CCM inatumia Akili kubwa, inajua Mwenyekiti wake ni Rais wa JMT mwenye majukumu chungu nzima ya kiserikali hivyo ni Busara Yeye mwenyewe ateue Msaidizi wake kisha Mkutano mkuu umfanyie usahili...
Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, CCM wanaendelea kuonesha Makali.
Walianza na Baiskeli, wakaja Pikipiki sasa ni Magari.
Matamanio yangu ni kuona Makali ya CHADEMA.
Je, Mbowe akishindwa, atampa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse amenukuliwa akisema
"Kuna tatizo la rushwa ya uchaguzi, yeyote...
Amani iwe kwenu Great thinkers
Kwa kweli wote tumeona ushujaa uliooneshwa na Mbunge wa Chadema Arusha mjini katika kudai uchaguzi huru wa meya na naibu wake.
Katika harakati hizo ilipelekea yeye...
Mbowe awe makini na atumie Busara ya Kimungu kujiokoa Yeye na kukiokoa Chama
Namshauri awaombe ITV wampe Tamthiliya ya Jumong Kutoka Korea Kusini atajifunza mengi kuhusu Utawala na uongozi...
Mbowe aliwahi kuwaleta CHADEMA wakina Lowasa, Sumaye, Membe, na hawa wote walikuja chadema wakijua kabisa watamuita mbowe bosi 😂😂.
Mbowe oyeee ,(Magufuli).
Pamoja na yote mazuri ya Mbowe ila...
Wanabodi
Tukubali tukatae watu hatulingani, kuna watu wana nguvu fulani za unabii kama wa upako fulani, wakilisema jambo, linakuja kutimia!, kauli zao ni ama zina power ya umbaji ndani yake...
Wakuu,
Siku ya jana aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini kupitia akaunti yake ya X aliahidi kwamba siku ya leo Tarehe 14 January 2024 atakuwa anazungumza na wanahabari.
Wengi...
Siasa za Bongo ni ngumu sana, Moja ya watu ambao Mh Mbowe aliwapenda sana ni Mh Lema hata kimpakia kwenye Elikopita kwenye ziara mbali mbali za kukijenga chama.
Mh Mbowe kwa mapenzi yake alikuwa...
Nyie kumbe watu ni wajanja sana mjue. Sema tu nyie bado hamjastukia dili.
Zile mbwembwe zote za Lema kuita press na kuongea mambo kibao ya kumkandia Mbowe na kumuunga mkono Lissu kumbe ni sound...
Wakuu,
1. Jumanne Kibera Kishimba - Mbunge wa Kahama Mjini
Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Alishinda kwa kura 35,709, akimshinda Sonia Jumaa Magogo wa...
Wakuu,
1. George Ranwell Mwenisongole - Mbunge wa Songwe
Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Aliibuka mshindi kwa kura 40,834, akimshinda mpinzani wake Pascal...
Ee Mungu nipe hekima yako niweze kuandika kitu kitakacho weza kuwapa uwelewa viongozi wenu juu ya hali ilivyo mbaya kwa wananchi wake 🙏🙏🙏🙏.
Awali ya yote Samia mama naomba elewa hali za...
Kama Kuna kitu BAWACHA wamepata na wanapashwa kujivunia basi ni huyu Mama,
Kwa ujasiri alionao huyu mama ni kama Simba Kweli Kweli hakika ni Mama anayestahili kufanya kazi na jasiri TUNDU LISSU...
Mhe Tundu Lissu akisema mambo ya Kamati kuu kwenye media anaitwa mropokaji,
Mjumbe wa Kamati Mhe Ezekiah Wenje akitoa siri hizo hizo anaoneka shujaa
Siku zote Mbwa akipoteza uwezo wa kunusa...
Wanataka Mbowe ambaye amekuwa siku hizi kama hangati aendelee kwasababu ameshaonekana kuchoka na kujisahau
1. Wanataka waendelee kuiba kura
2. Watataka Wenje aendelee kuhonga wanaharakati wote wa...
TANGAZO LA JOHN MNYIKA
Katibu Mkuu CHADEMA napenda kuwatangazia kuwa Kamati ya Wazee Wastaafu itakayosimamia mikutano ya kitaifa ya uchaguzi itahusisha Wazee Wastaafu wafuatao:
1. Ahmed Rashid
2...
Imekuaje vyombo vya habari ambavyo vilikuwa havirushi habari za viongozi wakubwa wa CHADEMA sasa ghafla vimekuwa havikauki kuwahoji viongozi waandamazi wa CHADEMA na havikosekani katika press...
Ukimchunguza Peter Msigwa, kidhabu na muongo wa mwaka, durusu hata marafiki na wandani wake ambao bado wako Chadema.
Ukishawajua, jiulize, je Msigwa, swahiba wa Jiwe, alikwenda kuandaa njia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.