Hatuna shaka na uzalendo wa Lisu wala misimamo yake katika kukataa Rushwa, chama kikiwa mikononi mwake ukombozi wa kweli wa Taifa utapatikana.
Magufuli alitenda Mengi Mazuri lakini kama...
Chonde chonde wanaCCM wenzangu. Tusibweteke na anguko la kilichokuwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA. Tukumbuke kuna uwezekano wa vyama 14 kuleta upinzani mkali kuliko uliokuwa kwa CHADEMA...
Wakuu,
Toka tukio la utekaji wa Maria limetokea jana Januari 12, 2024, akapatikana, akatoa statement kwa ufupi na kusema ataongea vizuri leo hakuna neno lolote kutoka serikali ya Tanzania kuhusu...
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza kwenye Kikao amehoji;
"Wananisema kuwa sina Pesa, siwezi kuendesha Chama, hebu watueleze pesa za Jana usiku zilitoka kwa nani? Tumeshuhudia...
Hakuna haja tena ya kusema sana sera zako, wewe tuambie tu uko timu ipi au hauna timu, hiyo inatosha wajumbe kujua unasimama na sera zipi.
Ikiwa mko wengi na msimamo wenu wa kitimu unafanana...
I don’t have a dog in the fight, but I’m starting to see similar kind of vibes between 2017 and 2025 in relation to Tundu Lisu.
Mwaka 2017 Lisu aligombea urais wa TLS. Kabla ya uchaguzi huo...
Tundu Lisu hana Bei pamoja na Mapungufu mengi tu aliyonayo
Siku ukiona Tundu Lisu amepokea Hela ya CCM na ikathibitika Ujue Siku hiyo ndio Chadema imezikwa rasmi
Kimsingi Chadema imeshakufa...
Embu ona!
CHADEMA unapozungumzia watu wenye ushawishi, utamtaja Lisu, Heche, Lema, Mbowe na Sugu. Msigwa kama Msigwa angekuwa hajahama CHADEMA angekuwa kwenye top 6 ya viongozi wenye ushawishi...
CHADEMA shikilieni hapo hapo nendeni na Lissu kitendo cha ccm kuonyesha upande hiyo ni alarm tosha kwenu kwamba upande wa adui yenu ndio upande mbaya kwenu nawashauri muende na Lissu.
CCM...
Ushauri kwa Lissu: Kujitoa Katika Uchaguzi na Kumuunga Mkono Mbowe
Mheshimiwa Lissu, kwa kuzingatia hali ya kisiasa ndani ya CHADEMA na mazingira ya uchaguzi wa ndani, kuna hekima kubwa katika...
Ndugu zangu Watanzania,
Nauliza hivi Tundu lissu kwa sasa anafanya kazi gani ya kumpatia kipato .inayoweza kumfanya akisaidie hata chama kama ambavyo amekuwa akifanya Mheshimiwa Mbowe Mwamba na...
Namshauri Katibu Mkuu wa CHADEMA ndugu John Mnyika aahirishe kwanza uchaguzi mkuu, kwa sababu kuna viashiria vya uvunjifu wa amani au ikiwezekana Lissu na Heche wawekewe pingamizi la kisheria kwa...
CHADEMA kutokana na uimara wake ndiyo maana inapitia hii misukosuko ya kiuchaguzi na itavuka salama.
Ila kwa kuwa CCM ni chama dhaifu kinachotegemea dola kujiendesha, hakiwezi Kamwe kupitia njia...
Ni ushauri tu kwa CHADEMA, toka kwa kada wa siku nyingi wa wapinzani wenu CCM.
Mnaye kada wa chama chenu Tundu Lissu ambaye anajongea kiti cha uenyekiti wa CHADEMA.
Huyu Lissu anafaa nafasi ya...
Kwa mtazamo wangu upepo ulivyo Mbowe ana nafasi ndogo ya kushinda na kama kweli anatembeza pesa na kukafanyika janja janja akashinda basi chama kitapasuka vipande vipande.
Pia haijalishi nani...
Unaweza kushangaa hizi kampeni zote za Lugumi akimwaga Pesa, mara watoto Yatima n.k zina lengo gan na kwanini nguvu kubwa inatumika kumtakatisha !!.
Rais Paul Kagame, ni Rais alojaliwa kua na...
Tundu Lissu Makamu akizungumza kupitia clubhouse leo Desemba 23 amesema kuwa "Tutaweka ukomo wa Ubunge wa Viti Maalum ili wanawake wengi wanaokipigania Chama wapate fursa na isiwe kikundi cha watu...
Mheshimiwa pole kwa Kazi. Najuwa Ile furaha na bahati Kuwa kiongozi mkuu wa Taifa huwa inakufanya upende kusema umejitoa hata kufa Kwa Taifa hili ni kweli kabisa. Tunajua sio wewe tu ila kila Raia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.