Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Katika mazingira ambayo kila chombo cha serikali kikisapoti chama cha Mapinduzi katika Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. 2025 itakuwa na mshangazo mkubwa sana katika taifa la Tanzania, kwani ndio...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Labda hii ni katika kumuweka mwamba kwenye ramani? Kwamba mdahalo kala kona. Hali ya uwanja haitamaniki. Kwamba kipi kifanyike? "Ama kweli rafiki wa kweli ni rafiki kwenye dhiki!"
9 Reactions
42 Replies
2K Views
Pamela Maasay Pamela Maasay amechaguliwa kuwa Katibu wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) akimbwaga Catherine Ruge aliyeshindwa kutetea nafasi hiyo. Pamela ameibuka kidedea kwa kura 37 sawa...
0 Reactions
3 Replies
412 Views
Mbunge wa zamani wa jimbo la Iringa mjini, Mchungaji Peter Msigwa amesema Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ndiye anayefaa kuwa mwenyekiti wa chama hicho kwakuwa ndiye mtu anayeweza...
1 Reactions
12 Replies
533 Views
Wakuu, Kama soka hairuhusiwi kujichanganya na mambo ya siasa na serikali, sasa wawakilishi wa Simba na Yanga wanafanya nini kwenye Mkutano Mkuu wa CCM? Wakikilishi wa Yanga Eng. Hersi na...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
=== Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mwanza Adrian Tizeba awaomba Wajumbe Kumchagua Tundu Lissu Wito kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu; Mchagueni Tundu Lissu Kukiongoza CHADEMA! Kwa nini? 1...
0 Reactions
8 Replies
303 Views
Huyu mwanaume pamoja na umri wake ana madini kuliko mtu yeyoye unayemjua wewe hapa Tanzania, kwanza ni msomi wa hali ya juu, pili anajua historia ya nchi hii, tatu hakuna hoja unayoweza kuiweka...
10 Reactions
33 Replies
1K Views
Akizungumza katika kipindi Cha Morning Trumpet Mwenyekiti anayemaliza muda wake Freeman Mbowe amesema; "Moja wapo ya changamoto kubwa tunayoipata kwenye Vyama vyetu vya Upinzani ni uvumilivu wa...
22 Reactions
108 Replies
4K Views
Mbowe amedhibiti Baraza la Wanawake Chadema na Baraza la Wazee Chadema. Hata kama Lissu alishinda, taasisi hizi zisitoe ushirikiano wowote kwa Lissu. Pia wajumbe wa Kamati Kuu wa Mbowe...
5 Reactions
65 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Dkt. Florens Martin Turuka, Katibu Mkuu Mstaafu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART)...
6 Reactions
37 Replies
8K Views
Hivi hiki kilichofanyika Mkutano mkuu wa ccm Dodoma leo ni uchaguzi , uteuzi au kuthibitisha jina la mteuliwa ? Uchaguzi ni kuchagua mtu au vitu zaidi ya kimoja sasa mtu yupo mmoja hapo unakuwa...
3 Reactions
3 Replies
363 Views
Sipati Picha Tundu lisu akiwa Mwenyekiti wa Chadema namna watakavyotunishiana msuli na Wassira Wassira ni muumini wa Serikali mbili kuelekea Moja Tundu lisu ni muumini wa Serikali tatu Ila...
0 Reactions
0 Replies
167 Views
Nipo hapa Dodoma mzee mmoja wa Makamo ndani ya chama kateta nami jambo hili. Mzee anadai Balozi Amina Ally aliteleza wakati wa kuomba kura huku akijua wazi jina la Lowassa limekatwa na kudai...
4 Reactions
45 Replies
2K Views
Nadhani umetambua makosa yako ya kumsingizia mambo mabaya Mbowe ua UONGO leo unasema utalinda heshima yake. Utalinda heshima gani aliyobakiza? Umemchafua makusudi , guility consciousness...
5 Reactions
26 Replies
821 Views
Polisi wa usalama barabarani Kitengo cha pikipiki (escort) wamevalishwa sare za CCM wakiwa sambamba na msafara wa Samia. Vilevile, pikipiki za Polisi nazo zimenakishiwa kwa rangi za CCM. Pia...
3 Reactions
18 Replies
817 Views
Ndugu zangu Watanzania, Unaweza kusema kuwa Nchi nzima ni kijani kwa sasa,kila eneo ni kijani na njano tu.kila ukifungua vyombo vya habari unaona kijani na njano ndio vimetawala na...
8 Reactions
115 Replies
3K Views
Nimezaliwa miaka 1970, nimekutana na maisha magumu Sana, kulikuwa hakuna Sabuni, Sukari, Mafuta na hata nguo. Watu walivaa magunia, kulikuwa hakuna vyakula na wakati tunapata uhuru aliikuta...
28 Reactions
483 Replies
10K Views
Mitandaoni watu wote wanaonekana kutokukubaliana na Mzee Wasira 80yrs kuendelea kuwepo kwenye nafasi za juu za uongozi wa chama. Its like siyo maono ya wana CCM kuwa na viongozi hawa tena kwenye...
1 Reactions
7 Replies
307 Views
Wakuu, Akiongea hivi karibuni katika mdahalo maalum ulioandaliwa na Jamii Forums pamoja na Star TV, Benson Kigaila ambaye ni Naibu Katibu Mkuu CHADEMA amesema kuwa sio kwamba CHADEMA itasusia...
3 Reactions
10 Replies
548 Views
Kama Freeman Aikael Mbowe akishinda au Tundu Antipas Lissu akishinda, unadhani kitatokea nini kwenye mtizamo na msimamo wa CHADEMA juu ya mambo haya yafuatayo; 1. Marekebisho ya Katiba ya...
1 Reactions
9 Replies
246 Views
Back
Top Bottom