Watanzania wanakabwa kulipa kodi kila sehemu kodi, Ukigeuka kushoto kodi, Kulia kodi mpaka vichwa vinawauma!
Wamam wajane, masikini waliofutiwa bima ya afya kwa watoto wao, Walionyimwa madawati...
Wananchi wa Ileje kutoka Ikinga, Isongole, Ngulilo, Ndola, Luswisi na Itale kwa pamoja wameonyesha uzalendo wao kwa kumchangia gharama za kuchukua fomu ya ubunge. Msomi Dr Ntimi Mtawa ili agombee...
Kwa mujibu wa katiba yetu ,rais aliyepo madarakani ikitokea kapata dharula ya ugonjwa ambao hawezi Tena kuhudumu kama rais wa nchi ama kupatwa na umauti basi makamu ndiye atarithi nafasi yake...
Leo tarehe 12 Machi 2025 Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad ametoa mafunzo ya Uongozi kwa Viongozi wa Chama wakiwemo Wajumbe wa Kamati Kuu...
Jana, kijiji cha Lekurumuni kilikumbwa na upepo mkali ulioleta uharibifu mkubwa, ukiwaacha wananchi wakiwa katika hali ya hofu na wasiwasi. Upepo huo, ambao ulikumba wilaya ya Siha mkoani...
Wakuu
Yaani gari wanunue wao CWT alafu RC Kilimanjaro kaenda kuzindu tu!
==
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Bwn. Nurdin Babu akizindua gari la chama cha walimu Moshi manispaa wakati wa Kliniki ya...
Leo tarehe 12 Machi 2025 Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad ametoa mafunzo ya Uongozi kwa Viongozi wa Chama wakiwemo Wajumbe wa Kamati Kuu...
https://www.youtube.com/watch?v=It3WB1-ceDw&ab_channel=JAMBOTV
Isihaka Mchinjita - Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo ACT Bara
"Kama tulikuwa tunasubiri kuona maneno ya Rais Samia ni ya kweli au...
Nimejaribu kutafakari kwa kina sakata la bodi ya ligi kuhairisha mechi ya Yanga dhidi ya Simba baada ya Simba kufanyiwa figisu za kuzuiwa kutumia uwanja wa taifa siku moja kabla ya mechi.
Hivi...
Rais ametoa tamko rasmi kuwa serikali imesaini (itasaini?) mkataba wa kununua umeme kutoka Ethiopia ili kuondoa kama sio kupunguza kabisa tatizo la umeme kukatika katika ovyo katika mikoa ya...
Hii ni taarifa rasmi kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, ikitangaza uteuzi wa viongozi mbalimbali uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Wakuu Hii ni kwamba Wananchi wamefanyishwa sherehe ya kukamilika ujenzi wa kituo cha afya, wananchi ni kama wamepewa maelekezo ni cha kusema. Hii ni sehemu ya ajenda ya kumpigia kampeni ya mitano...
Wakuu,
Kamati ya Ushauri ya Wilaya Missenyi mkoani Kagera (DCC), imepitisha azimio la kubadili jina la Jimbo la Uchaguzi la Nkenge na kuitwa Jimbo la Missenyi, ili kuleta muunganiko wa kiutawala...
Sijawahi kujivunia Utanzania Wangu
Nakumbuka nyimbo za shule za kipindi kile tulizokuwa tukiimba kwa furaha na bashasha.
Tukiwa tumevalia uzi mweupe na bukta za blue, tuliimba “Mungu ibariki...
Wakuu,
Hivi CCM wanapojitambaga kwamba wana wanachama Milioni 10, hawa wanachama likija tukio kubwa la kitaifa, huwa wanaendaga wapi?
Au hawa wanachama wote hawana simu na devices za...
Mkoani Ruvuma kuna kijiji kinaitwa mlilayoyo ambacho kipo wilaya ya Namtumbo kihuduma za kiserikali. Lakini cha ajabu kutoka hapo kijijini kuelekea Mamtumbo hqkuna gari ya kwenda halmashauri ya...
Wakuu,
Kama picha zinavyojionesha Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Amos Makalla ameongoza ujumbe wa NEC ya CCM katika ziara yake nchini China.
Makala alikutana na Mkurugenzi Mkuu...
Nataka nitangaze kuwa naunga mkono msimamo wa Chama cha CHADEMA wa NO REFORMS NO ELECTION na pia nauunga mkono uongozi wa sasa wa CHADEMA wa Mwenyekiti Lissu na Makamu wake (bara) John Heche...
Wakuu,
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Felchesmi Mramba amesema uamuzi wa Tanzania kuchukua umeme Ethiopia ni kitu chenye faida na si hasara kama watu wanavyodhani.
Mramba amesema ni faida kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.