Mwenyekiti alijaribu kuwaleta karibu team Msoga na kuwatimua team JPM, lakini akausoma mchezo kuwa vijana wa Msoga wana ambitions kubwa mno hiyo 2025, akizembea hata yeye anawekwa pembeni...
Wanabodi,
Jambo lolote jema ambalo limeleta mabadiliko chanya kwenye maisha ya watu, liwe la serikali au mtu binafsi linahitaji pongezi. Pongezi sio tu katika kuonyesha maisha yaliyoguswa na...
Nadhani inaweza kuangaliwa kama kuna majimbo yanastahili kupitishiwa wabunge wao mapema hii ii yabakie majimbo machache.Maana nilikuwa sijui kama mkutano mkuu wawez kuwa na mamlaka hiv
Ndugu zangu Watanzania,
Hawa ndio Makamu Wenyeviti wa CCM tangia Kuasisiwa kwake Mwaka 1977 Februari 5.
Ukiwatazama tu na kufuatilia tu historia zao na heshima zao katika Taifa letu .utagundua...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameagiza viongozi, Wanachama na Jumuiya zote ndani CCM kuvunja makundi yaliyoanza kuripotiwa ndani ya chama hicho...
Kwa bahati mbaya sana, Ma Rais wote Hayati, na Sasa Rais Samia, Kwa pamoja na Kila Mmoja Kwa wakati wake anaonekana ni mwenye kulifurahiaaa.
Kama ni Rais, una najiona Kwa kazi zangu...
Za ndani kabisa, Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya hapa Nchini, amempigia simu Tundu Lissu na amemtakia kila lililo la kheri kwenye Uchaguzi Mkuu wa kumchagua Mwenyekiti wa Chama keshokutwa.
Kuna vitu vinashangaza mnoo katika siasa za CCM ambapo kile kinachoimbwa majukwaani (kuwawezesha vijana na wanawake) ni tofauti kabisa na kile kinachofanyika. Hili la wazee wastaafu waliochoka na...
Kwanini Nyerere alisahau kutamka RUSHWA kama adui mojawapo hapa nchini?. Ni kwamba alichukulia suala la Rushwa kama kitu kidogo?
Katika mataifa ye Demokrasia, hizo tuhuma anazotoa LISSU Kila...
Japo nafasi ni chache ndani ya ccm lakini hadi sasa kwa haya yanayo endelea chadema, chama pekee ambacho hakina maslahi binafsi ni CCM.
Sikuwahi kuamini kelele za watu kwamba chadema ni chama cha...
Kwa mujibu wa mnyetishaji aliye karibu na mmoja wa wale Wabunge (Covid 19) amedai Wajumbe hao wa Kamati Kuu ya Chadema wameshakubaliana endapo Lissu ataibuka mshindi wa kiti cha Mwenyekiti wa...
Wafuasi na Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoani Mbeya wamewataka wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho watakaoshiriki uchaguzi wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho...
Ukisikia hekaya za aAbunuwasi ndiyo hizi.
Jana Samia amekataza watu kuanza kampeni kabla ya muda.
Strange enough wao wamechaguana tayari kabla ya Jogoo kuwika.
Ukisikia chama cha kishenzi ndiyo...
John Pambalu, Mwenyekiti mstaafu wa Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) akizungumza na wanahabari leo Januari 19, 2025 amesema
"Wakati tulionao unahitaji kuona tuna mabadiliko kwenye chama huo...
Wengi tulipoona uteuzi wa mtu mwenye tuhuma ya cheti feki cha uzamivu 'Phd' kua katibu mkuu wa ccm tukajua lazima kutakua na upigaji mizinga na mambo yasiyo sahihi kwenye ccm.
Wanaccm wengi...
Leo ni pres conference ya 3 ya Godbless Lema akihaha kujieleza na kumuelezea Tundu Lisu kwa umma ambao hauna kura katika mkutano mkuu wa chadema taifa, watakao piga kura Jan.21.2025, kumchagua...
1. Bila Mheshimiwa Dr Bilionea Freeman Mbowe (Kiongozi wa Kambi rasmi ya upinzani Bungeni Mstaafu (KB Mstaafu) basi hakuna CHADEMA.
2. Mheshimiwa kakipigania Chama toka Enzi, anatokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.