Mbunge Babu Tale ameandika "Mapema leo tarehe 23 Desemba, 2024, tumemaliza kilio cha muda mrefu kilichokuwa kikitokana na kukosekana kwa Gari la kubebea wagonjwa katika Kata ya Ngerengere...
Ili kuendelea kupinga vitendo vya uvunjifu wa amani mkoani Arusha Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda amewaahidi wananchi wa mkoa huo hususani Bodaboda kuwa yeyote anayemjua mwizi na mwenye...
Nilitegemea Mhe. Wangu kuwakemea wanaokula kwa urefu wa kamba zao.
Nitaendelea kuamini kuwa hii ni kauli inaweza kuendelea kutumika kukosoa nia ya serikali kuunda vyombo vinavyosimamia maadili...
Mheshimiwa Rais, nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pole na majukumu yako mazito ya kitaifa, kwani hakika mambo ni mengi na muda ni mchache.
Katika ngazi yoyote ya uongozi...
WANAVIJIJI WAIPOKEA ZAWADI YA MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN KWA SHANGWE TELE
Leo, Kituo cha Afya cha Kata ya Bugwema kimepokea Gari jipya la Wagonjwa (Ambulance) kutoka kwa Mhe Rais Dkt Samia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa tiketi za ndege kwenda na Kurudi nchini Morocco kwa washindi watatu wa mashindano ya Pikipiki ya Samia Motocross...
Mkuu wa Kanisa la Arise and Shine (inuka uangaze) Mtume Boniface Mwamposa @bulldoza_mwamposa ameungana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda aka baba_keagan wakikagua njia za...
Kwa ufupi sana,
1. Huyu Kigaila anayesema Lissu ni CCM mke wake yuko Bungeni tena bila ya baraka za Chama hii kwa akili ya kawaida kabisa inawezekana kweli Kunti hakutumwa na mumewe?
2. Hata...
Salaam, Shalom!!
TUNDU Antipas Lissu amekuwa akirudia sana kuwa mtu aitwaye Abdul,amewahi kumfuata na kutaka kumhonga na kushindwa kutimiza Nia hiyo Kwa Lissu.
Lissu amekuwa akirudia mara Kwa...
January mwaka kesho Chadema inatarajia kumchagua Mwenyekiti wao mpya Taifa, ikumbukwe kuwa mwaka huo huo Novemba 2025 chama hicho kinakabiliwa na uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani.
Kwa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Mbeya kimesema Serikali imekuwa chanzo cha kuruhusu mianya ya wizi wa chaguzi zinazofanyika kwa kuwaondoa wagombea wa upinzani ili kukipitisha...
Ni kawaida kwenye maisha yetu watanzania: Tukiona mtu mweusi ana hela tutahoji sana, ila akiwa mzungu, mwarabu, muhindi ama shombeshombe hatuoji, tunaamini ni pesa zao halali na tutafosi tu...
Kwa kumbukumbu zangu, katika taarifa yake kwa waandishi wa habari, Mhe. Mpina alisema kuagiza sukari nje ni kupoteza fedha za kigeni.
Jana tarehe 04/08/2024, Mama Samia anaripotiwa kukirii japo...
Kwa sababu Lissu amekuwa anafunguka sana kwa vyombo vya habari na ameamua kuweka wazi mambo yote ndani ya CHADEMA waandishi wa habari sasa wamuulize Lissu pesa zinazosemewa alililetwa na Abdul...
13 July 2024
DK 7 za KINANA AJILIPUA MBELE YA RAIS SAMIA , "tunalalamikiwa tuache rushwa"
https://m.youtube.com/watch?v=R1uNCHfBZGg
Akiongea mbele ya vigogo wa CCM walio viongozi serikalini...
Ubalozi wa Saudi Arabia kwa kushirikiana na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) na Kituo cha Kuendeleza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) wameandaa na kushiriki Kongamano la Biashara na Uwekezaji...
Siasa ni sayansi na sayansi inategemea siasa;
CHADEMA wameondoka Vigogo wakubwa sana tena wenye profile kubwa na nzito kweli kweli kama vile Dkt Wilbroad Slaa,Zitto Kabwe,Kitila Mkumbo etc……
Ila...
Jana clubhouse umerudia kuwa Abdul alitaka kukuhonga.
SWALI KUBWA: ALITAKA KUKUHONGA ILI UFANYE NINI?
Wenje amesema alimpeleka kwako ili akusaidie kupata fedha zako. Je ni kweli ulituma...
Ndugu zangu Watanzania,
Jiandaeni kisaikolojia,jiandaeni kububujikwa na machozi ya furaha na wengine machozi ya huzuni na Majuto hapo Mapema Mwakani.
pale ambapo chama cha Mapinduzi kitakapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.