Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameingia madarakani kufuatia kifo cha Rais Dkt John Pombe Magufuli ambaye aliacha miradi mingi mikubwa ambayo kukamilika kwake kungeiweka Tanzania katika ramani...
Ni wizi na kutafuta njia za kuiba tu. Umeme wa kusini mwa Tanzania unakuaje mbali kuliko umeme wa Ethiopia?
Lakini pili kuna bomba la gas toka mtwara kwanini wasipeleke bomba kaskazini la gas...
Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB imezitaka Tanzania na Kenya kusaini mikataba mitatu ya Mauziano ya umeme haraka Kufuatia kukamilika Kwa mradi wa kuunganisha gridi ya Nchi hizo mbili ambao...
Nimemsikia Rais Samia huko Arusha akijimwambafai mbele ya wanawake wenzie kuwa yupo madarakani mpaka 2030.
Soma pia: Samia: Sherehe nyingine za Kitaifa za Wanawake Zitafanyika 2030 wakati naachia...
Kuhusu Bwawa la Nyerere: Ukweli ni kwamba Umeme wa Bwawa la Nyerere utatutosheleza lakini sio mwingi kiasi cha kuuza nje. Kuna umeme sasa umefika vijijini, joto la dunia linaongezeka, treni ya...
Nchi hii iliyojaa vigogo wasioweza kufanya jambo bila maslahi yao binafsi kuwepo sasa inaenda kununua umeme toka Ethiopia. Ingefaa tuambiwe vizuri kama ni kwa faida ya nani maana jambo muhimu hapa...
Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa Polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za thamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua...
Kuna watu wanaamini kabisa kuwa Bwawa la Umeme la Rufiji likianza kazi basi suala la Mgao wa umeme litakuwa historia kwenye nchi hii.
Kwa namna ninavyosoma taarifa mbalimbali za kiutafiti...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KMICC) kati ya Kituo...
Kabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi.
Unit moja ya umeme hapa Tanganyika inauzwa kwa wastani wa...
Kama kuna kosa serikali ya Awamu ya Sita itafanya, ni kutowalipa Makandarasi wa ndani, wazalendo kabla ya uchaguzi Nonember 2025.
Hili ni angalizo tu!
Tukiachana na kodi za PAYEE, NSSF, WCF na...
Taifa zima limefahamu mpaka leo nani hataki Taifa la Tanzania liende mbele. Kuna mtu mmoja jina lake ni Rostam Aziz. Kila kona ya Taifa la Tanzania tunaona mikono ya Rostam kutengeneza mikataba...
Tunafuatilia Kwa karibu mno Mh Tundu Antipasi Lisu na utendaji wake Siasa ni
Vita ya kwanza aliyoshinda ni Uchaguzi Mkuu ndani ya Chadema
Vita iliyoko mbele yake amesema CCM Wana Bunduki Yeye...
Katika kilele cha siku ya Wanawake Duniani Mkoa wa Singida, imeunga mkono jitihada za Mheshimiwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan za kupambana na matumizi ya nishati chafu na kuhamia kwenye nishati...
October mwaka huu watanzania watawachagua viongozi watakao pewa dhamana ya kuongoza nchi hii kwa miaka mitano (2025 - 2030).
Wale wataochaguliwa watakuwa wataunda mihimili ya serikali na bunge...
“Nipende kumwambia Chatanda, CHADEMA ni chama chenye viongozi makini wanaojitambua wenye uwezo mkubwa wa kiakili na ubora unaojulikana ndani na njee ya mipaka ya Taifa hili.”
Kupata matukio na...
Tunashuhudia unyanyasaji mwingi katika hizi za kutegemea huduma kutoka nchi zingine hususani pale ambapo mausiano ya kidiplomasia yanapozorota.
Lakini pia Tanzania kwa sasa tunazalisha umeme...
Nimemaliza kuangalia hotuba ya Tundu Lissu kwenye Mkutano wa Bawacha.
Niseme tu, this guy is gifted. Tumshukuru sana Mungu kwa kutupa huyu mtu wakati huu. Tumshukuru Mungu kwa sababu hakuruhusu...
𝙈𝙧𝙖𝙙𝙞 𝙬𝙖 𝙈𝙖𝙟𝙞 𝙎𝙖𝙢𝙚- 𝙈𝙬𝙖𝙣𝙜𝙖- 𝙆o𝙧𝙤𝙜𝙬𝙚 𝙏𝙪𝙢𝙚𝙣𝙪𝙛𝙖𝙞𝙠𝙖 .
Maji ni Uhai ni sentensi yenye maana kubwa katika Maisha ya Binadamu kwamba uhai wetu na maisha yetu binadamu na viumbe hai wote ikijumuisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.