Vijana wa Africa wametakiwa kusimamia imara kulinda Rasilimali za Nchi zao zinazoporwa kila siku
Uhuru amesema vijana ndio watakuja kuathirika baada ya kila Kitu kuuzwa
Ameahidi kuwaunga mkono...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu wakisalimiana katika mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) unaofanyika leo Alhamisi Januari...
Haya ndiyo maoni ya gazeti letu 'TUKUFU' la Rai
Ufisadi usitufumbe Macho
katika kipindi cha takribani miezi minne hivi,hapa nchini yametoke mambo ya kusikitisha.
Tumeshuhudia baadhi ya...
Wana JF nimepita kwenye web link HII HAPA nikakuta document moja dated 26 Oct posted at 12:03pm
Inaonesha muandishi alikua ana hasira kali, its very interesting ila sijui kama ina ukweli...
1.hiki chama hakina wazee wakutuliza
hizi vurugu?
2.kuna kundi litasusa.je,hili kundi litaanzisha chama kipya au litasujudia vyama vingine ili wapokelewe?
3.Baada ya uchaguzi,kundi lililoshindwa...
Wakuu
Muktadha: Wakati mchakato wa kuhesabu kura kuwapata viongozi wapya wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) ukiendelea, baadhi ya wanaodaiwa kuwa makada wa chama hicho wanashikiliwa na...
Kamati kuu ya Washauri ni Ntobi, Ezekea Wenje na Yericko. Hawa ndo washauri wakuu wa Mbowe. So lazima Mbowe awe alivyo ana watu hao katika washauri. Na Martin MM. Anaongezeka. Kisha kuna Sugu baba...
TUMEDHAMIRIA TUNAZIMA ZOTE TUNAWASHA KIJANI
📍16 Oktoba, 2024 Kagera
Kwenye mkutano wa hadhara ambao wenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) ndio mgeni...
Wana JF, habari za asubuhi ya leo nzuri ya tarehe 12/11/2020.
Kuna mchanganyiko wa mawazo kumhusu aliyekuwa mgombea Urais ndg Tundu Lissu (CHADEMA) kukimbilia Ubelgiji kwa sababu za kiusalama...
haya ni mawazo yangu. Nchi ambazo hazina demokrasia na wananchi wake wamekata tamaa kwamba hawawezi kuchagua mtu wampendao kuwakilisha mambo yao kuna hivi vinatokea
Nchi za hivyo zinageuka kuwa...
Askofu Emmaus Mwamakula ameonyesha wasiwasi wake mkubwa kuhusu tukio la utekaji lililotokea ndani ya basi la Tashriff Luxury Coach, ambapo Ali Mohamed Kibao alitekwa kwa nguvu. Katika taarifa...
https://www.youtube.com/watch?v=BZquug8cV1s
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini na ambaye alitajwa kuratibu vuguvugu la Join the Chain, Godbless...
Naibu katibu mkuu wa zamani wa Chadema Zitto Kabwe amesema MBWA akikaribia Kufa hupoteza uwezo wa Kunusa na NYOKA akikaribia Kufa hukimbilia barabarani
Kwanini Zitto Kabwe katumia mfano wa MBWA...
Wakuu,
Godbless Lema anatema cheche muda huu kuhusu mchakato unaoendelea kwa sasa wa uchaguzi.
Lema anasema kuwa hata upinzani kuna kina Makonda na kina Chalamila sema tu bado hawajapata...
Maelezo ya Tundu Lissu
*Mimi wanasema sina pesa. Na kama sina pesa sina pesa za kugawa.
*Mimi sitoi Rushwa na Sipokei Rushwa. Nililetewa hapa kwenye Sebule hii na Abdul
Mtangazaji: Mheshimiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.