Nimefuatilia mitandaoni na nimejiridhisha kuwa kile Chama tulichowahi kukifikiria kuwa ni mbadala wa CCM hakina watu wenye uwezo au credibility ya hata kugombea Uongozi wa nchi hiii.
Kama...
Moses Mgao, Mwenyekiti CHADEMA Jimbo la Kibaha Mjini amesema haya akiongea na waandishi wa habari
"Napenda kutangaza rasmi, sisi wanachama wa CHADEMA kutoka Mkoa wa Pwani na hasa watu wa Kibaha...
Tumetoka kwenye ukweli na haki tumeingia kwenye mfumo wa udanganyifu ambao ni mfumo usiokuwa na maana yoyote hali inayopelekea nchi kuonekana kama ni ya kidemokrasia kwa nje lakini ndani yake sio...
Utamaduni wa kujiuzuru kwa viongozi wa CCM haupo na haujawahi kuwepo.
Tunapoona kiongozi yoyote wa CCM anaomba kujiuzuru basi kwa 100% tunajua ni shinikizo kutoka ndani sana likiratibiwa na mfumo...
Yakiwa yamebakia masaa kadhaa uchaguzi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (@ChademaTz) ufanyike, nafasi ya Mwenyekiti ni lipi chaguo lako kama ungekuwa ni mpiga kura kwenye uchaguzi huo?
Hali iliyopo ya uchaguzi tarehe 21.1.2025 inaweza kukiua chama ambacho ni tegemeo la watanzania upande wa upinzani.
Ni mbowe tu akicheza vizuri siasa na akamtanguliza Mungu na maslahi ya chama...
Kama kuna mstaafu wa kisiasa utavutiwa kusoma maoni yake pindi afanyapo mahojiano na waandishi wa habari ni Prof. Joseph Mbwiliza.
Huyu ni mbunge wa zamani wa Kasulu kabla ya kugawanyika na...
Ulipata Uwaziri baada ya kupendekezwa na Wana JF, lakini bila shaka kiwango chako hakikuridhisha. Ulipewa na Ubunge wa bure ule wa Jiwe 2020 lakini sasa mbeleko imetoboka .
Tunakutakia Kila la...
Sioni cha maana zaidi ya wao kupiga mipicha tu.
Labda kama kuna aliyeelewa hawa wasanii wa sijui bongo fleva na movies kwenye huu mkutano wa ccm kazi yao kubwa ni nini anieleweshe.
Guys I am informed there’s a guy shooting randomly near Stanbic Bank, anyone with more news?
Inadaiwa kuna watu wameuawa. Ni Karibu na Makao Makuu ya Stanbic.
========
Mtu mmoja ambaye...
Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.
Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio...
Mpo salama Kabisa!
Kuna Jambo linashangaza Sana.
Asilimia kubwa ya wafuasi wa Magufuli wanamuunga Mkono Tundu Lisu licha ya kuwa Wawili hao walikuwa mahasimu Wakubwa.
Lakini Leo hii wafuasi hao...
Wakuu,
Akiwa anazungumza kwenye mdahalo ambao umeandaliwa na Chief Odemba hivi karibuni, kada wa CHADEMA, Yeriko Nyerere amesema kuwa siku Mbowe akiwa kwenye machela anaumwa ndio siku watamuua...
Wanashindana Sasa kuleta threads za kilichojili Dodoma. Awali walisema huko hakutrend, hakuna habari ya kuchukua lakini ajabu servers zinajaa sababu ya threads zao zihusuzo Dodoma.
Aisee hili...
1. Lissu na Heche watapokea barua na salamu za pongezi kutoka kila upande.
2.Wale ambao wako kimya mpaka sasa watatangaza kuwa walikuwa upande wake siku zote.
3. Sehemu kubwa ya sekretariati...
Kwa namna Viongozi wakubwa wa Chadema Mh Ntobi na Mwanasheria Yeriko Nyerere walivyoanika hadharani SIRI za kwanini Tundu Antipas Lisu Hafai kuwa Rais wa JMT ni Wazi Rais Samia hana Mpinzani...
Nimeiona kwny JF twitter:
=========
UPDATES:
Waliofukuzwa Uanachama wa CCM kuanzia leo:
1. Sophia Simba
2. Ramadhan Madabida
3. Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa
4. Mwenyekiti wa Mkoa wa Mara na
5...
Sababu za kumchagua tena Mbowe
1. Uzoefu wa Uongozi
Mbowe amekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa muda mrefu na ameiongoza chama kupitia changamoto nyingi, ikiwa ni pamoja na kushuka kwa ushawishi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.