Ni Gharib Said Muhammad (GSM)
Naomba wana jamvi nisaidie huyu Tajiri ana cheo/nafasi gani kwenye Chama?
Saa nane mchana alikuwa Dodoma kwenye mkutano wa CCM saa 10 yupo Dar uwanjani hii...
Uchaguzi wa Mabaraza yote umekamilika kwa Asilimi 100
Namba zinasema hivi 👇🏽👇🏽
Mabaraza yote yana Jumla ya kura 99
1. BAZECHA 33
-TAL 15
-FAM 18
2. BAWACHA 33
TAL 17
FAM 16
3. BAVICHA 33...
Katika kipindi cha utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), pato la wastani la kila mtu nchini limeendelea kuongezeka kutoka shilingi 2,653,790 mwaka 2020 hadi shilingi 3,055,606 mwaka...
Ni mjinga pekee ndiyo anaweza kuunderestimate Nguvu ya Mbowe ndani ya CHADEMA, Namshauri Lissu awamu hii akubali amekosea hesabu zake za kisiasa na ni wazi hatamuweza Mbowe atashindwa ila anaweza...
Kuna nchi ambazo zinatakiwa either tukajifunze kwao au tuwaite wataalamu wao waweke input zao katika dira yetu. Moja ya nchi hizo ni china.
Tuna haha ya kuuchimba mfumo wao wa elimu ili kuchukua...
Wagombea wa nafasi za juu za uongozi wa Chadema, wanafanyiwa usaili leo Jumapili, Januari 19, 2025, ikiwa ni maandalizi ya kinyang'anyiro cha uchaguzi unaotarajiwa kufanyika keshokutwa Jumanne...
tarehe 19 januari, miaka saba iliyopita Mungu alimnyanyua kitandani na kuziinua tena hatua za miguu yake mtu wake, Tundu antipasi Lisu
Mungu akiwa na kusudi na wewe mipango yote ya binadamu...
Ndugu zangu Watanzania,
Mkurugenzi Mkuu wa PPP Mheshimiwa David Kafulila amewatoa hofu watanzania ambao wameonyesha kuwa na hofu kubwa sana juu ya mikataba ya Ubia .hasa kwa kurejea majeraha na...
Aliwakosea nini hawa wenyeviti wa chadema wa mikoa, hata asiwepo hata moja wao tu kumuuunga mkono Kibaraka kwenye nafasi ya mwenyekiti wa Taifa?
Nimemskia mwenyekiti wa chadema mkoa wa Mbeya, kwa...
Kwa Hesabu za Kimamajusi wa nyota ya Mashariki Tundu Lisu ameshashinda uchaguzi wa Chadema labda tu Polizia wamsaidie Mwamba Kwa kutumia maguvu
CCM - Yanga Africa - Chadema
Ahsanteni Sana 😃
I. Tanzania One (TO), mwandishi wa vitabu na motivation speaker Nguli duniani Joel Nanauka anatajwa kumrithi Mheshimiwa Kinana kama Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara).
II. Hii ni kutokana na CV...
Mhe. Stephen Wasira anaanza kuiongoza CCM kama Makamu Mwenyekiti akiwa na umri wa miaka 80. Pengine, huu ni umri mkubwa sana kwa mtu yeyote kupewa uongozi wa juu katika chama cha siasa...
Nilipokuwa shule nilisoma kitabu kimoja kinaitwa NCHI YA KUSADIKIKA
Nilijitahidi sana kukisoma kile kitabu lakini sikuwahi kukielewa vizur kilikua na maana gani, na nilijitahidi sana kukisoma ili...
ANAANDIKA MHADHIRI WA CHUO KIKUU TUMAINI DR DLB
“Kinachoniumiza ni baadhi ya wanaChadema kutoliona hili la wanaharakati ambao siyo wana Chadema ndiyo wanaongoza mapambano ya kutaka Mbowe atoke...
Wadau kama mtakumbuka Waziri Silaa alipoteuliwa tu kuwa Waziri ktk siku zake 100 za kwanza moja ya maagizo yake mazito ni hili la kuzuia ujenzi wa vituo vya mafuta nchi nzima na kuwataka...
Mwenye macho haambiwi tazama.
Kuna mikutano miwili. Wa CCM Dodoma na hii ya uchaguzi wa CHADEMA wakipanga safu yao ya uongozi.
Kwa upande wa CCM tunaona hakuna hoja za msingi kuufanya mkutano...
KABAKA MITANO TENA MGOMBEA NAFASI YA MWENYEKITI UWT TAIFA
Wajumbe kwa kauli Moja wamekubaliana kumchagua kwa awamu nyingine (MITANO TENA) ndugu Gaudensia Kabaka ili kuendeleza Yale mazuri...
Catherine Ruge ambaye alikuwa anawania ukatibu mkuu wa BAWACHA Taifa amepigwa chini na Pamela Maassay. Ruge alikuwa anamuunga mkono Mwamba.
Uchaguzi umekamilika kwa nafasi zote za BAWACHA ambapo...
Askofu mteule wa Dayosisi ya Victoria mashariki Dr Oscar Lema anasimikwa rasmi Leo
Ibada inaongozwa na Mkuu wa KKKT askofu Dr Malasusa
Bango Kuu limewekwa picha kubwa ya Mgeni rasmi Mh Waziri...
Ikumbukwe Wenje alikuwa team Lisu hadi pale alipoenda Nyumbani Kwa Lisu akiwa ameongozana na Dulla Ili amsaliti
Kama Lisu asingemkazia basi Wenje angekuwa team Lisu hadi Leo
Freeman Mbowe Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.