Mpo salama!
Kama utafuatilia mikutano na mambo ya CHADEMA utagundua kuwa Sugu ushawishi wake umeshuka Sana.
Yaani akiwepo sehemu ni kama hayupo hivi. Yaani huwezi kujua yupo au hayupo.
Hakuna...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini na ambaye alitajwa kuratibu vuguvugu la Join the Chain, Godbless Lema akizungumza na wanahabari siku ya...
Mikoa mingi nchini Tanzania leo imekumbwa na tatizo la kukosekana kwa umeme kwa muda wote wa siku, jambo lililosababisha usumbufu kwa wananchi na shughuli za kimaisha.
Wengi wanajiuliza ni nini...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema iwapo atafanikiwa kushinda uongozi wa juu wa chama hicho, atapeleka mapendekezo kwenye mkutano mkuu ili uchaguzi wa ndani uwe unafanyika kila baada ya...
Jana Clouds FM walifanya jambo muhimu sana kisheria, kuiepusha taasisi na kesi ya defamation, walionyesha kwamba taasisi hai-own maneno machafu yaliyokuwa yakitolewa.
Vyombo vingine vya habari...
Chadema moja ya kiongozi waliyofanikiwa kupata ni pamoja na katibu Mkuu. Alipoondoka Dr. Slaa watu walihoji kama Mrithi wake anaweza akavaa viatu vyake.
Nimeona namna alivyosimama neutral kwenye...
Hatimaye kijana Shadrack Yusuph Chaula (24) mkazi wa kijiji cha Ntokela kata ya Ndanto Tukuyu wilayani Rungwe, ameachiwa huru kutoka mikononi mwa jeshi la magereza baada ya kufanikiwa kulipa faini...
Freeman Mbowe amesema katika mahojiano yake na Azam TV kuwa anafanyiwa character assassination na wabaya wake kwenye Mitandao ili aonekane hakubaliki ila ukweli ni kwamba yeye anakubalika sana na...
Waandishi wa habari na wasanii wameondoa kabisa seriousness ya Mkutano mkuu wa CCM Dodoma. Ni vigumu kwa compositions hii watu wakafuatilia mkutano unavyokwenda kwa sababu waandishi wa habari wapo...
Wakuu,
Wakiwa kwenye vikao wanatabasamu na kucheza pamoja, wakitoka hapo ni spana kwa kwenda mbele! Ni huzuni! :PepeHands: :KEKLaugh:
"Taarifa kwamba sikusema nilichozungumza na Rais ni umbea...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema wakati anajiunga na chama hicho kulikuwa na ukomo wa miaka 10 kwa kiongozi kukaa madarakani, hivyo kukawa na ukosefu wa watu wenye uzoefu wa...
Taarifa yake iliyonukuliwa na Vyombo vya Habari hii hapa
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Bara, Tundu Lissu ameitaka Serikali ya Kenya kuingilia kati katika madai...
Weekend hii kutakuwa na mkutano mkuu wa ccm, lengo ni kumteua makamu mwenyekiti mpya atakayechukua nafasi ya Comrade Kinana.
Je unahisi nani atateuliwa kwenye nafasi hiyo? Tupe utabiri wako
Soma...
Godbless Lema, mmoja wa Wanasiasa wa chama cha upinzani CHADEMA, ameongea kwa ujasiri kuhusu Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, akimtaka akatae vikali kuitwa "Alfa na Omega".
"Nilisema...
Fikiria anakuja mtu anayetaka kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara, Ezekia Wenje huyo maana yake ni kwamba Mwenyekiti akiwa hayupo huyo ndiye anakuwa Mwenyekiti wa chama taifa.
Taswira ya mtu...
===
Hiki ndicho alichokiandika Godbless Lemma baada ya Press Release ya Ezekiah Wenje.
Hii inaitwa Jino kwa Jino.
Pia soma
Ezekiel Wenje: Lema ndiye aliongoza kumshughulikia Zitto Kabwe mpaka...
Ndugu zangu Watanzania,
Siweki neno lolote lile zaidi ya kuweka taarifa ya John Mnyika katibu Mkuu wa CHADEMA.👎
#JoinTheChain ilikuwa ni kampeni Maalum iliyofanywa na CHADEMA kukusanya fedha kwa...
Haki ya Kugombea imetolewa kwa Kila aliye na nia. Nafasi ya uenyekiti kwa mfano, Kila aliyeweka nia amepewa fomu na atagombea kutafuta kura za wanachama.
Sasa hili shinikizo la Mbowe jitoe, Mbowe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.