Ni Kama kausahau unafiki wa Watanzania,
Hawa hawa kina Lemutuz na Makonda walikuwa wananyenyekea Kwa Kikwete lakin wamepata muabudiwa mpya
Usishangae Mwaka 2026 akiwa amekubali kuachia madaraka...
LEAT ilikuwa ni moja kati ya taasisi kubwa sana, ikipokea mabilioni kutoka kwa wafadhili, kiasi kwamba ikawa na ofisi mikoani, pale Mwanza walikuwa na ofisi jengo la Nyanza ghorofa ya juu,.
LEAT...
===
Kwanza, Nataka nyie msio wakatoliki mfahamu kuwa Mapadre na maaskofu wa Katoliki sio ngurumbili kama baadhi ya Viongozi wetu wengine wa dini hapa nchini.
Mapadre na maaskofu wa kikatoliki ni...
Wakuu
Vipi tusiamini vicheko😀?
==
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwa na Makamu mwenyekiti wake, Tundu Lissu wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chadema...
Sheria ya Usalama wa Taifa (TISS) iliyopitishwa na Bunge la Tanzania.
1. Sheria hii imewapa Kinga (Immunity) maafisa wa Usalama wa Taifa dhidi ya makosa ya Jinai kutokana na majukumu yao...
Dr Slaa amekamatwa usiku huu.
Inasemekana amepelekwa kituo cha Polisi Mbweni.
Matukio ya kiusalama kuelekea uchaguzi mkuu 2025 angalia hapa: Kuelekea 2025 - Uzi Maalum wa Matukio ya Kiusalama...
Ni wazi matokeo yoyote ya ushindani, minyukano na uhasama wa kisiasa baina ya viongozi wanao gombea nafasi ya uenyekiti wa Chadema Taifa, kutaidhoofisha chadema yenyewe na kuimarisha vyama vingine...
Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za...
Akiwa huko kizimkazi leo akipita katika mabanda ya wanyama alipofika banda la Simba haraka akauliza huyu Simba mmempa jina gani wakasema hana jina akasema mpeni Tundu Lissu!!
Simba ni mtawala na...
Hili ndio swali langu kwa timu Mbowe na vibarqka wengine plus MA-CCM wote wanaotaka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.
Lema na Lissu, mjue Mbowe sio wa kumsitiri tena kwa lolote. Yuko kimya ila...
Habari zenu wanajukwaa.
Siku za hivi karibuni huyu Dr amekuwa akijitokeza huko aliko na kusema jambo pale linapojitokeza jambo lenye utata ktk Taifa.Lakini tangu litokee hili la Ndugu yetu Tundu...
Muwe mnatunza kumbukumbu na muwe mnapanga ya kuponda
My take: Hii ni hasara ya kupinga kila jambo
USSR
Watanzania hawataki Ndege wanataka Maji; Naona viongozi wangu wakuu wakiwa ndani ya Maji...
Waziri Mkuu mh Majaliwa amemuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi RPC na RCO wa Mtwara na OCD na OCID wa Kilindi Tanga ili kupisha uchunguzi wa Tume aliyoiunda.
Pia, Waziri Mkuu Mkuu Kassim...
Ukiondoa Mbowe ambae unafanya nae kazi miaka 20 kabla kuhadaiwa na mitandao ya kijamii huwezi kufanya kazi na mwengine yoyote.
1. Hawezi kutunza siri
2. Kujiona too much know
3. Kujiona maarufu...
Ni ngumu kunishawishi kuwa Nyerere alikuwa kiongozi bora ngumu sana.
Mtu aliyetengeneza taifa la misukule kamwe hawezi kuwa kiongozi bora.
Propaganda kubwa imefanyika kumchora Nyerere mtakatifu...
Mgeni rasmi kwenye Uchaguzi wa Bawacha anategemewa Kuwa Mbowe na hii ilipangwa Kwa umakini ukizingatia Bawacha ni Jeshi kubwa
Jana Tundu Lisu kamuwahi Mwenyekiti wake Kwa hotuba yake mitandaoni...
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu ametangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu ujao.
Semu ametangaza nia hiyo leo Alhamisi Januari 16, 2025 alipokuwa akizungumza na...
Anaandika Godbless Lemma
Hiki ndicho achoandika Nabii wa Mungu Godbless Lemma katika ukurasa wake wa X.
"Nawatikia BAWACHA Uchaguzi Mwema na pia nakutakia kila la heri Dada Celestine Simba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.