Pamoja na CCM kuwa chama dhaifu kinachotegemea dola na uhalifu kufanya siasa zake, lakini tena bado CHADEMA imekipasua chama hicho kati kwa kati.
Mwaka 1995 wakati NCCR - Mageuzi kilipokuwa...
Wasira au Lwaitama ni watu ambao hawana tamaa kutokana na umri wao. Wana hekima, tofauti na Lissu ambaye muda mwingi anazurura akitukana kila mtu barabarani.
Hongera CCM
Alianza Lisu kuchukua fomu na kutoa hoja zake ni nini atakifanyia chama endapo atachaguliwa , Mbowe katoka hadharani na kudai kuwa Lissu anamtukana.
Amekuja John Heche , pamoja na kueleza mbele...
Huu ni mtazamo wangu binafsi wa mtu anayefaa kupokea kijiti Cha Komredi Kinana kama makamu mwenyekiti mpya wa CCM Taifa.
Kwanza, CCM inahitaji Mzee wa mafaili kama alivyokuwa Mzee Mangula. Kwa...
Baada ya kumsikiliza Tundu Lisu Kwenye Mdahalo wa jana nimejiridhisha Lisu ni Chaguo la Mungu
Katikati ya upinzani mkali Kutoka Kwa Mbowe na Wapambe wake Lisu anamtetea Freeman Kwenye mambo...
Mahinyila, ambaye ni muumini na mfuasi wa Sera za Lissu, ameshinda na kutangazwa ndiye Mwenyekiti wa Bavicha Taifa.
Wakati wa kutangazwa Kwake, mamia ya Wana Bavicha wameinuka na kuimba kwa...
Hili liwe angalizo kwa vijana wa CCM wanaokesha mitandaoni kutetea wanachokiita chama chao, lakini kumbe chama kina wenyewe.
Sasa ni dhahiri kwamba watu ambao kwa miaka mingi wameiponda CCM...
Hii nchi kumbe ina ofisi nyingi namna hii na hamsemi leo ndo nimejua kama kuna hii ofisi ya usalama Serikalini ambayo wajibu wake ni kutoa elimu kuhusu kanuni za usalama Serikalini kwa watumishi...
Wakuu,
Tumeona CCM walivuohangaika na mkutano wao kuhakikisha unafana na kuwa talk of the town lakini bado kumedorora utafikiri hawajabeba wasanii wote Tanzania mpaka Kongo :BearLaugh...
Godbless Lema wiki hii ametamba kwamba anaweza kuitisha press conference hata usiku wa manane kukanusha na kuelezea mambo mbalimbali.
Katika mambo ambayo Lemma katuhumiwa muda mrefu ni wizi wa...
Katika kinachoitwa uchaguzi wa CHADEMA kwa watu wenye akili zinasikika zaidi kelele kuliko hoja makini na zenye kufikirisha.
Viongozi wa CHADEMA wamedhihirisha kuwa wengi ni watu wanaookotana tu...
Kwanini wagombea urais wanapenda sana wafahamike kwa wananchi mapema zaidi hata mwaka kabla ya uchaguzi lakini ni marufuku kwa watia nia ubunge na udiwani kuonyesha nia zao?
Hali hii ipo kwenye...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Samia Suluhu Hassan atoa onyo kali kwa watia nia kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 walioanza kufanya kampeni za mapema kabla ya muda.
Msajili wa vyana...
Wandugu Habarini...
Nimepata Tashtwiti Ya Kuandika Leo Juu Ya Humphrey Polepole Baada Ya Kutafakari Kwa Kina.
Ni Wazi Hakuna Mpenzi Wa Siasa Za Tanzania Asiyemjua Huyu Jamaa. Naweza Sema Kwa...
CHADEMA NA WAKENYA MNAMASLAHI GANI NA VURUGU ZA NGORONGORO?
Wamasai wa Ngorongoro wamesikitishwa sana na vitendo vya CHADEMA Kuchochea vurugu Wilayani Ngorongoro Katika kata moja ya Enduleni...
Deo Mahinyila Mwenyekiti mpya wa Bavicha ameanza na mguu mbaya ndani ya Chadema mara baada ya ushindi wake.
Mahinyila aliyejipambanua kwamba anamuunga mkono Tundu Lissu kwa siku 2 alizokaa...
Naona kama mna mdharau sana Mbowe kudhani ni mjinga kiasi cha kukubali mdahalo na T.Lissu. Hilo hatuwezi ruhusu Chama Cha Mapinduzi na Serikali haiwezi ruhusu.
Kisha na Chadema nayo itakataa na...
Ni kama vile hapa Dodoma CCM Wana Imani mh Freeman Mbowe atashinda kule Chadema ndio sababu huu Mkutano mkuu wa CCM uko Sawa na Ule wa Chama Cha Kikomunisti Cha China
Akishinda Lisu hizi swagger...
Nje ya box. Hii kwa wenye akili tu.
Soma
Paul Makonda: Gambo usitake umaarufu wa kijinga, uwe unahudhuria vikao vya maendeleo Mkoa wa Arusha
Inaonekana hata CCM kuna moto unawaka chini kwa chini...
Inashangaza, inasikitisha na inaudhi kuwa pamoja na kushauri, kuonya na kutoa tahadhari kwa nia njema kabisa kuhusu mustakhabali wa taifa hatukusikilizwa...tulipuuzwa!
Najitokeza tena kumshauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.