Mwakani ni kula wali tu, ugali kama wote, halafu mtu aniambie niandamane nikapigwe rungu, huo wali ntaulaje?
Mimi hapa nimemaliza katiba ya maisha yangu, hiyo nyingine haiwezi niletea wali...
Mbunge Nape Nnauye ametoa yake ya moyoni kwa kuhoji vyama vya siasa na wanasiasa Tanzania wanajifunza nini kufuatia mchakato wa uchaguzi ndani ya chama tawala cha (ANC) uliofanyika Afrika Kusini...
Ndugu zangu kwenye jambo lolote unalofanya hutafanikiwa bila kuomba ndugu zangu.
Fanya hilo jambo unalofanya lakini omba sana.
Kila unaye mwona amefanikiwa katika jambo fulani anaomba sio...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Nape Moses Nnauye ambaye ameshika nafasi mbalimbali ndani ya CCM na serikali kuanzia ukuu wa wilaya,Mwenezi wa CCM Taifa pamoja na UWaziri .
Ameibuka kibabe na...
Ni wazi kuwa Mbowe alilipwa pesa nyingi inayotajwa kuwa ni fidia ya yeye kukaa gerezani kwa kesi ya kusingiziwa, na pia kwa kuharibiwa biashara zake.
Lakini kwa nafasi yake kama kiongozi wa chama...
Nimekuwa nafatilia sana mijadala humu lakini naona wazi kabisa Jamiiforums mnataka Lissu awe mwenyekiti Chadema, mnapost nyingi sana za upendeleo kwa Lissu kuliko za Mbowe, this is not fair...
Picha: Rais Samia alipokutana na Tundu Lissu nchini Ubelgiji
LISSU AELEZA MAMBO SABA (7) ALIYOZUNGUMZA NA RAIS SAMIA
1. Ajenda ilikuwa "hali ya siasa ya nchi yetu." mazungumzo yamechukua...
Hii tabia ya wana siasa kusema uongo mfululizo ikiachwa iote mizizi bila kukemewa inaweza kuja kuleta maafa makubwa sana kwa taifa kwa kupandikiza chuki ndani ya jamii na kujikuta watanzania...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia, amekutana na kufanya Mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Tundu Lissu.
Ni baada ya Lissu kuomba kuonana...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara...
Wadau, amani iwe kwenu.
Baada ya Mzee Mwinyi kutoa maoni yake kuwa kama isingekuwa ni Matakwa ya kikatiba, angependa Rais Magufuli awe Rais wa muda wote, kuna povu jingi linawatoka viongozi na...
Wadau, amani iwe kwenu.
Freeman Mbowe ni mjanja. Mjanja sana tena wa kiwango cha PHD. Kaanzisha mjadala mkubwa kwenye social media kuwa wabunge wa CCM wamegawana fedha za Rushwa kiasi cha milioni...
Godbless Lema amewaonya akina Yeriko Nyerere kwamba waache kutumia maneno makali kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti Kwa sababu mwakani ni zamu ya chadema kukamata Dola na viongozi waandamizi Mbowe na...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameagiza kukamatwa kwa wasimamizi wa Mradi wa Maji Kwamsisi, katika kata ya Kwamsisi ili uchunguzi ufanyike kutokana na kuhisiwa vitendo vya ubadhirifu wa fedha...
Pamoja na covid-19 kubeba uongozi wa juu wa BAWACHA, lkn pia Kuna:-
1. Mke wa Benson Kigailla.....naibu katibu mkuu bara.
2. Mke wa Salum Mwalimu (naibu katibu mkuu Zanzibar).
3. Mke wa Ally...
Wakuu,
Kufuatia maongezi ya Lissu, Club House jana, msanii Roma Mkatoliki ametoa maoni yake kuhusu nini hasa kinaendelea
==============================================
"Wanaosema TAL anatoa...
Waandishi wasaidizi na waongozaji mashine za biometric (BVR) kwenye zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la mpiga kura katika halmashauri ya wilaya ya Mbeya, wametakiwa kutotumia vinywaji vyenye...
Kumpa mtu Cheo cha kuhudumia Wananchi kama masharti ya kuhama Chadema na kutukana viongozi waliomuokota porini na kumuingiza kwenye siasa, hakuwezi kuleta viongozi wenye weledi.
Peter Lijuakali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.