Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Wilaya ya Mpwapwa mkoani Didoma, ametoa tahadhari kwa wagombea wa nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho kuacha kulalamika pindi mmoja wao...
Kesi ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa (76) ataendelea kusalia kukaa Mahabusu kwa kukosa dhamana baada ya hii leo...
Tazama kundi la baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) wakimuunga mkono Mgombea wa Uenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu hadharani, wasema "Mabadiliko...
Edwin Odemba: Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utafanyika tarehe 18/01/2025, siku ya jumamosi kuanzia saa 3:30 Usiku hadi saa 6:00 Usiku, mahali mtajulishwa. Mpaka sasa wagombea wawili...
Wakuu
Kama muonavyo picha
Mwanasiasa mkongwe, Wilbroad Slaa (76) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu shtaka moja la kusambaza taarifa za uongo katika mtandao wa X (zamani...
Chadema haijawahi kupata umaarufu kuizidi ile CUF ya Prof Lipumba na Maalim Seif enzi za Mkapa na IGP Mahita
Lakini Chadema ndio Chama ambacho wanachama wake wameuawa na kupotea bila kujulikana...
Tumefungiwa maombi ya siku moja turudi kwa baba.
Kwa niaba ya tuliomkataa Mbowe nasema kwamba huyu mchungaji anapoteza muda wake bure.
Mbowe tulimkataa, tunamkataa na tutamkataa katu hatutarudi...
Katika mazingira ya kisiasa ya sasa nchini Tanzania, chama ni kimoja tu kinacho weza ongoza Watanzania: Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kilichozaliwa kwa misingi ya umoja, maendeleo, na mafanikio ya...
Imeelezwa kuwa mwenyekiti wa chadema mh Mbowe alikuwa tayari kushiriki Mdahalo ila Ntobi na Yericko Nyerere ambao ni Mameneja wake wamemzuia
Ntobi amesema hiki ni Kipindi Cha kutafuta KURA na...
Katibu msaidizi wa Chadema afahamikaye kwa jina la Salum Mwalimu, anatarajiwa kujiunga na CCM siku ya Jumapili mwishoni mwa Mkutano Mkuu.
Logistics za mapokezi kuanzia safari ya yeye kutoka Dar...
Wakuu Chama Kikuu cha Upinzani kinaendelea Kupoteza Credibility yake Na Reputation yake kiliyo ijenga Kwa zaidi ya Miaka 30, Just within three months tumeshuhudia Mambo ya Ovyo sana yakisemwa juu...
1. Mteue Makonda kuwa waziri wa mambo ya ndani. Nakuapia vibaka wote, hawa panya road hadi wale wanaowaibia wazungu huko nje kwa kofia ya siasa wataacha. In fact, watapigwa marufuku hata kwenda...
Kwa Jina la Rais: Kumbukumbu za Mwandishi wa Habari Aliyefungwa
Ni simulizi la Erick Kabendera kuhusu uzoefu wake chini ya utawala wa Rais John Magufuli wa Tanzania. Kitabu hiki kinaelezea jinsi...
Busara ya Mbowe kwa Samia ni sawa na busara ya kondoo kwa mbwa mwitu. Ambayo kondoo ameishia kuliwa na Mbwa mwitu.
Mbowe na siada za ukondoo kwa watu na mafisadi wa nchi hii haziwezekani. Nchi...
Habari wadau!
Ni vizuri watu wakaelewa ni kina nani hasa kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA wana sifa za kushiriki kwenye huo mkutano wenye wajumbe wapatao 1,200(nilivyosikia).
Binafsi nafahamu...
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema kuna watu wengi ndani ya CHADEMA wanapokea hela kutoka CCM kwa nyakati tofauti akiwemo Lissu, Heche, Lema na Wenje. Pia amesema kuna watu wengi ndani ya...
Imethibitka, imethibitika.
Kwa Sasa Macho na masiikio ya Watanzania Mamilioni kwa mamilion, mitandaoni na kqa ground wako Na Lissu.
Kila.mtu anaimba mabadilko halisi. Si wanaccm, si wanachadema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.