Huu muungano huu kiukweli pamoja na kusoma kwangu shule zote sijawai kupata majibu kutoka kwa wanasiasa au walimu wanaofundisha !
Nina maswali wataalamu naomba mnijibu
Tanganyika iko wapi...
Kikundi cha Wanawake SHUJAA Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya wamchangia Fedha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zaidi ya Milioni Moja kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais, ikiwa ni kumuunga mkono...
Salaam, shalom!!
Lengo la mada hii ni kuwasaidia wote waombao Kwa Mungu ulinzi wa kimwili na kiroho.
Lengo lingine pia ni kuwaondoa HOFU wale waombao Kwa mashaka, ulinzi atoao Mungu Kwa...
Teuzi tunazoziona kila siku watu ni wale wale mbaya zaidi viongozi wengi wanaoteuliwa ni wazee hii inamaanisha Nini wadau? Swali je vijana hawatoshi kwenye nafasi hizo wazee hawa tumekuwa nao...
Ni kimya kimetawala Kitongoji cha Hiti kilichojificha katikati ya mashamba ya migomba, kahawa na miti mikubwa. Ni katika miteremko ya Mlima Kilimanjaro wilayani Rombo ndiko kinakopatikana Kijiji...
Mwanasiasa wa Chama Cha Mapinduzi, aliyekuwa mbunge wa jimbo la Iringa mjini na Mjumbe wa zamani wa Kamati kuu ya CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa ameeleza kuwa vuguvugu la CHADEMA la No Reforms No...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumapili Machi 09, 2025 anatarajiwa kuwa Mkoani Kilimanjaro ambapo pamoja na mengine, anatarajiwa kuwa Nyumba ya Mungu...
Rais Samia akizindua Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe Machi 9, 2025
https://www.youtube.com/live/ZwUZMNQWlbc?si=stvFOddgPgJ_0AHW
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
Tanzania is facing the economy whose stability is yoyoing as time goes
Infact the voodoo economy which was implanted by the passerby and recent present is dwindling in our homesteads with no...
Waliopelekwa Jela kujifunza wapi kuna maisha Marahisi
Jela au Uraiani
Tunaweza kupata sababu ya kuelendelea kupambana No election no Reforms
https://youtu.be/E42aCOaTDIQ?si=r_QmNOTi6iT5Mxzr
Bila shaka kila mzalendo wa taifa hili, na mfuatiaji wa siasa za Tanzania mwaka huu October atakuwa anahamu sana kumwona Samia akiwaomba kura watanzania.
Mm binafsi namwaonea huruma sana samia...
Ni muda mrefu sasa nguli Huyu wa siasa za Upinzani nchini hajaonekana Kwenye majukwaa ya Siasa za Chadema
Yuko wapi Mzee Marando?
cc: Mrangi Ufipa st, Kinondoni Shamba
Habari Wana jf
Kama katiba ni Ile Ile,
Msajili wa vyama vya siasa ni yule yule,
Tume ya uchaguzi ni Ile Ile, matokeo ya uraisi hayahojiwi popote baada ya kutangazwa.
Wasimamizi wa uchaguzi ni...
Minyukano ya makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), inayoendelea kupigania Jimbo la Kigamboni imeuibua uongozi wa Chama hicho unaodai haufurahishwi na vitendo hivyo huku ukiahidi kuwashughulikia...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amewakosoa baadhi ya Wanachama wa CCM wanaoonesha nia ya kuwania Jimbo la Kigamboni lililokuwa likiongozwa na marehemu...
Wakuu,
Naona zoezi la uandikishaji linazidi kuwa la moto, naona waandikishaji sasa hivi washaanza kula viapo huko
Kwenye taarifa ya tume hawa waandikishaji wameapa "kutunza" siri za Ukumbi wa...
Mwanasiasa Bernard Membe anasema kuna umuhimu kwa viongozi wote kufanyiwa uchunguzi wa kina ili kujua historia na taarifa zao kwa kuwa baadhi yao si Watanzania.
Huu ni mfululizo wa habari...
Wakuu,
Serikali ya mkoa wa Lindi imesema kuwa ndani ya Mkoa wa Lindi watoto kati ya miaka 10 hadi 19 wakiwa na jumla ya watoto 7,840 wamepata Mimba na kukatisha masomo jambo ambalo halikubaliki...
Wakuu,
Naona huu msiba wa Profesa Sarungi unaendelea kukutanisha magwiji mbalimbali wa siasa hapa nchini.
Soma pia: Tundu Lissu afika nyumbani kwa Sarungi kuhani Msiba, wakutana na Mzee Kikwete...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.