Asante kwa kuamua kusoma peji hii. Naamini utajadili hoja ukiwa na fikra huru na c utumwa wa fikra.
Wapo watu wengi sana wanaozani kuwa kumkosoa mbowe ni kuitukana chadema hili si kweli kabisa...
Tundu Lissu amesema Dr. Slaa ndiye alimleta Edward Lowassa CHADEMA ndiye aliyeanzanisha hilo wazo, ndiye aliyeongoza timu zote za majadiliano za CHADEMA kujadiliana na timu ya Lowassa.
Soma Pia...
Nimekuwa najiuliza sana kama nafasi ya uenyekiti wa chadema tu mnaongea hadi mnapitiliza, mnatukanana hadi wazazi wenu, mmefikia hatua ya kuua udugu wenu, zogo kila kila siku, kila mwanachama...
Hatuwazuii kuwa na biashara hapa Tanzania ila lugha kwenye mabango yao kwa nini wanaweka kichina wakati lugha za taifa ambazo zinaruhusiwa kwenye mass media, mid media na banners ni mbili tu...
Licha ya tangazo la mwaka 2024 la kutangaza nafasi za Kazi ya Muda ya waandikishaji wasaidizi na BVR OPERATORS kuaininsha malipo ya Kazi kuwa ni tsh 50,000 Kwa siku na yatalipwa Kwa siku zote za...
Hii ni kutokana na hali ilivyo kutokea katika maeneo mbalimbali ya nchi na pia katika "kuusoma upepo" kitalaamu:
Kwamba nyuma ya runinga watakuwapo Mama Abduli, Abduli, vigogo wote, bila...
Namtofautisha G. Lema na wanasiasa bali mwanaharakati aliyekamilika. Mtu mwenye uwezo wa kuhoji chochote bila kuogopa mtu.
Nakumbuka alihoji kushinda kwa kesi ya Zombe bungeni, Ulongo wa waziri...
Leo nikiperuzi mitandaoni, nimeona taarifa ya aliekuwa mbunge wa Arusha mjini, bwana God bless Lema akisema Ile dhana inayojengwa kwamba wao walikimbilia nje ya nchi mwenyekiti Mbowe akabaki sio...
Karibu mwanazuoni tuangazie machache yanahitaji tafakari ya kina hasa kwa minajili ya chaguzi hapo kwa jirani!
Tuanze na Alama za mabadiliko hutawala ardhi, lakini mizizi yao inachimbia kwenye...
Hivi kosa lipo wapi mbona lisu ameonekana kafanya makosa makubwa kuchukua uamuzi wa kugombea Uwenyekiti wa chama..?
Basi Mwenyezi Mungu yeye anaja nani anatakiwa kuwa kiongozi wa hicho Kikoba Cha...
Wakuu
Mbowe ndio kiongozi pekee wa chama cha siasa hapa nchini anaelindwa na makomandoo.
Je hao makomandoo wa mbowe wanalipwa na nani na wanalipwa kutoka chanzo gani cha mapato?
Eti kwa sababu ya uhuru wa kuongea leo marafiki wanavuana nguo mbele ya watoto!! Natamani ningekuwa na namba ya Mbowe nimuulize anajisokiaje. Je panauma au patamu!!!😂😂😂😂😂.
Ndiyo mjue kuwa kuna...
1. Alikuta marais wenye akili wameua shirika la ndege, yeye akalifufua na kununua ndege 11 tena kwa cash. Huyu ni kichaa mzuri.
2. Alikuta wenye akili wameshindwa kuja na suluhu ya kudumu ya...
Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe amesema hajawahi Kulamba asali, Halambi asali wala Hajalambishwa asali
Mbowe amesema Katika miaka 30 hakunaga kitu hajawahi kufanya hivyo hawezi kubabaishwa...
Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utakuwa leo Ijumaa 17/01/2025 kuanzia saa 3:30 Usiku, katika Ukumbi wa Rwegechura Hall katika ofisi za TANGANYIKA LAW SOCIETY (TLS) Mikocheni Mtaa wa...
Pamoja na kubeba kila msanii nchi nzima na hata vyombo vya habari Mamluki kwenda Dodoma, lakini mambo ni Magumu.
Nimeona hata Waandishi waliopo huko ambao wengi ni Chawa wao akiwemo Rafiki yangu...
Tundu Lisu amesema hataomyeshwa cha mtema Kuni na Mbowe kwa sababu anaenda Kushinda KITI chake
Namba majimboni na mikoani ziko upande wetu
Soma Pia: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa...
Hawa watu wamemdhalilisha Mwenyekiti hadharani. Wafutwe uanachama mapema Sana kabla haijamgharimu Mwenyekiti kwenye Uchaguzi Wajumbe wenyewe hawasomeki mpaka sasa
Wajumbe wa mkutano mkuu NEC
===
Hatimaye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amemaliza Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.