Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wakuu, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akirejesha fomu ya kugombea Uenyekiti wa chama hicho kwa mara nyingine tena. Soma pia: Tundu Lissu arudisha fomu makao makuu ya CHADEMA akiwa amevaa...
5 Reactions
76 Replies
3K Views
Akizungumza na Watanzania kupitia katika mtandao wa clubhouse mheshimiwa Lissu amejibu maswali mengi aliyoulizwa na Watanzania. Miongoni mwa mambo aliyoulizwa ni kuhusu faida za maridhiano...
13 Reactions
72 Replies
2K Views
Prof Issa Shivji anesema hana Imani na vyama vya Upinzani Kwa sababu siyo mbadala wa CCM na havina Uwezo wala morali wa kuitoa CCM Madarakani Naye Generali Ulimwengu amemuunga mkono Kwa kusema...
2 Reactions
22 Replies
728 Views
Kuna tetesi kuwa tangu jana ofisi za Uhasibu Chadema zinaandaa Ripoti za CAG Kwa Miaka yote ya Uongozi wa Mh Freeman Mbowe Ili kukata Fitna na uzushi wa mgombea mwenzake Aidha imedaiwa Mbowe...
2 Reactions
7 Replies
311 Views
Freeman Mbowe ametusimulia yeye mwenyewe kwamba Shujaa Magufuli alimuahidi Kila aina ya cheo lakini alikataa. Baadae akatuhumiwa Kwa ugaidi na akaachiliwa kabla Kesi haijafika Mwisho na kuingia...
5 Reactions
25 Replies
906 Views
Habari za Leo. Hakuna kitakachomfanya Lisu aendelee kubaki CHADEMA. Lisu anagombea uenyekiti ili aisafishe CHADEMA Hasa kwenye Safu ya juu ya uongozi ambayo anaishutumu imechafuka kwa Rushwa na...
4 Reactions
23 Replies
535 Views
Kwa mujibu wa kura za maoni zilizo fanywa na Jambo online TV matokeo yapo hiv: Watoa maoni: 12,148 Tundu Lissu kapata kura 10,204 sawa na 84% Freeman Mbowe kapata kura 1,944 sawa na 16%. Haya...
27 Reactions
172 Replies
4K Views
Wakuu, Lissu amesema akiwa Ubelgiji hawa ni watu wa kwanza kabisa kuonesha uongo wa maridhiano na waliupinga kwa nguvu zote, nao ni Msigwa, Wenje, Lema, na Gaston. Kipinga kwao maridhiano hayo...
10 Reactions
64 Replies
2K Views
KWA NINI MBOWE HATAKI KUACHIA UENYEKITI WA CHADEMA Mbowe ni Mwanachama pekee asiye na hasara ndani ya CHADEMA na mnufaika Mkuu japo wengi hawaoni kwa macho ya kawaida na anatumia mbinu zifuatazo...
3 Reactions
17 Replies
858 Views
https://www.youtube.com/watch?v=U1vjcZOGJZ4
1 Reactions
1 Replies
197 Views
Ifike mahali tuwaache wapasuane wavuane nguo hawa ni genge la wahuni, Genge la watu wasio na busara je hii vita ya maneno ni uenyekiti tu au kuna jengine limejificha, Lissu yupo kwenye koma ya...
5 Reactions
31 Replies
878 Views
Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe Dkt. Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa...
20 Reactions
158 Replies
6K Views
Mambo yanazidi kupamba moto, wabunge 19 wa CHADEMA nao wameamua kuungana na gwiji la siasa za upinzani Tanzania mh. Freeman Mbowe, huu ni ushindi mkubwa kwenye kambi ya Mh. Mbowe kutokana na...
2 Reactions
51 Replies
2K Views
Mmoja ya wakufunzi wangu Mis Pam Overend juzi alinifunza mada ngumu sana katika uwanja wa mapambano (Module: Psychology GCSE). Alisema uwanja wa mapambano haumilikiwi na mtu mmoja au kikundu...
31 Reactions
91 Replies
10K Views
Nimeona mtanange wa Mbowe vs Lisu unaelekea kuwa personal hasa baada ya Mbowe kumwita mwenzake Mbangaizaji Tundu Lisu ni Mwanahistoria unapoingia kwenye Vita Binafsi na Watu wa aina hii yakupasa...
3 Reactions
15 Replies
478 Views
Chadema imetangaza Uzinduzi wa Album yao utafanyika tarehe 09/01/2025 John Pambalu ambaye ni mjumbe wa kamati kuu anesema Ukurasani X Uzinduzi utaongozwa na MC Mwingira Mikocheni HQ viongozi...
0 Reactions
8 Replies
275 Views
WAZIRI KOMBO APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MWAKILISHI MKAZI WA UMOJA WA MATAIFA NCHINI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thatib Kombo amepokea Hati...
0 Reactions
1 Replies
201 Views
Mimi sio mwanachama wenu ila nimesikia kuwa kavunja Katiba ya chama chenu kule X lakini mpo kimya? are u selective?
1 Reactions
25 Replies
498 Views
Habari wa kuu! Mimi sio nabii Wala sio mpiga ramli ila Kwa taarifa za ndani kabisa ni kwamba Kuna mambo matatu tutarajie kuyaona kuanzia January 2025. 1). Tundu Lissu kushinda uchaguzi Kwa...
3 Reactions
9 Replies
611 Views
Wanabodi, Saa hizi natafuta usingizi unagoma, hivyo nimeshuka jf, tutafakari pamoja kuhusu huu utafiti uliowahi kufanywa na kubaini kuwa kwenye kila Watanzania 4, mmoja ni kichaa!. Jee katika...
48 Reactions
283 Replies
79K Views
Back
Top Bottom