Mh Tundu Lisu amesema Mzee Mbowe kuanzia tarehe 22 January 2025 Siku ya Jumatano atakuwa ni Mjumbe wa Kudumu wa Kamati Kuu ya Chadema
Hiyo ni Kwa mujibu wa Katiba ya Chadema Kwa Wenyeviti...
Nipo hapa nafuatilia mkutano mkuu wa CCM.
Magambo ndie msanii peke yake aliyeimba vizuri, msanii asiyebana pua, rapper kutoka mchangani lakini amewafunika wote jukwaan, kawafunika woote hao...
Wajumbe zaidi ya 1000 wa mkutano mkuu wa Chadema Taifa, watakutana kupiga kura na kumchagua mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa chama hicho Taifa, tarehe muafaka itakayotangazwa na kamati kuu.
Kwa...
Wakuu , je ni sababu zipi zinapelekea Pascal Mayalla kukosa uteuzi wowote mpaka sasa ?
Mara ya mwisho nilikuwa na Pascal Mayalla Mbeya akawa ananambia kuwa watu Fulani walimbania asionane na...
Kama Intelejensia ya CCM isingeingilia Kati Halima Mdee ndiye angekuwa Mwenyekiti wa Chadema na Lisu angeendelea na umakamu wake na uchaguzi ungefanyika 2024 siyo 2025
Mzee Mziray mkongwe wa...
Team,
Salaàm!
Mimi ni mtafiti mbobezi. Nimefanya hojaji na wanacdm wasiopungua 21
* 19 wamesema wanapenda TAL awe Mwenyekiti wao mpya;
* 01 amesema yeyote atakayechaguli kati ya wagombea watatu...
Wakuu naona Godbless Lema ameshaamua kuwapongeza wagombea wake mapema akiamini wameshashinda.
Hongereni sana kwa ushindi mkubwa ambao wajumbe wamewapa leo. Sasa mkafanye kazi na mkaheshimu imani...
Baadhi ya makada na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutoka mikoa mbalimbali, ikiwamo Dar es Salaam wamejipanga leo Desemba 18, 2024 kwenda nyumbani kwa Mwenyekiti wa Taifa...
Viongozi wa Majimbo 8 wa CHADEMA Mkoa wa Dodoma wamejitokeza hadharani kumuunga Mkono Mgombea wa Uwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu na kumtaka Mgombea mwenzake ambaye ndiye Mwenyekiti wa sasa...
Nimeona Habari ya kushuka kwa bei za umeme Zanzibar, ndio nikashtuka kua kumbe tokea siku nyingi umeme Zanzibar NI Rahisi kuliko Tz bara.
Je umeme si unatoka huku kwetu? Nini shida mpaka Sisi...
Wakuu,
Kumbe wakati Lema anachangisha pesa za Join The Chain, Wenje alikuwa bize na utalii?
Siku ya leo Godbless Lema akizungumza na wanahabari kuhusu a tuhuma zilizotolewa na Ezekia Wenje...
Ndugu zangu Watanzania,
Jogoo 🐓 limeshawika Dodoma. Makada mbalimbali na wazee maarufu na viongozi mbalimbali mashuhuri wanaendelea kuunguruma na kuzungumza juu ya uimara , ushupavu, umadhubuti...
Mzumbe dons in PhD scam
PIUS RUGONZIBWA, 11th February 2009 @ 11:16
Eight senior lecturers with the Mzumbe University have doctorate degrees that are either fake or acquired from...
Mji wenye pilika nyingi km Arusha unakuwaje na kastand kadogo kazamani km hii iliyopo? Utaambiwa kuna ubishani kati ya mbunge na viongozi wengine wa mkoa.
Wananchi ndio wenye nchi ndio...
Watu wengi walifikiri patakuwepo ushindani kidogo wa kumpata Mgombea uRais kupitia CCM na hapo ndipo Mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe aliona atahitajika sana kusaidia
Sasa alichofanya Mzee Kimbisa...
Ukweli ni kuwa Mbowe aliamua kwa makusudi kutenga great thinkers wote ndani ya Chadema. Na kuna picha nilipost humu akiwa na machawa wake hii hapa.
Ukweli ni kuwa hii picha alikuwa kwenye kikao...
https://www.youtube.com/live/FqER78na70U?si=fdkhYBIEbHCPvXlP
Huenda kweli safari ya Mbowe imewadia wimbi la mabadiliko ni kubwa sana ndani ya CHADEMA lazima tusikilize sauti za watu.
Ukipewa...
Je,
hawakubaliki wala kuaminika kwasababu ya miongoni mwao kuishi sana uhamishoni nchi za magharibi, na kwahivyo wanaonekana kama ni vibaraka na makuwadi wa nchi za magharibi kupenyeza ukoloni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.