Team Lowassa inatumia Akili kubwa Sana
Sitashangaa Bashe akiwa Waziri mkuu na Pascal Mayalla akipata Ule Ukurugenzi alioukosa baada ya Laigwanan kukatwa
Siasa ni Sayansi 😂
Mlale Unono
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Ametuma salamu kwa Wanachama wote wa CCM nchi nzima na kuwakumbusha kujiandikisha kwenye daftari la...
Jeshi la Polisi Tanzania latajwa miongoni mwa Majeshi Bora yanayotumia Uweledi kwenye utendaji wake.
Tanzanian Police imeshika namba 9 kwenye 10 Bora huku Majirani zetu hakuna hata mmja...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Kibiti, mkoani Pwani Mohammedi Seif amejitokeza hadharani na kueleza msimamo wake kuwa anamuunga mkono Freeman Mbowe katika...
𝐃𝐊𝐓 𝐒𝐀𝐌𝐈𝐀 𝐀𝐓𝐎𝐀 𝐓𝐀𝐇𝐀𝐃𝐇𝐀𝐑𝐈 𝐙𝐀 𝐌𝐀𝐓𝐔𝐌𝐈𝐙𝐈 𝐘𝐀 𝐀𝐊𝐈𝐋𝐈 𝐌𝐍𝐄𝐌𝐁A 𝐊𝐈𝐏𝐈𝐍𝐃𝐈 𝐂𝐇𝐀 𝐔𝐂𝐇𝐀𝐆𝐔𝐙𝐈
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa tahadhari kwa wana CCM...
Mimi nikiona mtu analaumu wasanii kwenda kwenye events za CC EM kufanya show huwa namshangaa sana!!Wasanii ni wafanya biashara, wame invest kwenye hiyo biashara ya muziki na wanahitaji return…...
Courtesy: Mwanahalisi online TV
In summary:
1. Amkemea mwandishi kwa kusisitiza kuwa, serikali ilishafanya mabadiliko waliyoyataka ya kuundwa "Tume Huru ya Uchaguzi". Yeye amkemea na...
Mbunge wa Ushetu na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias John Kwandikwa amefariki dunia leo hii wakati akipatiwa matibabu jijini Dar es Salaam.
CURRICULUM VITAE – (CV)
SURNAME...
..Press conference ya kwanza hii hapa.
https://www.youtube.com/watch?v=lFV-oPTTN28
..Press conference ya pili hii hapa.
https://www.youtube.com/watch?v=Eidcj4OZ5AI
CC Erythrocyte , Tindo...
Wakuu,
Kuna kituko cha kufungia mwaka huku :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
Pia soma: LIVE - Kuelekea 2025 - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Watu...
https://www.youtube.com/live/ayxulwI31K4?si=kqdYhKIBgFkjxq0k
Hatimaye wenyeviti na Makatibu WOTE wa MIKOA wamekutana kwa pamoja ili kutoa msimamo Wao kuelekea Jan 21.
Fuatilia jf kwa habari za...
Tundu Lisu amesema yeye siyo Mropokaji ndio sababu Kuna Siri Kuu za Chadema na Uchafu wake amezihifadhi moyoni
Lisu amesema SIRI hizo alizisema Kwenye kamati Kuu na zimerekodiwa ila wanaogopa...
Prof Janabi anatosha WHO. Nashauri timu ya kampeni iwe na watu wenye exposure ya Kimataifa haswa. Huku Peramiho tunawaunga mkono.
PIA SOMA
- Ikitokea tukapewa nafasi nyingine, Prof. Janabi...
Chama ni watu na watu ni chama.
Mbowe na Genge lake Kwa kuwasikiliza tu ni watu wabinafsi, walotanguliza Mali , watu wasojali wanachama wao na gharama ambazo wanachama wanalipa...ndio Sababu kwao...
Hivi Chadema wamerogwa?! Mbowe hasa karogwajwe?!
Kinachoendelea Chadema ni zaidi ya Isidingo, the need!
Naanza kupatwa na wasiwasi, hawa Chadema ama watauana ama watatwezana pakubwa!
Mbowe jitu...
Ndugu zangu Watanzania,
Hakukaliki wala wananchi hawataki kabisa kutulia .wananchi wamegoma kabisa kusubiri muda wa kuchukua Fomu ufike, wananchi wamegoma kabisa kujizuia furaha zao zilizo jaa...
Ni Rai yangu. Maana utamaduni umekuwa hivyo kwa muda mrefu na taratibu taratibu inatakiwa kuuelewa na nadhani ni vema tukazoea.
Heka heka zipo na zitakuwepo lakini hiyo ndiyo hali halisi.
So...
Haki ya kuchagua (au kuomba kuchaguliwa kuwa) kiongozi ni haki ya msingi ya kila mwanachama wa CCM. Haki hii ni ya kikatiba na kikanuni.
Kwa kawaida, watendaji wa chama hutangaza kufunguliwa...
Kitendo cha CCM kupitisha wagombea wao kabla ya kipenga kupigwa na kinyume na katiba yao, kinatia shaka.
Je kuna mgawanyiko na kutoelewana kwenye chama cha machawa?
Je wamefanya hivyo kuogopa...
Kwa namna yoyote ,Ununuzi ni lazima ufuatishe Sheria ya Ununuzi wa Umma ya Mwaka 2023(R.E), ACT NO. 10 pamoja na kanuni zake Na. 518 ya mwaka 2024.
Aidha, Kwenye Sheria ya Ununuzi wa Umma, PPP...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.