FREEMAN AIKAEL MBOWE
(Borntown)
Ana huruma kiasi,anasikiliza shida za wanachama wake,ila hapendi mtu mwerevu kupita kiasi,yaani usivuke mipaka.mtaji wake ni wanachama Waandamizi yaani...
Wapendwa habari?
Naangalia hapa kupitia ZBC Raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Daktari Hussein Ali Mwinyi akiwa Kiwanja cha Kufurahisha Watoto Tibirizi Pemba.
Mh. Raisi...
Naomba kunukuu Para A1 (21) ya Standing Orders ya 2009 kama kanuni za kudumu za Utumishi wa Umma........inasema "District Administrative Secretary" means a public servant in-charge of...
Bado haijabainika wala haijawekwa wazi kwamba ni sehemu gani ya katiba, sheria au kanuni za uchaguzi zilizokiukwa, lakini tayari mchakato wa kumuita na kumpeleka mbele ya kamati mahususi juu ya...
https://youtu.be/3F8yBt6lrOY?si=stTHOPf0ioqfr114
Huyu dada ndio mtu pekee anaweza kuziba pengo la Halima Mdee pale BAWACHA.
CHADEMA itumieni vizuri hii tunu mliyopewa na Mungu, Dada anaujasiri...
Watu kama Tundu Lissu wana nafasi yao ndani ya vyama vya siasa. Machachari ya Tundi Lissu yanafaa sana kuibua hamasa kwa wanachi.
Si mmeona CCM wamepotea kwenye anga tangu kinyang'anyiro cha...
Salaam Wakuu,
Ni aibu kubwa mbele ya Dunia kuna Misafara ya Viongozi wa Tanzania inavyokuwa Mikubwa. Magari Zaidi ya 300 yanamfuata Mtu Mmoja tu.
Magari ya Ulinzi sina tatizo nalo, ila magari...
Kama uchaguzi wote unasimamiwa na chama, huu mchango unalenga nini kama si rushwa?
Chama kimelipia uchaguzi wote.
Pesa hii haitamika kuhonga wajumbe na kusambaza propaganda dhidi ya chama?
Nilisikia kuna watanzania waliopewa dhamana kusimamia rasilimali za nchi walio gawa rasilimali zetu ikiwemo bandari zetu kwa wageni bila ushiriki wa wananchi
Wanasema heti sababu ya kugawa...
Miaka 21 Mwamba Mbowe anazunguka tu Ukuta wa Yeriko bila Kutenda maajabu yoyote
Sasa ni lini huyu Mwamba anadhani atawavusha Hawa wanaomwita Alfa na Omega?
Mlale unono 😄
Nadhani mbowe alijidanganya na kujiona kua yeye ndo mwenye sauti ya Mwisho Chadema na kujiona yeye ndo mpanga safu ya uongozi ndani ya Chama kuanzia ngazi ya chini mpaka Juu
Yani unataka...
“Unawezaje kwenye meza kuu Mwenyekiti unakaa na manaibu Katibu wakuu wawili ambao wake zao ni sehemu ya wabunge 19 waliopo bungeni, halafu Msigwa akawa hatari, mimi niliongea Mtwara kuwa wanapaswa...
FREEMAN MBOE
Kwa viongozi wote wa Baraza la Wazee na Baraza la Vijana waliochaguliwa, hongereni kwa ushindi wenu! Bidii yenu katika harakati zetu imekuwa msingi wa mafanikio haya, inayowapa fursa...
Kuelekea uchaguzi mkuu nitoe wito kwa CCM kusimamisha mgombea ambaye watanzania wa chama hicho wata mchagua kuwakilisha chama mwenye hoja, mwenye uwezo na maono bora sio mnapitisha mtu kwa...
Miongoni Mwa Mafanikio Ya Mheshimiwa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan Katika Wilaya Ya Ilala
- Ujenzi wa Barabara Ya Mwendokasi; Katika Uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Kumetekelezwa Ilani Ya...
Kama kuna vitu vya kipuuzi, kijinga na kipumbavu basi ni uwepo wa mikakati madhubuti kutoka kambi zote mbili zinazovutana sasa (Mbowe na Lissu) kutengeneza mikakati tofauti tofauti wa kuwarejesha...
Hayati Magufuli alituchukia sana wapinzani ,kwake yeye aliamini wapinzani ndio wanarudisha nyuma Maendeleo na ni vibaraka wa Mabeberu.
Kwake yeye lolote litakalo mkuta mpinzani awe ana husika...
Huyu Mzee ni miongoni mwa viongozi niliowaheshimu sana , hasa ule uwezo wake wa kujibu maswali alipokuwa TAMISEMI , lakini sasa naanza kudhani labda ile heshima nilimpa kimakosa , maana sasa...
Pamoja na mapungufu yake mengi, ninachomkubali Mizengo Pinda ni uumini wake kwenye Katiba Mpya. Nilishawahi muangalia akitoa maoni TBC akiwa mjumbe wa kikosi cha kutazama hali ya demokrasia nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.