Nimekuwa nikifatilia uchaguzi wa chama cha mapinduzi (CCM), Na Mzee Wasira amefanikiwa kupita kuwa makamu mwenyekiti. Sina ubaya na mzee Wasira(80). Ila swali langu kuwa vijana wamekosa nini au...
Baada ya CCM kumchagua ndugu Stephen Wassira kurithi kiti cha Kinana. Ameanza kutoa kauli ya kutaka kufanyakazi ya mwanzo kabisa ya maridhiano.....
CCM inadhani kuwa ikishakaa na CHADEMA...
Katika hali isiyotarajiwa waandishi wa habari na wadau wengine wanaotajwa kutohusika moja kwa moja na uchaguzi, wameondoshwa kwenye ukumbi wa uchaguzi wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia...
Hali inazidi kuwa mbaya kadri siku zinavyokwenda.
DAMU imeshamwagika.
Watu wamepata VILEMA.
Wazee wa hapa nchini, pamoja na viongozi wa dini, wameshindwa kutuliza joto la kisiasa.
Umefika...
Kwangu mimi mzee Stephen Wassira namuona kama ni muimba mapambio na mtu wa kusifu zaidi bila kuweka hoja mezani. Kila kitu kwake ni propaganda kuliko uhalisia.
Kuna mambo mbayo hayahitaji...
Upo wakati siasa zinahitaji milango kuliko mapazia. Upo wakati mitikisiko ya milango inakufanya uchague zaidi kuweka pazia kuliko kuweka mlango.
Upo mtikisiko mkubwa ndani ya CCM uliopekea...
Wakati wa John Pombe Magufuli, Freema Mbowe aliomba marithiano kule Mwanza. JPM akakausha.. Baada ya Mama Samia kuingia Madarakani alikuja na 4R na akaanzishisha maridhiano na Chadema.
Leo...
Wakuu,
Kwa wale wanachuo ambao mlikuwa mnalalamikia zuio la kufanyika siasa kwenye vyuo mbalimbali nchini, Lissu ametoa tamko
Akiwa anajibu swali kwenye mdahalo siku ya leo, Lissu amesema kuwa...
“Hakuna mashaka kuhusu ukubwa wa Chama cha Mapinduzi, hiki ndicho Chama kikubwa kuliko chama kingine hapa nchini, sisi ni chama kikubwa kimuundo, kioganaizesheni, kihistoria na hata kwa idadi ya...
Kuna hili bango linadaiwa kuonekana huko Dodoma katika Mkutano Mkuu wa CCM.
HIili bango kwangu ndio kaburi la Mbowe kwa wakati huu.
CCM wamekosa maarifa kwa kiasi kikubwa sana.
Sijui ni nani...
Moja ya matukio ya Hovyo ni kuchukua Trafiki video wanapokusanya mapato ya kuchomwa na jua la siku nzima hizi video zinalengo la kudhalilisha Trafic na sio sawa na yeyote mwenye hii Tabia aache…...
Akiwa anawasilimia wana CCM na wageni waliofika kwenye mkutano mkuu, Makamu Mwenyekiti CCM Bara, Ndg. Wassira amesema ataanza kushirika na maridhiano, na kwamba hakuna maridhiano na mtu mmoja bali...
Kuna kambi mbili chadema ambayo ni Lisu na Mbowe. Karata zinaonyesha wapiga kura watabadili wagombea nafasi za mwenyekiti. Endapo mpiga kura atapiga kura kwa Mbowe basi atapiga kura ya makamu kwa...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, amesema aliamua kumteua John Heche kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho ili kumuepusha na hatari ya kupotea kwenye siasa za juu za chama.
Mbowe aemetoa...
VITA ya hatima ndicho kinaendelea Chadema. Siyo vita na hatima kama simulizi ya familia ya Ku, Asia Mashariki, kwenye tamthiliya ya War and Destiny, bali Chadema, hali ilivyofikia...
Kwenye uongozi wa taasisi, iwe ni biashara au kampuni au taasisi ya aina yoyote, huwa kuna swali moja huwa tunapenda kuliuliza, ambalo ni: 'Matokeo yapo wapi?'. Hili ni swali la kikatili sana...
Alichaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa Mbunge akiwa na umri wa miaka 23.
Leo amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM akiwa na miaka 80.
Amezaliwa mwaka 1945 na Taifa la Israel liliasisiwa mwaka...
Nashauri mikakati mikali ifanyike kuhakikisha Hawa jamaa bunge walione kwenye TV tu. Hata kama itachukua gharama kiasi gani.
Ni watu wa hovyo wanaopenda vurugu na magomvi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.