cha mapinduzi kwa kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Iringa vijijini kupitia kwa Katibu wake Sure Mwasanguti wametoa onyo kali na la mwisho kwa baadhi ya watia Nia wa nafasi ya Udiwani na Ubunge wanaojipitisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.