Habari wana bodi,
Hii ni shule ya serikali inayosimamia na TAMISEMI iliyopo Jiji la Arusha. Sisi wazazi na jamii nzima tunaelewa na tunapewa elimu mara kwa mara na mamlaka mbalimbali za serikali...
vitendo vya kudhalilishana, kutukanana na kuvuana nguo za ndani hadharani ni ushahidi tosha kuwa Chadema bado haijakomaa.
Uchaguzi wa ndani tu wanaumbuwana na kutukanana hadharani, je Wakipewa...
Salama!
Tangu dakika ya Kwanza Mpaka sasa Tupo dakika ya 80 Mbowe hajapewa nafasi ya kulikaribia lango la Lisu. Anashambuliwa non-stop, kwa kweli hiki kipigo kama asingekuwa mzoefu angekuwa...
Uchaguzi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) kwa nafasi ya Mwenyekiti unatarajiwa kurudiwa baada ya wagombea wote kushindwa kufikia asilimia 50 ya kura zilizopigwa.
Kulingana na kanuni za...
Yale mabasi ya CCM ya rangi ya kijani yamewakera mno watanzania kwani wao wametafsiri ni kufru na upotevu wa Hela zao (watanzania wanaamini Ile ni Kodi yao na sio vyanzo halali vya ccm) kiufupi...
Binafsi sikutegemea kama bwana Odelo angekuwa na hoja nzuri namna hii
Ameshusha Nondo nikasema kweli, ana hekima sana
Nimempima Kwa mambo yafuatayo
1 Kutofautisha Maandamano na matembezi
Kwamba...
Kwamba mdahalo wameukimbia?
Kwani Nchimbi walisema je?
Kwa hiyo mwamba ameulaza u nini?
Kama alikuwa na hoja au kujitetea au kutoa ufafanuzi ilikuwapo fursa bora kwake kuliko jana?
Viva CDM...
Hakika CCM ni chama kubwa sana.
Lakini ninawaza tu kuwa:
1. Bila wasanii ni wazi kikao kingefanyika
2. Bila wasanii wengi CCM kwa ukubwa wake itashinda tu kwenye uchaguzi wa mwaka huu tena kwa...
Nimefurahishwa sana na uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bawacha. Kwa kweli unaonyesha ukomavu wa Baraza hilo maana wagombea wote wanastahili hiyo nafasi.
Baada ya uchafuzi unaoendelea katika uchaguzi wa...
Wakuu!
Lissu Amesema yeye akipata madaraka, atachunguza kiini cha rushwa ndani ya chama.
Aidha ameongeza kuwa akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kwa sababu rushwa ni tatizo wataunda \ tume ya...
Wanajukwaa!
Leo Lissu amefunguka mengi sana moja wapo ni hili
Tundu Lissu amesema atamlindia heshima yake Freemana Mbowe na atakuwa miongoni mwa wazee wa chama watakaokuwa wanasimamia uchaguzi...
“ Maendeleo hayana Chama “ by John Pombe Magufuli.
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, picha yake ni miongoni mwa picha zilizopo katika mabango ya CCM hapa Dodoma.
Hakika Mbowe anapendwa mpaka...
Freeman Aikaeli Mbowe, aka Saluti ya Zege, kwa wanasiasa wengine amekuwa mwalimu na mkufunzi wa siasa za Bongo.
Kati ya wanasiasa wengi, nadhani watamkumbuka kwa mafundisho yake. Aliwafunza...
Mambo yamezidi kuchangamka!
Ni mwendo wa kupigana ngumi tu, yani hadi sasa hile ni tukio la tatu au la nne la vurugu kutoka katika uchaguzi wa BAWACHA
==========
Wakati uchaguzi wa baraza la...
Kwanza nianze kwa kudkrea interest Mimi ni mwachadema kindaki ndaki nilitejiunga na chama Cha demokrasia na MAENDELEO Mwaka 2011 nikiwa chuo kikuu Mwaka wa kwanza.
Wakati tunajiunga tulikuwa...
Wenje na Lema wote walienda Canada kukimbia ugaidi wa wapinzani enzi za Magufuli
Lema alienda tena akiwa na madeni mengi Tanzania aliweza kufanya online trading za forex na coins akapata pesa na...
Miaka yote tumwona na kusikia CHADEMA ikipiga kelele dhidi ya serikali kutumia polisi kwenye chaguzi mbalimbali za Taifa letu.
Fafanuzi mbalimbali kutoka kwa viongozi waandamizi wa CHADEMA namna...
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutudhihirishia yale ambayo wazalendo wa nchi hii tuliyotabiri na kuyaamini.
Upinzani wa nchi hii bado ni mchanga na CCM inatakiwa kuendelea kuulea hadi ukue...
Fadhila mfadhili mbuzi.
Huyu jamaa angekuwa moja kati ya wasanii mabilionea, kaingizwa chaka akaingia CHADEMA.
Yuko karibu kufilisika, na CHADEMA hawamualiki katika mikutano yao walau apate chochote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.