Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Chama cha Mapinduzi ni chama chenye mikakati, nguvu, uwezo na mipango mingi mnooo, kama kuna mtu anajidanganya kuwa fulani akishinda uenyekiti ndani ya CHADEMA mtakuja kushika dola, ni ujinga wa...
2 Reactions
21 Replies
406 Views
Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu A.M. Lissu amesema kuwa ana hofu kubwa juu ya mustakabali wa CHADEMA baada ya uchaguzi mkuu utakaofanyika juma lijalo. Lissu ameyasema hayo...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Tupo salama wote! Wakati CCM ipo Kimya ikiangalia yanayoendelea CHADEMA na mara kadhaa kwa Siri huenda ikijihusisha na mambo hayo kuyaingilia. Ikiwa Mbowe atashinda hakuna mabadiliko yoyote...
14 Reactions
73 Replies
1K Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Kigoma, imebaini baadhi ya wagombea wa uchaguzi wa serikali za mitaa kutumia rushwa ya fedha na nguo kwa kuwapatia wananchi nyakati za...
0 Reactions
4 Replies
267 Views
Katika muktadha wa siasa za Tanzania, kuna changamoto nyingi zinazohusiana na utawala bora, uwajibikaji, na uhuru wa kujieleza. Viongozi wengi wanaonekana kuendesha shughuli za kiongozi kwa...
1 Reactions
0 Replies
97 Views
Wanabodi, Utandawazi Kwa kiasi kikubwa umebadilisha maisha ya watanzania na jinsi ambavyo wanapata taarifa kuhusu mambo tofauti tofauti. Lakini je taarifa hizi zinazopatikana kwenye mitandao ni...
1 Reactions
10 Replies
366 Views
Wakuu, Lema asema hatogombania ubunge wa Arusha Mjini 2025, lakini amesema ataendelea kushiriki kwenye harakati zote za chama katika kuleta mabadiliko. Pia, Soma: Godbless Lema: Namuomba Mbowe...
10 Reactions
63 Replies
2K Views
Anaandika Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti Chadema kuhusu Covid 19 Kama wanaruhusiwa kurudi itakuwa ni kwa sababu hawakuwa na makosa yoyote, ila sisi ndio tuliowakosea. Kama tukiwaruhusu kurudi...
36 Reactions
85 Replies
4K Views
Watu wanapotea bila maelezo. Mpaka leo Deusdedit Soka hajulikani yuko wapi. Abdul Nondo ametekwa juzi. Watu wanauliza maswali hawapati majibu. Juzi ametekwa mtu Mbezi,mfanyabiashara,muuza...
2 Reactions
6 Replies
212 Views
Mpo salama! Wengine tunajadili na kuyaona mambo kwa Jinsi yanavyoonekana na Wala sio ushabiki. Hakuna asiyejua nguvu ya Mbeya, Mara na Arusha kwenye chama cha CHADEMA. Mikoa hiyo ndio ngome kuu...
4 Reactions
18 Replies
475 Views
Nafikiri Chairman mbowe aliwakata maini wafia chama wengi hawaonekani jukwaani na kile kikundi chao cha propaganda uchochezi na uzandiki, Baada ya kumtuhumu mwenyekiti kalamba buyu la asali...
1 Reactions
5 Replies
363 Views
Kwanini wanapotosha, kwanini hakuna anayeweka uthibitisho wa video habari hii ya madai kuwa Tundu Lissu amethibitisha Padre Dkt. Charles Kitima kushiriki vikao vya siri vya CHADEMA? Katika video...
6 Reactions
103 Replies
4K Views
Wakati viongozi wetu wako busy kununua madege ya kula bata na kizurula duniani badala ya kutengeneza mikakati ya kutengeneza ndege zetu za vita na mabomu ya nyuklia ya kujilinda dhidi ya vita ya...
27 Reactions
193 Replies
9K Views
Aliyekuwa Mkurugenzi na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania ( BOT), Amatus Liyumba amefariki dunia, msiba uko nyumbani kwake maeneo ya Triple Seven, Mikocheni jijini Dar. R.I.P
9 Reactions
321 Replies
97K Views
Inahitaji kuwa na akili kubwa sana ili uweze kupambana ki hoja na Tundu Antipass Lissu. Naziona siasa za Tanzania zikibadilika sana kuelekea kupata Tanzania yenye Katiba Bora kabisa upinzani...
2 Reactions
0 Replies
192 Views
Leo Ndugu Lema kafunguka mengi sana kuhusu hali ya kisiasa nchini. Miongoni mwa aliyoyazungumza leo ni kuwa katika watu hatari kwa mustakbali wa CHADEMA ni Wenje. Amesema kipindi Wenje kachukua...
41 Reactions
144 Replies
9K Views
Wakuu, Mambo yanazidi kunoga wakati tunaelekea 2025. === Siku moja tangu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu atangaze nia ya kugombea...
5 Reactions
12 Replies
792 Views
Wakuu, Habari ndio hiyo Heche amechaguliwa kuwa Mwenyekiti Taifa wa Bavicha baada ya kupata 53% ya kura zote, akiwaacha kwa mbali wagombea wengine 5,, uchaguzi umeisha alfajiri hii Dr. Slaa...
1 Reactions
292 Replies
30K Views
Bado najiuliza huyo mwanasiasa aliyetajwa na Dr. Anthony Diallo kwamba alikuwa na jalada hospitali ya Mirembe ni nani? Na kwanini mifumo ilimruhusu kugombea? Nawasalimu kwa jina la JMT...
32 Reactions
294 Replies
30K Views
Bongo madhaifu yetu tunataka kuyaficha au kutupia vyama vya upinzani na viongozi wao kwamba ndio sababu ya upinzani kulegalega. Hii sio kweli hata siku 1. Ukiiangalia Kenya utagundua mafanikio...
6 Reactions
4 Replies
217 Views
Back
Top Bottom