Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mbunge wa jimbo la Geita mjini Constantine Kanyasu amesema mtu anayetumia pesa nyingi kutafuta uongozi maana yake anatarajia kuiba baada ya kupata uongozi huo. Hayo ameyazungumza Machi 8, 2025...
2 Reactions
7 Replies
229 Views
Mbunge Kanyasu Aeleza Mafanikio na Changamoto za Maendeleo Jimboni Geita Mbunge wa Jimbo la Geita, Costantine Kanyasu, amesema zaidi ya zahanati 40 zimejengwa katika jimbo hilo katika kipindi cha...
0 Reactions
1 Replies
66 Views
Nimesikitishwa mno na habari niliyosoma kwenye ukurasa rasmi wa Askofu wa CHADEMA ndugu Emanuel Mwamakula kuhusu basi la wanawake wa CHADEMA mkoa wa Mwanza waliokuwa wakitoka Dar kupigwa mawe huko...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Wakuu, Mambo yameanza kuchangamka huko CHADEMA. Akiwa anazungumza leo kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, Mwenyekiti wa BZECHA ametangaza kwamba kwenye Uchaguzi ujao wa CHADEMA...
1 Reactions
23 Replies
793 Views
Wakuu, Tanzania inapanga kutekeleza mradi wa nishati wenye thamani ya dola milioni 300, ambao utawezesha nchi hiyo kuuza umeme kwa Kenya ndani ya miaka miwili ijayo. Mradi huo unafadhiliwa na...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
24 January 2025 Dar es Salaam, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=woYIDnx1xcw Wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu mkoani Dar es Salaam wametoa tamko rasmi kuunga mkono azimio la Mkutano Mkuu wa...
1 Reactions
56 Replies
2K Views
  • Redirect
Tanzania yangu kuna wakati tunafanya mambo kama nchi inaisha kesho! Kwa hakika neno la Gerson na Rais Samia kuna tofuati kubwa kabsa. Mungu ibariki Tanzania! Usiwabariki Viongozi wake!
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wakuu pesa tuliyotumia kama taifa kusomesha wasomi imeleta laana kwa taifa. Umbali wa kutoa umeme maeneo ya kusini imeonekena ni kazi Bure kwani katika hatua ya kusafirisha umeme kutoka Mtera ama...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
1 Reactions
Replies
Views
Wavuvi wa Ziwa Tanganyika wamemchangia Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan fedha za kuongezea kwenye uchukuaji wa fomu ya kugombea Urais wakati wa uchukuaji fomu ukifika wakisema wamefanya hivyo...
1 Reactions
20 Replies
332 Views
  • Redirect
Ufafanuzi Kwanini Tanzania inapanga kununua umeme kutoka nje ya nchi kwa ajili ya Kanda ya Kaskazini. 1. Umeme uliopo katika Gridi ya Taifa unazalishwa kutoka ukanda wa Kusini Mashariki na hivyo...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ndugu zangu Watanzania, Serikali yetu tukufu chini ya uongozi mahili,imara ,madhubuti ,shupavu na wenye kuleta matumaini kwa watu wa Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli...
1 Reactions
Replies
Views
Wote tunajua bwawa hili linatumia maji ya mto/mito kama yalivyo mabwawa mengine tuliyo nayo hapa nchini. Na kutokana na tatizo la mvua kwenye mabwawa yaliyopo tumekua tukiambiwa uzalishaji umeme...
10 Reactions
87 Replies
4K Views
Wakuu, BAWACHA wakiadhimisha Siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2025 Mlimani City Dar es Salaam mgeni rasmi akiwa ni Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Tundu Lissu...
8 Reactions
50 Replies
2K Views
Wakuu, Dkt Slaa akiwa anazungumza kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake yaliyoandaliwa na BAWACHA amesema kuwa Rais Samia kama atataka anaweza kumrudisha tena gerezani maana amejifunza mambo...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Tumealikwa hapa viwanja vya Stendi ya Mabasi Namanyere. Asilimia 75 ya hotuba yako kwenye siku ya Wanawake Duniani unaongelea Nia yako ya kumtoa Mbunge wa Jimbo la Nkasi kaskazini Mh. AIDA KENANI...
4 Reactions
10 Replies
614 Views
  • Redirect
Mara tuna umeme mpaka wa kuuza nje sasa Raisi WATu wazuri nchi na serikali hiyo hiyo inasema watanunua umeme🤦🏾‍♂️! Hivi tumekuwa wajinga kiasi gani? Kuna mawili hapa inawezekana hatuna umeme wa...
0 Reactions
Replies
Views
Waziri Juma Aweso amekuwa akitangazia Umma wa watanzania kupatiwa mita Za Luku Za maji. Watanzania wenye meta hizo tukutana hapa.
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimejionea hii taarifa nikasukumwa kuandika huu uzi kuhusu serikali ya Tanzania ya sasa! Kwa muda mrefu nimekua mkosoaji nguli wa serikali za CCM kuanzia kwa JK hadi kwa Samia! Kwa hivi karibuni...
11 Reactions
115 Replies
2K Views
Back
Top Bottom