Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Baada ya Miezi zaidi ya mitano Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kutuhuma hadharani kwamba kuna hela za Mama Abdul na Abdul zilipelekwa kuvuruga uchaguzi wa Chadema. Lissu pia akaenda...
17 Reactions
85 Replies
5K Views
TATIZO LA CHADEMA NI KUKOSA WAZEE WA USHAURI NDIO MATOKEO YA KINACHOENDELEA. Utakubaliana na mimi kwamba chama kikubwa cha siasa aina ya Chadema ambacho uhai wake ni zaidi ya miaka 30 kukosa...
3 Reactions
9 Replies
308 Views
Mimi ningependa Lissu ashinde ingawa simuungi mkono. Sababu zangu ni hizi: 1. Ushindi wake utaondoa dhana ya CDM kuwa ya mtu mmoja ambayo sio kweli 2. Najua Mbowe atakubali matokeo na kumpongeza...
5 Reactions
18 Replies
623 Views
Sasa hivi mpaka january wale wapenda kiki watulie tu mpaka upepo wa chadema uishe yaan nimejua kua CHADEMA inafatiliwa sana inapendwa huu uchaguz unazungumziwa kuliko hata ule uchafuzi wa...
7 Reactions
9 Replies
289 Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Iko hivi, kipindi kulivyoibuka vita ya maneno kati yetu na Malawi niliangalia mpaka wetu na Malawi kupitia picha za satellite nikaona mpaka...
33 Reactions
277 Replies
28K Views
Huyu bwana kwa taaluma yake na kwa jinsi anavyojipambanua kama mwanasheria nguli, nilitaraji niwe nimemuona katika viunga vya mahakama mara kadhaa. Sababu kubwa ni kwa kujua na Lissu anajua sana...
0 Reactions
7 Replies
230 Views
Mabeberu naona kama wanawashwa washwa, kupitia shirika lao la kibeberu, wametoa ramani inayoonyesha eti ziwa lote ni mali ya Malawi. Hongera Wizara ya Elimu kwa kutoa muongozo. Tunasubiri Wizara...
0 Reactions
12 Replies
832 Views
Wanabodi, Makala yangu Nipashe ya Jumapili. Bado niko Jijini Washington DC, nchini Marekani, kwenye haya na yale. Hii ni makala ya swali, hiki kilichotokea kwenye matokeo ya uchaguzi wa...
5 Reactions
20 Replies
949 Views
Nimesikiliza maelezo ya Ezekiel Wenje aliyetuhumiwa na Lissu kumpeleka Abdul kumuhonga pesa, ukiniuliza mimi naona maelezo ya Wenje yamenyooka sana kuliko tuhuma alizokuwa anarusha Lissu dhidi ya...
17 Reactions
203 Replies
5K Views
Wasalaam Wote tumeshuhudia bwana Freeman Mbowe akiapa kushinda uchaguzi inyeshe mvua au liwake jua. Ukiangalia nguvu za kiuchumi za huyo mheshimiwa ni kwamba atatumia rasilimali zake kushawishi...
0 Reactions
1 Replies
183 Views
Sikutegemea kabisa kwa wewe kuonyesha tamaa ya kutaka kuendelea kukalia kiti. Dhumuni lako aswa ni nini, kuona demokrasia ama kutaka kuona kati yako na makamo wako ni nani zaidi? Je, unahisi ni...
10 Reactions
54 Replies
1K Views
Nasikitika Kuwapa taarifa ya kifo cha Waziri wetu, Celina Kombani kilichotokea huko India.. Celina Ompeshi Kombani (19 June 1959 - 24 September 2015) was a Tanzanian CCM politician and Member...
5 Reactions
541 Replies
104K Views
Anaandika Wakili Joseph oleshangay freemanmbowetz anaashiria maridhiano yalikwama Kwa sababu ya negative energy kutoka Chadema “team Lissu” Kwa sehemu kubwa ya hotuba ya freemanmbowetz ...
24 Reactions
88 Replies
3K Views
NONDO (6) SITA ZA LISSU AKIWA LIVE CLUBHOUSE LEO USIKU 1. SUALA LA MGAO WA RUZUKU "Suala la mgao wa Ruzuku ya chama kwenda kwenye ngazi za Wilaya na Mikoa hata kama ni kupeleka kidogo cha kadri...
0 Reactions
0 Replies
125 Views
Kwema Wakuu! Lisu wape nguvu wajumbe wanaokuunga Mkono. Usikubali kuachia wape nguvu. Onyesha wewe ni nani. Wape nguvu wale waliotishwa na kukatishwa tamaa na Mbwembwe mshindani wako kwenye...
25 Reactions
90 Replies
2K Views
Wakuu, CHADEMA mambo yamezidi kupamba moto. Lissu akiwa anajibu swali aliloulizwa kuhusu tuhuma za Mbowe kwamba nyaraka za chama zilikuwa zinqvujishwa na Msigwa ambaye ni rafiki yake mkubwa...
1 Reactions
3 Replies
316 Views
Heshima kwenu, CCM no sawa na mtu aliyeshindwa kulea na kuhudumia watoto wake, lakini anaomba kujitolea kumtunza Yatima IL Hali watoto wake wamemshinda. Angalia, Kipara kipya, Magonjwa...
2 Reactions
0 Replies
131 Views
Lissu anasema Mbowe alivyokuwa anaongea kwenye hutuba yake inaonekana bado anataka maridhiano. Anasema toka amerudi hakukuwa na mabadiliko yoyote kisera. Yote yaliyofanywa kwa upande wake yalikuwa...
2 Reactions
4 Replies
458 Views
Napenda niwaoenyezee tu... Mbughi ya Uenyekiti CDM sio siasa ya kawaida, ni kama kudai uhuru mwaka 1961. Ni vita kubwa ya siasa niliyowahi kuiona toka siasa za vyama vingi nchini Mwaka 1995...
0 Reactions
9 Replies
435 Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka Askari Polisi kuvaa mavazi rasmi (sare za Polisi) wanapokuwa wakitekeleza majukumu yao ili kuepukana taharuki katika jamii, huku akigusia...
2 Reactions
9 Replies
614 Views
Back
Top Bottom