Wametekwa kina Maria, Kibao, Soka, Kipanya na wengi wengine.
Kwa hotuba hii ya John Pambalu:
Bila shaka ujumbe utakuwa umewafikia akiwamo mwamba, wazi wazi kuwa:
"Pesa kitu gani?"
Kwamba...
Bila shaka andiko lake aliyekuwa mstahiki huyo linawahusu pia mwamba na chawa wake hasa waliosikika kuserebuka.
Anaandika mstahiki meya huyo wa enzi hizo:
"'judicial manoeuvre' ni kitendo cha...
Wanandugu Habarini...
Nimekaa na kutafakari kama mtu mzima, na nikiwa safarini kuelekea pale makao makuu ya nchi, na kwa kuzingatia mahusiano yangu ya mbali na huyu Bwana, nimeona ni heri nami...
Habari za Dominika wapendwa. Nakwenda kwenye mada. Naona Mwenyekiti Freeman Aikaeli Mbowe ametulia.
Hajibujibu tuhuma anazitupiwa na Watu wasiompenda. Hii inaonesha hekima, busara, uongozi...
CHADEMA yenyewe inaelekea shimoni, hizi mada za Mbowe vs Lisu zimetuchosha.
N.b.
MODS: Hii si complaint, ni hali ya wana JF wengi, kuna kero nyingi kama ajali za kila siku.
Vyuo vya afya vinavyotoa diploma vimekuwa vingi sana kitu ambacho ni chema.
Lakini katika wingi huu,umeingia ushindani usio halali wala sawa katika kunyang'anyana wanafunzi.Kuna uhuni mkubwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tanzania Bara, Tundu Lissu, anakabia juu katika kinyang’anyiro cha uenyekiti wa chama chake. Anahakikisha Mwenyekiti aliye ofisini kwa sasa, Freeman Mbowe, hapati...
Wakuu,
Uchaguzi wa CHADEMA nafasi ya Uenyekiti umezidi kupamba moto.
Haya ni maneno ya Afande Sele ambaye ni mfuatiliaji mkubwa wa siasa za Bongo.
Mbowe ajitafakari.
Hiki ndicho alichoandika...
Yapo mapendekezo ya kumteua Majaliwa K. Majaliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM bara. Ipo mipango yakumwandaa Innocent Bashungwa kuwa Waziri Mkuu ajaye endapo CCM itashinda uchaguzi 2025.
Endapo...
"Leo tuna miaka 60 tukiitwa Tanzania, ndiyo maana tuna rais ambaye ni mzanzibari, siyo mtanganyika. Anaweza kwenda ngorongoro akatoa amri kwa wanajeshi hawa, akasema fukuza wamasai wote ngorongoro...
Godbless Lema amesema kuwa Mwenyekiti Freeman Mbowe alimwambia mara kadhaa kwamba amechoka na anataka kuachia uongozi wa chama.
Soma: Godbless Lema: Namuomba Mbowe apumzike, amuachie Lissu afanye...
Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema chama hicho kitampa nafasi mtu yeyote atakayehamia kuweza kugombea nafasi ya Urais.
Ado amesema taratibu za chama hicho zinasema mtu...
Tegemea Sanga Mwanachama wa CHADEMA anasema Viongozi wao wajuu wamechukua jukumu la kumuunga mkono Mbowe bila kuwashikirisha wao kwani wao wanamtaka Lissu Kwakuwa ni muwazi na mkweli.
Zikiwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu anasema yeye hana maslahi binafsi Kwenye Ubunge wa Viti maalumu
Unaweza ukaiona ni kauli Nyepesi Lakini imebeba Ujumbe mzito sana
Kuna wakati Spika...
Mtangazaji wa kipindi cha Jana na Leo kutoka Wasafi Fm, Edo Kumwembe amesema angekuwa mshauri wa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe angemshauri kujiondoa katika...
Nianze kwa kukupa pole na majukumu ya kitaifa pia nikupongeze kwa kuaminiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, uwe Mkuu wa Jeshi la Polisi.
Sina shaka na utendaji...
Zimekuwepo na hoja zinajengwa za kudai eti ndugu Mbowe ni mwenye busara. Hata hivyo mimi napinga hii hoja kutokana na matendo ya mwenyekiti.
Busara haipimwi tu kwa kauli bali inapimwa kwa maamuzi...
Bawacha wamepanga kwenda Bungeni Dodoma tarehe 10/05/2021 kudai nafasi zao 19 za Ubunge zinazokaliwa kwa mabavu na akina Halima Mdee na wenzake .
Mwenyekiti wa Bawacha wilaya ya Chato bi Husna...
Binafsi si mwanachadema ila kipindi hiki nimefuatilia michakato ya chadema kuliko wakati mwingine wowote.
Moja ya suala lililonifikirisha ni jinsi gani hawa vijana wadogo wanavyokuwa damaged na...
Hadi sasa Bavicha na Bazecha zimechagua Wenyeviti Wasomi wenye Leseni za Kitaaluma kabisa
Bado Bawacha na pale juu kabisa Alfa na Omega 😂
Ahsanteni sana🐼
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.