Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imelaani vikali baadhi ya kauli ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya Viongozi akiwemo Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Mh. Costantine...
Ecoprogetti supplies Texas solar panel maker with 800 MW production line
The Italian manufacturing equipment provider supplied U.S. solar manufacturer CS Solar MFG LLC with an 800 MW production...
Why the U.S. Keeps Losing to China in the Battle Over Critical Minerals
The West got its hands on one of the world’s best graphite mines—then things started going off the rails
Syrah Resources’...
Sote tunataka nchi yetu isonge mbele lakini tunachoka na kuumia mnoo tunapoona suala la umeme hapa Tanzania kwa zaidi ya miaka 30 mfululizo likitumika kama kichaka cha upigaji wa watu fulani...
Kuna hizi nyumba wanazofikia marais wakiwa mikoani katika ziara Mimi Naziita ikulu ndogo sijui kama nakosea ila zinajulikana zaidi kama rest house.
Nyingi ya nilizoziona mimi mikoani naziona ni...
Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kesho ambayo kitaifa yatafanyika mkoani Arusha, leo Ijumaa Machi 7, 2025 nyama choma italiwa bure.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea...
Maonesho ya aina yake ya mbio za magari yanatarajiwa kurindima wakati Rais Samia akiwasili jijini Arusha na hiyo itakuwa ni sehemu ya staili ya kipekee ambayo inapangwa kama sehemu ya mapokezi...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema "Msimamo wetu upo wazi, bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi na hatutashiriki uchaguzi"
Pia, Soma
John Heche: Tumeamua kuhakikisha kwamba...
Msipokua Makini Kwenye Political econommy ya Nchi yetu hapa unaweza kujikuta kikatengezwa kikundi cha Watu ndio kinakula KODI ya Nchi hii, kikatengenezwa kikundi cha Watu ambacho ndio kina Bagaza...
Baada ya kutokea sakata la fedha za bodaboda katika jimbo la Arusha Mjini kuoneka zimeliwa na mmoja wa walitajwa ni Mbunge wa jimbo hilo Mrisho Gambo.
Soma Pia: Arusha: RC Makonda aiagiza...
Mama, Labda pengine wengine wanakuogopa. Au tuseme wanashindwa kukufikishia ujumbe. Lakini mimi, kwa unyenyekevu kabisa, nimeona kupitia safu hii niwe nakupenyezea yale ambayo yanasemwa huku...
Wakuu
Ni wazi kuwa kuna jitihada kubwa zinafanyika kumpaisha Rais Samia kila kona ya nchi kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Kwenye michezo yupo!
Mama Ntilie na gesi, machinga yupo!
Sekta...
Justin Trudeau Carries His Chair With His Tongue Out As He Exits Canada House of Commons (See Pic)
latestly.comMar 11, 2025 5:13 AM
Canada's outgoing Prime Minister Justin Trudeau was seen...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Heche amesema kuwa Watanzania wanahitaji mfumo wa uchaguzi utakaoamua viongozi wao halali ambao watawajibika kwao huku...
Wakuu,
Akiwa anaongea siku ya leo, Heche ametaja kiwango ambacho mbunge analipwa kwa mwezi
Heche anasema nchi hii inaibiwa na imedumaa
Soma, Pia: Martin: Wabunge wanalipwa posho zaidi ya TSh...
Nimesikia hotuba ya Lissu katika sherehe za siku ya wanawake duniani iliyoandaliwa na BAWACHA. Hotuba hiyo ilidhihirisha kwamba hakuna mpango kazi wowote wa "no reform no election".
Tundu Lissu...
Kuna shirika moja la kiutafiti liliwahi kufunga mjadala kwa kusema 3/4 au tuseme 75% ya Watanzania ni wendawazimu. Yawezekana ni zaidi ya 75% ila waliogopa tu kusema ukweli.
Mwaka wa uchaguzi mkuu...
Kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tulikamata watu kadhaa wenye kura feki ikiwemo Polisi. Hakuna aliyechuliwa hatua. Hakuna hata faili la uchunguzi lililofunguliwa. Kwa ukimya wake juu ya jambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.