Uongozi wa Shule na Wanafunzi wa Sekondari ya Wasichana ya Nachingwea iliyopo Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi, wamemshukuru Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa kwa kuwapa kiasi cha Shilingi...
Wakuu,
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, wamepokea, kujadili na kupitisha pendekezo la kugawa Jimbo la Solwa, kuwa na majimbo mawili ya uchaguzi ambayo ni Solwa na Itwangi...
Wakuu,
TAARIFA KWA UMMA
Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, imefanya kikao chake maalum jana tarehe 10 Machi, 2025 jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Wakuu
Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey ameendelea kusisitiza kuwa Uchaguzi Mkuu uko pale pale
Tunafanya uchaguzi miaka yote sio kwasababu ya TAMKO au MATAMKO...
Kamati Kuu ya Chama hicho imeamua kuwe na Kurugenzi ya Mambo ya Nje na Diaspora na kuwe pia na Kurugenzi ya Mawasiliano na Uenezi.
Hapo Awali kulikuwa na Kurugenzi ya Mawasiliano, Itifaki na...
Hivi sasa tatizo la kukatikakatika umeme jijini Dar es Salaam limekuwa kubwa, hii huenda inatokana na umbali wa bwawa la Mwalimu Nyerere lilipo kitu chochote kikisafiri mbali huhitaji mapumziko...
Iko hivyo na haitakuja kubadilika, Fuatilia Makongamano yote ya Mamluki yanayofanyika leo, halafu linganisha na Kongamano la Chadema linalofanyika Mlimani City, Utanishukuru.
Taasisi ya Tulia Trust Chini ya Mkurugenzi wake ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt...
TRA YAVUNJA REKODI YA MAKUSANYO MIAKA 4 YA SERIKALI YA AWAMU YA 6
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda leo tarehe 12.03.2025 amewasilisha mafanikio ya TRA kwa...
1. Kwa siasa zetu zilivyo hawa CRDB ni vizuri wakaanza mchakato wa kupata boss mpya ifikapo Oktoba 2025.
2. Ukifuatilia matukio makubwa ya kitaifa hivi Karibuni utapata jibu kuwa kituo...
Leo, Jumatano Machi 12.2025 kesi za kupinga matokeo na mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji uliofanyika Novemba 2024, zilizofunguliwa na chama cha ACT Wazalendo zinaanza...
Naona anayesaini taarifa zote za Kamati za Kamati kuu na Halmashauri Kuu ni Issa Haji Ussi (GAVU)
Je, Yuko Wapi Amos Makalla Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa?
Ni vile tu Watanzania wengi ni wajinga na sio wasomaji sana wa vitabu na wafuatiliaji wa masuala ya nchi yao.
Mlioshtuka leo kuhusu habari ya Tanzania kununua umeme nje kwa ajili ya matumizi ya...
Sina cha kusema
Wauzaji wa dawa za kulevya watakupiga fitina kupitia kwa wanasiasa wenye ushawishi kwa Rais nawe utatupiliwa mbali
Hao uliowaweka hadharani wapo kwenye mnyororo wa vigogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.