Tuliwaambia CCM haina kiongozi mwenye pure intelligence yaani AKILI NA UTASHI wa kubadili resources za Tanzania kuwa hela . Ni Majanga hilo Taifa.
Huyu Biteko aliingia kwenye Uwaziri na...
Tanzania ya kesho haitajijenga yenyewe – inajengwa na sisi, vijana wa leo. Katika dunia inayobadilika kwa kasi, hatuwezi kuendelea kuwa watazamaji wa hatima yetu. Lazima tuamke, tutafakari, na...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameonesha heshima na kumkumbuka Profesa Philemon Sarungi kama mtu mwadilifu na mtumishi wa umma aliyeitumikia nchi kwa...
Nimeshangaa sana na huu mpango wa kununua umeme kutoka Ethiopia.
Mnannua umeme wakati mnazalisha zaidi ya mahitaji ya ndani maradufu.
Kwa nini umeme usishuke bei? Maana tulitegemea Bwawa la...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kusaini mikataba ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini ili Mikoa hiyo ipate umeme wa uhakika...
Yeye ndie na hakuna mwenye mamlaka juu yake na uwepo wake unadhihilika bila shaka wakuu wangu na waungwana sana wana JF ( sio machawa).
Wana JF amani ya Bwana na ikawe juu yenu popote mlipo kila...
Bila shaka hakuna asiyejua madhara ya TANESCO, iwe mjini au kijijini, awe kiongozi au raia asiye na cheo, awe kijana au mzee, awe msomi au asiyeenda shule kabisa, awe mwenye kiwanda au mmiliki wa...
Tanzania ni muungano wa nchi mbili Tanganyika na Zanz. Bara mtu ana huru wa kula wakati wowote kipindi cha ramadhani lakini Zanzibar hairuhusiwi na mtu akifanya hivyo kuna sheria ya kubana. Je...
Tundu Lisssu alisema kwamba atahakikisha anaweka ukomo wa viti Maalum.
Punde si punde nyinyiemu nao wakasema nao wamechoka viti Maalum.
Siku zote Tundu Lissu yupo Mbele. Ni kama maji...
Mara nyingi viongozi wakigusiwa jambo hili hutoa wito kwa mashirika mengine ya umma kuongeza ubunifu na uzalishaji ili nao walipane vizuri.
Kuna mashirika ya umma
Kuna taasisi za umma
Kuna...
Kuanzia saa 11 unusu jioni hii imepita mvua kidogo tu Arumeru-Arusha umeme umekata, jamani hii miundombinu imejengwa na nini? Hii ni aibu! Kwa hiyo gizani mtindo moja
Wakuu,
Wameona wamtengee kabisa Tulia jimbo asipate tabu ya kusumbuana na Sugu, maana wanajua ataibika!
====
Halmashauri ya Jiji la Mbeya imependekeza kuanza mchakato wa kuchunguza na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri, Wakuu wa Wilaya na viongozi wengine katika serikali za mitaa kutoa taarifa mapema kama wana...
Nafahamu kwa Mada za Nyama choma ya Makonda kule Arusha ziko nyingi sana humu JF, % kubwa za mada hizo zikiwa ni za kusifia, hili la kusifia chakula cha Bure si geni kwa Wabongo kutokana na dhiki...
Nukuu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) Ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma, leo tarehe 11 Machi, 2025
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC) imefanya mkutano muhimu chini ya Mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan, kujadili masuala mbalimbali yanayohusiana na maendeleo ya chama na uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.