Mheshimiwa Susan Kiwanga na wenzake Monica Nsaro na Aisha Luja wameshindwa kurithi nafasi ya Halima Mdee ya mwenyekiti wa BAWACHA kitaifa. Kwa msingi huo, Sharifa ambaye ni kama makamu mwnyekiti...
Kwa akili kubwa kama za Lissu unapelekaje aina hii ya waendesha vipindi vya burudani (sio Waandishi wa Habari) kumhoji? Mtu kahojiwa BBC Hard Talk tena kwa lugha ya Kiingereza utamuweza wewe...
Wakuu,
Mambo yanaendelea kuwa moto.
Godbless anasema kuwa tuhuma za kwamba yeye na Lissu walikuwa wanataka kumpindua Mbowe kupitia kampeni ya Join The Chain ni za uongo kwani Mbowe pia...
Kila anayepingana na mtizamo wa Yeriko Nyerere anaonekana kama siyo mwadilifu na hana nia njema na chadema.
Yeriko anaamini anavyotambua yeye kampeni zilipaswa ziwe na elementi ya heshima kwa...
Alianza Lisu kuchukua fomu na kutoa hoja zake ni nini atakifanyia chama endapo atachaguliwa , Mbowe katoka hadharani na kudai kuwa Lissu anamtukana.
Amekuja John Heche , pamoja na kueleza mbele...
Hawa jamaa chama chao hakijatulia kwa kiwango cha kupewa nchi au wabunge. Ndani kimeoza, kina vita, fitna, mapambano, husda. Mbowe alijaribu kuonyesha mambo yako sawa kwa busara zake kabla...
Tundu Lissu amesema ni kweli aliishi Nyumba aliyopaswa kuishi KUB lakini kwa sababu Mbowe alikuwa na Nyumba nyingine tulimwomba Katibu mkuu Dkt. Kashilila Nyumba hiyo ilaliwe na Kiongozi mwingine...
Natambua kwamba wapo wagombea wasiotaka kushindwa ndani ya chadema. Wanaweza wakawa upande wa Mbowe na wengine upande wa Kisu.
Ili kuwatakia safari njema nje ya CHADEMA na kuwafanya watafakari...
Tundu Lissu anasema siyo Kweli kwamba Mbowe ndio amemuonya kisiasa Kwa sababu 1995 wote Wawili waligombea Ubunge majimboni mwao Lisu akiwa NCCR Mageuzi na Mbowe akiwa Chadema
Lissu anasema YEYE...
DP world ilianza kama ubuyu means tetesi na walioongoza huo ubuyu walikuwa wana habari. Walikaa kiti cha uzalendo wakidai wanawatetea wanyonge kumbe wanalo jambo nyuma ya pazia.
Mhe. LEMA yupo...
Habari kutoka ndani ya CCM ni kuwa Familia ya Makamba imemalizana na Rais Samia.
Makubaliano ni kuwa Mama Samia hakutaka Makamba arejeshewe Uwaziri kama walivyotaka.
Baada ya Maongezi ya muda...
Kwa hali ya uhasama ilipofikia baina ya wagombea wenyewe, lakini pia hali ya uhasama na uadui wa kweli kabisaa baina ya wafuasi wa wagombea uenyekiti wa Chadema Taifa.
Posho na malipo ya kujikimu...
Mpaka kieleweke hapa ni Bampa to Bampa hatimaye Godbless Lemma kumjibu Ezekiah Wenje
“Jana nilipoamka niliona tweet ya Mnyika na jana Waandishi mlikuwa na Wenje na nilimsikia, niliona...
Ni rahisi sana KUIHUBIRI Demokrasia lakini ni ngumu sana kuiishi
Kuna watu ndani ya CDM ni WAZURI sana wakiwa WANAONEWA kidemokrasia lakini ni wa HOVYO sana wanapotakiwa kui PRACTICE demokrasia...
Mgombea nafasi ya mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Tundu Lissu, jana katika mdahalo uliorushwa na Star TV ukiongozwa na mwandishi wa habari Chief Odemba. Alisema kuwa anaikubali dhambi ya kushiriki...
Inasikitisha sana kuona aliyekuwa kijana ambaye tulitegemea awe mzalendo ndiye alikuwa akichangisha fedha ili kuhudumia kampeni chafu ya kumchafua Magufuli kimataifa.
Kukiri kwake kunaongeza...
Jana usiku kulikuwa na mdahalo kwa wagombea wa Uenyekiti wa CHADEMA Taifa ili kunadi sera zao na wapiga kura kuwapima kama wanatosha kushika nafasi hiyo. Katika mdahalo huo mgombea muhimu sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.