Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ally Hapi, amesema kuwa ili vyama sita vya siasa vilivyoshiriki harakati za ukombozi katika nchi za kusini mwa Afrika viendelee...
Kikundi cha 'Wanawake shujaa' wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya wamechangia fedha zaidi ya shilingi milioni moja za Kitanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea...
Mwisho wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ndio mwanzo wa uchaguzi mkuu na hapa nazungumzia wa 2025 ambao tuna Imani mgombea wa CCM atakuwa ni Dkt. Samia Suluhu, Rais wa JMT na Mwenyekiti wa CCM...
KABENDERA ANADAI BEN SANANE ALIUAWA NA 'BWANA MKUBWA'!
Mwishoni mwa mwaka 2020, nilipata ujumbe mzito kutoka kwa Rais Magufuli kupitia kwa mtu wake mmoja ambaye jina lake linatunzwa. Rais...
KAZI KUBWA KWA MAENDELEO MAKUBWA.
Mwaka 2025 ni mwaka wa kutangaza matokeo ya kazi iliyofanywa na CCM na Rais Samia ambayo ni kubwa sana na itachukua muda mrefu kuielezea lakini hata kipofu...
"Mikingamo... Sasa vita vimetangazwa jama, wananchi wote tuwe imara, vijijini na mijini tusisite kuwafichua wahujumu na walanguzi"
Nini kulikuwa chimbuko la kuanzishwa kwa vita dhidi ya wahujumu...
https://youtu.be/cQ8my9Fu7jU?si=8G2_TzDMHKYELqgD
➡Huyu hapa ni Mkurugenzi Mtendaji wa asasi ya kiraia ya kulinda na kutetea haki za binadamu - Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC)...
Mhazini wa TATOA ambacho ni chama cha wenye malori Tanzania amemwita Magufuli ni mtu asiyejua na ambaye ana chuki kubwa kwa transporters na angeweza angewaondoa wote nchini kwa tuhuma za...
Taarifa hii kabambe na ya Kusisimua imetolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu kwenye Kongamana, Wanawake la Kidunia lilofanyika Kitaifa Mlimani City D'Salaam.
Jambo hili likifanyika...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania...
Viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.
Erick Kabendera ndio habari ya mjini kwasasa!
Kwenye kitabu chake hiki kipya, licha ya kuzungumzia masuala ya mauaji ya Ben Saanane yaliyofanywa na Hayati Magufuli, pia amejadili mambo mengine...
Wiki jana kitabu cha mwandishi Erick Kabendera kinachomhusu Rais Magufuli ndo kilikuwa habari ya mujini, at least humu kwenye viuchochoro vya kwenye mtandao.
Kitabu chake hicho kina madai makubwa...
Nimetafuta sana press conference ya ACT Wazalendo waliyofanya jana jioni kuhusu ukamatwaji wa Abdul Nondo iliyoongozwa na kiongozi mmoja wa ACT. Nimebahatika kuipata ikiwa imerushwa na ICON TV tu...
Wakuu,
KUTEKWA KWA MWENYEKITI WA NGOME YA VIJANA NDUGU ADBUL NONDO
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Ndugu Abdul Omar Nondoametekwa asubuhi hii na watu wasiojulikana akitokea mkoani...
Tumejulishwa kuwa Mwenyekiti wa Vijana Taifa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo amefichwa kituo cha polisi Gogoni, Kibamba Dar es Salaam.
Tumefika Kituoni, ingawa Polisi wamekataa, tumekuta...
Jeshi la Polisi limekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai gari lililoegeshwa Kituo cha Polisi Gogoni limehusika na tukio la utekaji wa Abdul Omary Nondo katika Kituo cha Mabasi cha...
Kikundi cha 'Wanawake shujaa' wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya wamechangia fedha zaidi ya shilingi milioni moja za Kitanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea...
Kila shetani na mbuyu wake, huyu Rais wangu mpendwa huwa napenda sana kusikiliza hotuba zake, ni za utulivu, lugha rahisi kueleweka, hafokifoki ujumbe murua unatoa matumaini makubwa...
Wakuu , nimeona wengi tukiendeshwa na mihemko kuhusu kitabu cha Kabendera, wengi tukidhani kuwa jamaa aliandika tu kwa kukurupuka na kwamba hajui alichokiandika na hana ushahidi.
Nimefanikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.