1. Uzoefu wa Uongozi
Ufafanuzi: Mbowe ana uzoefu wa muda mrefu katika siasa na uongozi wa CHADEMA, akiliongoza chama kupitia changamoto mbalimbali za kisiasa na kuhakikisha kinaendelea kuwa chama...
Kama Maria anataka kufanya majadiliano ya matukio yanayotokea hivi sasa, ni lazima afanye kistaarabu,bila kutukana.
Kila siku tunaona watu wanajadili current events katika talk radio.
It is...
Mungu asante sana kwa utukufu wako na uhai unaotupa watoto wako.
'Acha kulalamika, umechelewa, muda haukungoji, majadiliano ya siasa huleta uchomvu wa akili na upofu wa fursa'
Nilikuwa nawaza...
Kinachomtofautisha Tundu Lissu wanasiasa wengi hapa Tanzania ni usomi wake.
Jenerali Ulimwengu hakukosea aliposema kwamba kila anapozungumza Lissu yeye humsikiliza kwa makini sana.
Mara nyingi...
Na wote hapo mna Kwa kukimbilia.
Lisu Ubelgiji
Lema Kanada
Heche Kenya
Bavicha hana Kwa kwenda.
Natamani sana Msusie Uchaguzi Mkuu Ili Kuwaongezea Mwendo CCM...
Nimefuatilia Uchaguzi wa BAVICHA unaonekana umejaa wahuni wasiojitambua kabisa wakiongozwa na Mwenyekiti wao,nimeona wengine wanasema walifoji vyeti ili wagombee,wengine wanasema bila Posho hakuna...
Wakuu, Matajiri wa Kiafrica Ni wapambanaji sana Ili kuleta ustawi wa Familia na Koo zao, Huwa hawalali Na Kiukweli hujitahidi kadiri ya Uwezo wao familia Kusimama!
Pamoja na Mazonge yote watu...
Mheshimiwa mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe, ukitangaza leo kwamba baada ya tafakuri nzito umeamua kutogombea kwa mara nyingine uenyekiti wa Chadema leo utakuwa umeua ndege wawili kwa...
Amenadika Mdude Nyagali kwenye Mtandao wa X.
Kwa wale wageni ambao hawajui mambo ya uchaguzi ndani ya vyama n.k.
1. Posho za wajumbe hutolewa mapema tu wanapowasili na wahasibu walioteuliwa...
Mwenyekit wa Bavicha mwalimu John Pambalu atastaafu rasmi 13 January, 2025 baada ya sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar
Ameandika ukurasani X
Sabato njema
MWENYEKITI mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amesema atafanya maombi kwa Mungu kupata upande sahihi wa kuunga mkono katika mvutano wa kumpata...
Yericko alizaliwa huko Iringa miaka ya 1984 akiwa ni mtoto pacha na mwenzake.
Yericko ni miongoni mwa watoto 7 wa mzee MKANA kutoka huko kwao.Kijijini Maduma Iringa!
Baada ya kumaliza shule ya...
Anaandika mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu katika ukurasa wake wa x
--
Kumbukeni tuna chama cha kujenga baada ya uchaguzi. Udhaifu wa usiyemuunga mkono haumfanyi unayemuunga mkono kuwa...
Harakati Harakatini
Msingi mkubwa wa haki za binadamu ni mapokeo ya Universal Declaration of Human Rights ya mwaka 1948 ambapo humo kuna vipengele 30 vya hizi haki za binadamu. Ni document ya...
Itakumbukwa Mbowe alikamatwa Mwanza na kufunguliwa kesi ya uchochezi na uhaini na kukaa rumande kwa miezi nane (8). Kesi ya awali ilisikilizwa na Jaji Siyani ambaye baada ya kumkuta Mbowe ana kesi...
Huyu mkurya aliye na wajomba na baba wadogo Kenya, aliyesoma SAUT kwa kulipiwa na Barrick North Mara na mkopo wa bodi ya elimu anajiona msafi kuliko watanzania wengine.
"Cha kwanza ni kwamba huyu...
Amefanya kazi nzuri sana pale BAZECHA na anaendelea kufanya kazi nzuri zaidi pale BAVICHA. Ni matumaini ya kila mwanachadema mzalendo kwamba, the field marshal matonya engr. Benson Kigaila...
Mheshimiwa Lissu
Mara kadhaa tumekusikia ukizungumza kuhusu Deusdedith Soka kwa mafumbo lakini ukiimply kuwa Soka hatunaye tena duniani.
Kwenye hotuba yako ya mwaka mpya ulimtaja Soka kwa kauli...
Lema awaambia wajumbe yeyote anayewashawishi kwa pesa na kutaka kuwafungia chakula wachukue halafu wakishakua waende kwenye kuwachinja kwenye uchaguzi.
Pia soma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.