Alichokifanya Diallo sio cha bahati mbaya kwani media zake ndio pekee zilizokuwa zinatumiwa na vyombo vya magharibi kama BBC na DW Kumchafua aliyekuwa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya...
Dr Slaa hakukataa hivi hivi kudahili makapi ya CCM bila mpangilio.
Hii ni kwa sababu Dr Slaa alikuwa na mpango mkakati wa kuunda Chadema yenye nguvu kwa maslahi ya upinzani na watanzania kwa...
Great thinkers!
Hii ni thread kwa ajili ya wana CHADEMA asili waliomwaga damu na kuipigania.
Naamini mmeshagundua utapeli katika Chama hiki chini ya Mwenyekiti wake.
Ndio taarifa zilizopo hapa Dodoma na huenda mchungaji Msigwa akazindua kitabu cha " Maisha ndani ya Chadema" chenye Siri nyingi mno zisizojulikana na wananchi
Kufikia 21 January Chadema itakuwa...
Lisu ni mtu sahihi Kwa Taifa ili Kwa bahati Mbaya Taifa letu wapiga kura hawangaliii uwezo wa mtu bali wanaaangalia chama na Dola bali siyo uwezo wa mtu.
Lisu uwezo wake ni sawa na uwezo wa...
Huu ndio ukweli mchungu na pia mtakosa uhalali wa kumpinga Samia au Mtawala mwingine yoyotw ataeamua kubadili katiba ili ajiongezee muda wa kubaki madarakani.
Mtapoteza uhalali wa kuhoji katiba...
Hellow Tanganyika!!
Katika mengi umejaribu kujitofautisha na mkt wako Ili kupata uungwaji mkono wananchi na wanachama,na umefanikiwa sana katika hili.
Sasa Kuna kihunzi Cha mwisho Cha kukiruka...
Viongozi wakuu wote wa TLS ni kambi ya Lissu, halafu mdahalo unaandaliwa katika jengo la kambi moja, na wanatarajia haki itendeke.
Ni wazi kuna njama, fitna na hata Janja janja ya kumdhuru...
Wakuu,
Safari hii CCM imedoda, Watanzania wako bize na mkutano wa CHADEMA.
Mlianza na kiki ya mabasi ambayo tunajua ni upigaji, watanzania wamechamba kizungu halafu wamerudi kwenye jambo la...
Niongee ukweli kutoka Moyoni naadmire sana Siasa za Mbowe na namheshimu kama Jabali la Siasa za Tanzania, Huyu mzee kafanya kazi kubwa sana anastahili heshima yake pamoja na mapungufu yote ya...
Wakuu,
Hawa watu hata matambara ya kudekia hatoshi kuelezea upumbavu huu wanafanya na hizo poda zilizojaa kwenye vichwa vyao, maana matambara yanasaidia kufanya usafi vizuri na kuhakikisha sehemu...
Wakuu,
Lissu amesema ikitokea ameshindwa nafasi ya uenyekiti CHADEMA hapo Januari, atabaki kuwa mwanachama wa kawaida CHADEMA, hatoenda kokote, watabanana humo humo.
Pia soma: Pre GE2025 -...
1. Hivi kwa akili ya kawaida tu dada Mange, hapa CCM wanamnadi au ndio wanamuondolea kabisa FAM credibility na uhalali alionao mbele ya wanachama na wajumbe wa kamati kuu ya CHADEMA?
2. Hivi...
Utangulizi
Mdahalo wa wagombea uenyekiti wa Chadema Taifa unatarajiwa kufanyika tarehe 18/01/2025, na ni tukio muhimu linalohitaji maandalizi makini ili kuhakikisha kwamba wagombea...
Hii ni kwa sababu wao kama wanaCCM hawana upande wowote ndani ya CHADEMA hivyo itazuia malalamiko yoyote toka kambi ya Lissu au Mbowe. Nape na Makamba ni wazoefu wa mambo ya uchaguzi hivyo...
Wengi watachafukwa sana dhidi ya mchakato wa uchaguzi utakavyokua unaendeshwa, na zaidi sana watavurugwa zaidi na matokeo ya uchaguzi huo ambao ni wazi utagubigwa na vurugu, fujo na songombingo za...
Hellow Tanganyika!!
Miaka Ile palifana sana kuangalia kipindi Cha Mchakato Majimboni,
Jambo hili lilifanya wagombea wa chama tawala kuhudhuria kipindi sababu usingetokea ungepoteza point Kwa...
Wajumbe wa mkutano mkuu timu ya Tundu Lissu imetoa watatu (3) kati ya wajumbe watano (5)
Uchaguzi wa makamu mwenyekiti BAWACHA Taifa unaenda duru ya pili baada ya duru ya kwanza kukosa mshindi...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema iwapo atachaguliwa kuwa mwenyekiti wa chama hicho, ataunda tume ya ukweli na upatanishi.
Amesema katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho kuanzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.