Shangwe la WanaCHADEMA kutoka soko kuu Arusha wakifurahia ushindi wa Wakili Deogratius Mahinyila kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa.
Soma: Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura, amesema kuwa Jeshi la Polisi limejipanga vyema kuhakikisha usalama wakati wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.
Akizungumza...
Hii ni tathmini yangu ya haraka haraka. Kuna fukuto kubwa sana na bifu kubwa sana kati ya wanachama na viongozi wa chadema.
Natabiri vurugu kubwa sana ambayo kama Ubungo Plaza watakubali kuwapa...
Wanabodi,
Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "Karma", na nimekuwa nikikihubiri mara nyingi tuu humu jukwaani kuwa karma ndio the power pekee ambayo hutoa hukumu ya haki hapa duniani, kwenye...
Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya CHADEMA, Kamati Kuu ya Chama inatarajiwa kukutana tarehe 6 Januari 2025 kwa ajili ya kujadili masuala mawili makubwa: uvujishaji wa taarifa za ndani ya chama na...
Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Esther Mahawe amesema anashangazwa na Wanaume wanaojiua kwasababu ya mapenzi wakati Sensa inaonesha kuwa Wanawake wako wengi nchini kuliko Wanaume hivyo wanaweza kuoa...
Tuseme ukweli Mbowe kachoka miaka 20+ akiwa Mwenyekiti si mchezo ni moja ya mwanasiasa mahiri kuwahi kuongoza chama cha upinzani Tanzania ukimtoa Maalim Self.
Mbowe anamjua Lissu in and out...
Na hii ni pamoja na hujuma za makusudi kutoka kwa wanachama, wapambe na viongozi wa mgombea wa kambi pinzani watakaokuwemo uongozini.
Infact, bila umakini kwenye hili, chadema will be no more in...
Pesa haijawahi muacha mtu salama tangu enzi za mitume na manabii pesa ni sabuni ya roho,ukiona mtu anapiga kelele sana kuhusu rushwa hajaunganishwa kwenye mfumo,nani hataki raha toka aanze ni yeye...
Niende kwenye mada moja kwa moja Tangu miezi sita nyuma au mwaka mmoja nyuma tulio karibu na uongozi wa chadema tuligundua ipo siri kwa vice-chairman ana matamanio na kugombea uwenyekiti na kuhisi...
Hii hoja ingekuwa na nguvu Sana kama Mbowe asingejitangaza hadharani kwamba amechangia Chama hivyo anaona astahili kuwa Mkiti
Anataka kutuaminisha kwamba uongozi wa CHADEMA Huwa unanuliwa
Mtu...
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mbeya wanaomuunga mkono Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu wamewataka wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA Taifa...
Japo matokeo ya uchaguzi wa CHADEMA si rahisi kutabiri, je iwapo Tundu Lissu atabwagwa, mashabiki na wapenzi wake mtafanya nini?
Je Mbowe akibwagwa, mashabiki na wapenzi wake mtafanya nini?
Je...
Habari Wakuu!
Kama kichwa cha habari kinavyosema, hicho ndio kitu kinachoweza kutokea wakati wowote kuanzia sasa, ila uwezekano ni kujitoa dakika za jioni.
Ataongea mengi na atakuja na ngonjera...
Ni wazi kwamba Tundu Lisu ni mwenyekiti Mpya wa CHADEMA. Wakati huo Mbowe anakwenda kuwa mjumbe na mshauri wa chama.
Mabaraza yote yamesimama na Lisu siyo kwa bahati mbaya, wamesukwa kufanya...
Mh Mbowe alishupaza sauti kwa kujifanya yupo siriasi kwa kuwaonyesha wafuasi wake watiifu kuwa anayasema maneno yale mbele ya raisi ana uchungu mwingi ilihali anajua jambo lile lina baraka zao na...
Hilda Newton ameona fursa sasa anaifukuzia ila namkumbusha aweke akiba ya maneno tangu juzi amefungilia koki ya maneno nafikiri ananyemelea nafasi iwapo tu wale wanawake walioapishwa kama...
Ni sawa na hawapo tu mwenyekiti yupo mahabusu hatujui atatoboa au ndio Guantanamo, makamo mwenyekiti kaamua kujichimbia ughaibuni kula bata kwa namna ya kipekee,
Je, katiba inasemaje na ni...
Alihitaji kusema kwa sauti ila kivitendo ni dhwahiri chadema kupitia viongozi wao wakuu vice-chairman na chairman kwa vipindi tofauti wamekubali kuwa Serikali ya awamu ya tano na sita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.