Wakuu,
Makalla amenguruma leo kupitia Wasafi FM amedokeza kuwa kutokana na yanayoendelea CHADEMA chama hicho cha upinzani kimekosa uhalali na mamlaka ya kukosoa jambo lolote
Watu tunakomaa humu kumlaumu Tulia na Samia kwa kuiletea hasara serikali kwa uwepo wa kina Mdee bungeni, kumbe wale wabunge ni wake wa Kigaila na Salimu Mwalimu?
Yaani hawa wasaidizi wa Mbowe...
Habari zenu wanaJF wenzangu
Ndugu Mbowe na baadhi ya vijana wake (wengi mnawaita chawa), wamekuwa hawaamini kama ndugu Lisu akishinda uenyekiti wa Chadema ataweza kuendesha chama na badala yake...
Msithubutu kabisa kumchagua Freeman Aikael Mbowe kwani mtakuwa mmetangaza hadharani ushirika wenu na ccm kwa njia moja au nyingine.
Freeman Aikael Mbowe anapaswa kupingwa kila mahali na watu wote...
Inasemekana Martin Maranja ndiye mgavi wa pesa za rushwa kwa Wajumbe ili waweze kumpigia kura Mbowe.
Chain ya pesa hizo hutoka kwa Mbowe-Boniphace na kumfikia Martin pamoja na wenzake wanao...
Mpo Salama bandugu!
Moja ya mambo yanayofanya hii nchi ionekane ni ngumu ni pamoja na mtu kupewa sifa za Uongo.
Mfano; nchi hii kuna watu utaambiwa wanaushawishi au wanapendwa lakini ukifuatilia...
Tunakumbushana tu kwamba kabla maaskofu Watatu na Mufti hawajamfata Mbowe gerezani Makamu Mwenyekiti Tundu Lisu alishapeleka ombi la Freeman Mbowe na Wafungwa wengine wa kisiasa waachiwe
Rais...
Fikiria Mwenyekiti wa Chadema aliyekuwa kazungukwa na Wasomi wabobevu kama washauri sasa Washauri wake ni Mwanamuziki wa kufokafoka Sugu Moto Chini, Mlanguzi wa mifugo ya Mpakani Dalali Wenje na...
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla amesema Chama hicho kimejipanga kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi Mkuu unatarajiwa kufanyika mwaka huu 2025.
"Mimi niseme huyo mwenye...
Kuna Kijana alishauri kama Tanzania kuna Chama cha Walimu, sijui Chama cha Madaktari, sijui Chama cha Wanasheria na vigezo na Masharti vinazingatiwa kwa member wa hivyo vyama
Mfano kama...
Freeman Mbowe: "Msifunge ndoa na chama hiki. Tokeni CHADEMA na tafuteni kweli na haki kwenye chama kingine. Nazungumza maneno haya kwasababu ni uendawazimu kufunga ndoa na chama cha siasa." Mwisho...
Utofauti wa fikra na jinsi ya matumizi sahihi ya akili kati ya Wana CCM na CHADEMA, unazidi kudhihirika kadri siku zinavyozidi kwenda.
Wakati CHADEMA nchi nzima wako kwenye mijadala mizito ya...
Ushauri wangu kwa CHADEMA hamna anayefaa kuwa mwenyekiti wa chama hicho kati ya hao wawili kwa sababu zifuatazo ambazo zote zinanufaisha chama cha dolla
1.)Mmoja ni mropokaji hajui eneo lake kwa...
Mheshimiwa Rais, nitakueleza na kuwaeleza Watanzania wote mtazamo wangu na wa watu wanaofikiri sana na wazalendo wanaoipenda nchi hii hata zaidi wanavyojipenda wenyewe wanasemaje kuhusiana na...
Kuhusu kuendeea kusalia ndani ya Chama endapo atashndwa Uchaguzi Januari 21, 2025
"Nitakua Mwanachama, nitaendelea na mapambano kama Mwanachama (kwanini atabaki Chadema)...kwasababu najua...
Wanachi wengi hawakumwelewa yule bwana aliposema ipo siku tutapigwa mnada, leo wamasai ardhi yao imepigwa mnada kwa mwarabu.
Yaani anaondolewa Mtanzania kwenye ardhi yake ya urithi anauziwa...
Haya waliokuwa wanasema kufukuzwa kwa Wamasai ni kwa ajili ya kutunza Hifadhi wako wapi? Kwa mujibu wa Gazeti la Mzungu wenu The Guardian sababu ya kuwaondoa Wamasai kwa nguvu ni kupisha Mwarabu...
Mgombea uenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema baada ya 'mastori ya town' kusambaa anataka kugombea uenyekiti aliitwa kwenye kikao na watu watatu wanaoheshimika kwenye jamii, anasema kwenye...
SERIKALI YA TANZANIA IELEZE UKWELI VISA VYA UGONJWA WA MARBUG
ACT Wazalendo tunaitaka Wizara ya Afya ya Tanzania, kueleza ukweli kuhusu mlipuko wa ugonjwa hatari wa Marbug, na itangaze hatua za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.