Raisi Samia aliposema huko ndani kwao kunawaka moto hakukaliki kuna zogo Watu walibisha walijua ni ndani ya CHADEMA pekee ndio kunakowaka moto kumbe ni upinzani wote, ushahidi ni kama mlivyomsikia...
Ukweli ni lazima usemwe Mbowe ni jabali la siasa pamoja na mapungufu yake kama mwanadamu,
Dhahiri CHADEMA chini ya ukufunzi wa Mbowe amekuwa ni mpishi muhimu kwa wanasiasa wa Tanzania, na...
Kumekua na malalamiko yakiambatana na maombi kwa Mbowe kumuachia Lisu.
Wote(hasa viongozi wa CDM) akiwemo Heche na Lema wamemuomba Mbowe apumzike huku wakijinasibu kuwa Lisu atamshinda Mbowe...
Mbowe anashida kubwa,na anachokifanya ni chuki ambayo haina afya kwa CHADEMA.
Ulafi wa madaraka na kung'ang'ania madaraka ni jambo linalosikitiaha sana mtu ameamua nae kugombea nafasi ya...
Lema anasema Mbowe alitaka kuwafukuza. All is possible, vile vile inawezekana hao trio ndio walikuwa na mpango wa kumpindua Mbowe. Leo Lema anasema Mbowe alikuwa na mpango wa kuwafukuza akina...
Hellow!!
Ndugu Lema ni muumini wa DEMOKRASIA, sasa HOFU inatoka wapi ikiwa wanachadema wanataka mabadiliko ya Kweli?
Si vyema kuruhusu bundi aingilie madirishani!
Karibuni 🙏
Salaam, shalom!
Nimesikia kauli ya mbunge mmoja akitamka kauli ya hatari mbele ya viongozi wake wa chama na mbele ya umati wa wananchi waliohudhuria mkutano huo wa hadhara.
Amesema hadharani...
Hii kauli ni kufuru. Lissu kupona ni miujiza ya Mungu na sio Mbowe wala mwanadamu mwingine yeyote. Pia mchakato wa kumtoa Lissu Dodoma hadi Nairobi ulihusisha watu wengi sana na sio Mbowe tu...
Nashangaa naona ni siku Moja tu imepita tangu movie itoke lakini naona kimya kabisaaaa. Hata wale haters wa Mama yetu ambao mara tu baada ya bi mdada kutangaza kutoka kwa movie yake walikimbilia...
Nimebubujikwa na machozi ya furaha baanda ya kuona ndugu yangu John Mnyika kajitosa kuokoa jahazi baada ya kuchagua wazee 3 toka kaskazini. (Kuna kanda hazijatoa mzee hata 1:D)
Napendekeza CCM...
Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika tawi la Kemondo, kata ya Igoma, jijini Mwanza, wameeleza wazi msimamo wao wa kumuunga mkono Tundu Lissu kuwa mwenyekiti wa chama...
Wasalaam
Hakika ni vigumu sana kuamini kama huyu mwamba mbowe anashirikiana na ccm watesi wa wanachadema. Kuna watu wamepoteza maisha kukipigania chama, na kuna watu ni vilema, mpaka leo Tundu...
HOTUBA YA TUNDU LISSU BAADA YA KUSHINDWA NA MWINYEKITI FREEMAN MBOWE KATIKA UCHAGUZI WA NDANI
Ndugu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe,
Ndugu viongozi wa...
Rais huyu mpendwa ameshushwa na Mungu tunafurahi uwajibikaji wake Mimi kama msemaji wa wananchi tunaomba tena Kwa kukupigia magoti daktari Samia Suluhu Hassan utuongoze mpaka mwaka 2045
Mama...
Naamini Mbowe na Kisu kuna mchezo wanacheza baada yakuona CCM imepania kuondoa siasa za ushindani nchni
Ni miezi miwili sasa vyombo vya habari na wananchi wamejikita kufuatilia siasa za CHADEMA...
Aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya kaskazini CHADEMA Godbless Lema amesema Uchaguzi wa kanda Nyasa ulikuwa mbaya zaidi kuliko wa TAMISEMI kwani Peter Msigwa alionewa
soma pia:
Nimejaribu tu kuwaza, hizi sarakasi za Mbowe na Lissu pamoja na team zao, sio mpango kazi wa ndani kuchukua attention kutoka kwa wananchi?, kwa yanayoendelea sio rahisi.
Uungwana ni vitendo
Baada ya kuthibitishwa na aliyekuwa Mjumbe wa kamati Juu ya Chadema inayopitisha Majina ya Wabunge wa Viti maalumu Kwamba wale COVID 19 ni Wake wa Viongozi wa Chadema ni...
Moja ya sera ambayo imekuwa ikipigiwa kelele na kambi ya Tundu Lissu ni ya kuweka muda wa ukomo wa viongozi wa chama cha siasa cha chadema. Kwamba kiwe ni vipindi vya miaka mitano mitano...
Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Japo mimi ni kada wa chama cha siasa na sio CHADEMA, ukada wangu, haunizuii kutoa ushauri kwa Chama chochote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.