Nakubalina na Rostam Aziz, Wawekezaji wa Nje waje ku compliment pale ambapo Wawekezaji wa Ndani wamekwama tena Kwa Ubia.
Sasa taasisi zetu zikisia uwekezaji wao wanaweza Wazungu na hata Sasa wako...
Hotuba ya Lema imedhihirisha Mwenyekiti Mbowe hana Nia ya kuongoza Chadema Kwa sababu amechoka ila Kuna Watu wamemlazimisha Kwa maslahi ya matumbo yao
Aidha Lema amedhihirisha Chadema ni Chama...
Kwa Mujibu wa Maelezo yake Wakili huyu Msomi anayeitwa Deogratius Mahinyila, anasema kwamba, siku zote imekuwa Ndoto yake kusaidia wanakijiji wenzake.
Kwa kukumbusha tu ni Hivi, Huyu kijana...
Mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ndio habari ya nchi kwa sasa, na ndio maana kila pande ya Tanzania inausubirikwa hamu mkutano huu.
Kila pande ya Tanzania macho na masikio yao yatakuwa jijini...
Katika hali inayoonyesha usanii mkubwa wa uongozi chini ya Mwenyekiti Mbowe, Aliyewahi kuwa mhariri wa gazeti la Tanzania Daima ndugu Absolom Kibanda, ameongea na Watanzania kupitia katika mtandao...
Kuna kila Dalili huu uwepo na mpango kuwa na hawa wabunge 19 Bungeni ni mpango wa kifisadi na wahusika ni viongozi wakubwa ikiwepo CHADEMA, kwa namna tu hili suala linavyopelekwa.
Kuna fununu...
Habari wana JF ,Ujue kwenye maisha kuna watu ambao huwezi ona wanagombana na watu au kuna watu ambao wanafanya vitu kwa ajili ya watu wengine ambavyo ni hatari kiasi kwamba hata wewe huwezi fanya...
Habari JF,
Namekaa nimefikiria sana kinachoendelea Pale CHADEMA .
Kwa hali ilivyo ya maisha ya Watanzania ilivyo ngumu wengine wakitegemea ajira za laana kama zilivyopewa jina na Lema na Tundu...
Ni wamba wawili wenye tabia za mfanano ulio bayana.
Wamba hao ni wazi waliingia kwenye Madaraka na kuwa vipenzi wa dhati kwa waliowaongoza katika Vipindi.
Tatizo waliamua kubishana na muda...
Kuna ajali mbaya sana imetokea Ihemi maeneo ya Iringa karibu na kijiji cha Ifunda ambayo inamhusisha Dr. Mwakyembe
Taarifa zaidi zinafuatia:
Picha ni hizi
Dr Mwakyembe akifikishwa hospitali...
Kwa taratibu za Chama hasa kwenye nchi za demokrasia Mh Mbowe angetakiwa kustaafu kwa manufaa ya uma. Waziri mkuu wa Canada ametangaza kustaafu sio kwasababu kashidwa uchaguzi lakini ni kwasababu...
Ikinyesha utajua wapi panavuja.
Matukio ya hivi karibuni yalitokana na Lisu kuropoka hovyo, yanadhihirisha wazi kuwa Msigwa na Lisu had prior communication na Lisu na Msigwa alipewa baraka na Lisu...
Nadhani wote tunaelewa Wanasiasa na Ulaghai / Kulaumu wengine ni pete na Kidole....; Mdau mmoja alisema.... To err is human. To blame someone else is politics.
Nashangaa pale Chama tawala...
Nimesikia kwenye Radio Free Africa hapa Mwanza kuwa Chenge amehukumiwa Kifungo cha miaka 2 ama Faini ya Shs za kitanzania mia saba elfu tu, Shs 700,000/= ambapo amelipa palepale mahakamani...
Wana JF -- kuna habari kwamba yule Bwana wa Vijisenti, Andrew Chenge anashikiliwa na polisi kituo cha Oysterbay kwa kuua watu wawili kwa kugonga Bajaj. Habari zaidi bado hazijapatikana. Tafadhali...
Yani mpaka rahaaa
Tundu Lissu anamwaga dhahaabu, Dk silaaaa anaharibuuu kabisaa
Kulee Lemaa anashtua taifa na wake zao 19 WA wakubwaaa
Yaani natamani kuonana uchaguzi inajirudia kila Mwaka...
Sijui katiba inasemaje imenshtuaa
Leo wakati Odemba WA Star tv anahoji aliuliza swali WAKILI na baadhi ya wanachama kwenye mdahalo
Vipi Mbowe MH akishindwa Itakuwaje?
MMOJA akajibu atabaki kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.