Tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania kwa mujibu wa katiba ya nchi,
Ni vizuri sana kuambiana ukweli kama wadau wa siasa na waTanzania kwa ujumla, kwamba eti kuna mabadiliko ya sheria za...
:FIRE: BREAKING NEWS :
26 February 2025
Tume Huru ya Uchaguzi Yaanza Mchakato Kupitia Tena Majimbo ya Kiuchaguzi, Vigezo 10 Kutumika
https://m.youtube.com/watch?v=n-EefdSzJ9Q
Ameyasema hayo...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi Taifa Fadhili Rajabu Maganya ametahadharisha vyama pinzani kuwa chama chao hakiendi kirahisi wala kuonea huruma mpinzani aliye dhaifu katika...
Wanachama na viongozi 20 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Viktoria wamekamatwa na Polisi wakiwa njiani kwenda kuonana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda.
Makada hao...
Lissu akishinda watakuja na hoja ya kuweka mgombea strong wa kupambana na kuigaragaza CHADEMA hapo ndipo bi mkubwa atawekewa washindani na Tog.....i Mav.....a ambaye kwasasa ni balozi huko kwenye...
What we know about US-Ukraine minerals deal
16 minutes ago
Ian Aikman & James Gregory
BBC News
Share
Save
Reuters
Ukraine's President Zelensky first discussed a minerals deal with then...
Sitaki salamu, naingia kwenye mada moja kwa moja. Wahenga walisema akutukanaye hakuchagulii tusi na asiyekutaka hakuambii toka bali atakutoa kwa visa ovu dhidi yako.
Kabla ya kwenda mbali kwanza...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Deogratius Ndejembi pamoja ba Waziri wa Ujenzi Mhe Abdallah Ulega...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu akizungumzia harakati za 'No Reform No Election' amedai kuwa "Ilituweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama...
PAN-AFRICANISM ni mojawapo ya maneno yaliyotumiwa sana na viongozi wa Africa wenye nia nzuri ya umoja na kutaka kuwaunganisha Wafrica wote Africa na nje ya Africa bila kujali mipaka ya kijografia...
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama Kuu, Asina Omari, amewataka watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ngazi ya Halmashauri, katika Halmashauri ya...
Rais Samia Suluhu Hassan ameweka wazi kuwa Mkoa wa Tanga umepokea kiasi cha Sh3.1 trilioni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali.
Hata hivyo, kauli hii imeibua maswali mengi miongoni mwa...
Polisi, Jeshi na usalama tendeni haki kwa manufaa ya taifa. Kama kweli mnapenda taifa hili simamieni haki na demokrasia. Waachieni Watanzania wachague watu wao kwa matakwa yao. Msiwaibie kura...
Muonekano wa Daraja la muda linalotumika kupitisha vifaa kwa ajili ya ujenzi sambamba na ujenzi wa nguzo za Daraja la mto Pangani ukiendelea Wilayani mkoani Tanga, tarehe 26 Februari, 2025.
Kabla ya kuanzisha mpango huu sisi wengine tulidhani labda wangefanya utafiti wa kujua Wateja wa maduka ya kariakoo wanatoka wapi.
Ukijua wateja hao wanakotokea bila shaka utajua pia kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.