Wakuu,
Akiulizwa na Odemba kwanini CHADEMA kwa sasa ikiitisha maandamano watu hawaendi, Odero amesema kuwa kinachofanyika CHADEMA kwa sasa sio maandamano ni matembezi ya amani.
Akaongeza kwa...
Wakuu,
Badamu batachuruzika safari hii!
=====
Wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA kutoka Mkoa wa Iringa wakiongozwa na makatibu kutoka jimbo la Kilolo, Iringa mjini na wilaya ya Iringa pamoja na...
https://youtu.be/cI7hJHpYUOA?si=QZSStKHprjHvB6Rm
Leo SIMIYU imeungana na mikioa mingine 17 katika kutoa tamko la kumuunga mkono Mhe Lissu hadharani,
Hali inazidi kuwa ngumu kwa upande wa Freeman...
===
Wakati zikiwa zimesalia siku chache kuelekea uchaguzi wa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wajumbe na viongozi wa chama hicho mkoa wa Tabora wameazimia kumuunga...
Haya sasa nataka kuuliza kama aliyoyasema mbowe Jana kupitia mwananchi online ni uwongo mbona hakuna Alie jibu mapigo?
Heche ujateuliwa VITI maalumu na Mbowe jibu?
Lema wewe kwa.sasa sio lolote...
Nimetawaliwa na ma-rais wa awamu zote Rais Samia Suluhu ndiye rais bora zaidi kuliko wote, Mungu amlinde.
Kwenye TANU na CCM nilimpigia mbunge mmoja tu nae ni Severino Supa wa Dodoma mjini na...
Leo tunafanya Maombi ya kuwaombea Wanasiasa Wote wa Nchi hii Ili taifa letu lizidi kuwa na Amani
Tumesukumwa na Wito wa Rais mstaafu wa Kenya kuwataka Vijana watetee Haki zao za Msingi na Urithi...
Kibaraka Lisu na kenge wengine kama kina Heche wamekuwa wakitoa na kueneza sera za ubaguzi dhidi ya Watanzania wanaotokea Zanzibar kwamba hawatakiwa kuwa Viongozi huku Bara .
Sasa kwenye Uchaguzi...
Kuna mambo mengine ni kama dharau.
Watu waliopata fursa miaka mingi huko nyuma na wamestafu bila kuwa na impact ya maana kwenye Taifa wanarudishwa ili iweje?
Hii sio dharau kwa vijana na watu...
Sijajua hayo maridhiano aliyoahidi Wassira na Chadema yatahusu nini
Akihojiwa na TBC Mzee Wassira akiwa na Zitto Kabwe aliwahi kusema Serikali 3 siyo Sera ya CCM na kamwe haitapita
Mlale unono😄
WanaJF Mungu Mwema siku zote, ni imani yangu mpo na afya njema.
Chaguzi za vyama bado zinaendelea, katika baadhi ya vyama vya siasa nchini kwetu.
Rejea mada tajwa.
Ni vyema midahalo kuendelea...
Walikuja kwa kishindo, walitishia kila mtu aliopo mbele yao.
Waliaminisha kwamba CHADEMA kuanzia BAVICHA, BAZECHA NA BAWACHA Zimejaa rushwa.
Walituaminisha uchaguzi wa mabaraza utakuwa wa wizi...
Taarifa zinadokeza kwamba Wawili hao ndio ambao walipangwa mmoja wao awe Makamu Mwenyekiti wa Tanzania Bara.
Wakaitwa na Mkubwa huko Kizimkazi na kuelezwa jambo hilo lakini walikataa.
Mnadhani...
Nimeangalia Mahojiano ya Tundu Lissu na kipindi cha Clouds 360,
Niseme tu! Mtangazaji Kija Yunus ni Muandishi wa Habari wa hovyo Kwelikweli, Kwa Akili Zake Ndogo Hizi Sijui Aliwezaje Kupata Kazi...
Nawauliza CCM Stephen Wassira Nini hajafanya Tanzania kuanzia akiwa mbunge kwa umri wa miaka 23 mpaka Leo ana miaka 80 Bado anakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM? Hizi ni zalau
Vijana mlio kusanyika...
Wakuu,
Kama alivyotuahidi jana, siku ya leo Mwanaharakati nguli Afrika Mashariki, Maria Sarungi atazungumza kinaga ubaga kuhusu namna alivyotekwa mpaka kupatikana kwake.
Bado haijaeleweka hadi...
Baada ya Oktoba 25 wanachama wa chadema asili wanajipanga kukirudisha chama chao kutoka mikono ya familia ya Mtei na kukifanya kuwa taasisi ya umma kwa kuwa inatumia ruzuku za serikali.
Ni...
Hizo dharau za Dr Kigwangalla huko X dhidi ya Mbowe na Chadema zimenisikitisha
Yaaani kumwita mgombea umakamu Mwenyekiti wa Chadema ni " Kamtu Kamoja"
Hii siyo Sawa
Mlale Unono 🐼
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.