Mimi nafuatilia sana Siasa za Jimbo la Arusha Mjini, Jana nimemsikiliza sana diwani mmoja akimuomba radhi Mkuu wa Mkoa wa Arusha akijifanya analilia kama mtoto wa kike aliyenyimwa Kodi ya pango na...
Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Iringa, Zainabu Mwamwindi ametoa wito kwa wanachama wa UWT Wilaya ya Iringa Vijijini kuwa makini na matukio ya utekaji kwa kupigiwa simu na kufuata maelekezo pasipo...
Hiyo ni orodha ya vinara wa Upinzani waliotikisa Nchini kuanzia 1992 hadi Leo
Wengi wakiwa wenyeviti wa vyama lakini Kafulila aka Tumbiri aliitikisa Escrow hadi Singasinga akatupwa Jela na Zitto...
Wakuu,
Mafwele ndio aliyetoa taarifa ya wafanyalazi wa LBL kukamatwa Dar akiwa kama Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar.
Mpaka anakaimu inamaanisha nafasi ya Kamanda iko wazi...
Kuna watanzania wamepanic kuhusu M23 kuchukua eneo la Goma DRC na kauli ya Paul Kagame wa Rwanda.
Ndugu zangu vita sio jambo la mchezo wala la kuliomba. Lakini pia tukumbuke hakuna nchi ndogo...
Akizungumza leo, Jumatatu, Februari 24, 2025, katika mkutano wa hadhara wilayani Lushoto, Makamba amesema kuwa uzinduzi wa jengo la Halmashauri la Bumbuli ni kielelezo cha shukrani na mapenzi ya...
Leo wakazi wa moshi na viunga vyake, tumesimamishwa zaidi ya dakika 45 ili tu kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko.
Naambiwa Biteko alitoka kwenye Kili Marathon, sasa alipokuwa...
Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.
Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).
Ni...
Trump orders new tariff probe into US copper imports
Reuters | February 25, 2025 | 2:26 pm Markets Canada China Latin America USA Copper
Stock image.
President Donald Trump opened yet another...
Ninamashaka makubwa na sera za polisi hapa Venezuela hasa kutoka makao makuu ya jeshi Hilo hapa mjini Colombo kama linalinda raia na mali zao ama lipo kupambana na wanasiasa ! Polisi hapa mjini...
Kuhani mkuu anapofanya matembezi ya kimkakati kwa ajili ya kumtangazia mzambi ambaye pengine aliomba kitubio (au hajaomba) wanakaya wanabaki na mshangao wa mshangazi
Mshangao wa kutojua mzambi...
Ukraine’s mineral wealth draws global interest but rare earths remain untapped
Ukraine ranks 40th among mineral-producing countries. — AFP file pic
Planning your holiday getaway...
Ukraine needs $524 billion to recover, rebuild after three years of war, World Bank says
By Andrea Shalal
February 25, 202512:14 PM GMT+3Updated 18 hours ago
Item 1 of 2 A resident stands...
Sio jambo la kusema polepole kuwa Tanzania ni nchi ambayo inajitafuta. Uzi huu haulengi kuainisha sababu lakini " nchi hii ni nchi maskini ya wakulima na wafanya kazi haijawa ya matajiri "
Sasa...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO), Daniel Edigar Mkinga, amedaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani akiwa nyumbani kwake Kibaha, Miembe Saba majira ya saa tatu...
Naibu katibu mkuu wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi UVCCM Taifa bara, Mussa Mwatikinya amesema ushindi wa CCM katika uchaguzi mkuu unaotegemewa kufanyika mwaka huu ni lazima na wala sio...
Zoezi la uandikishaji Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ambalo limefanyika kwa siku mbili katika Wilaya ya Uyui hapa Tabora lilipokelewa vizuri na Wananchi na inawezekana mwitikio umekuwa mkubwa...
Naangalia eatv
Madiwani WA Arusha wamesutana kwenye kikaoo wao kwa wao ndio wanakwamisha MAENDELEO ya Arusha
MMOJA WA madiwani amesema unakuta tunakubaliana jambo unasikia nusu ya madiwani...
Wakuu,
Juzi Ally Hapi alivitaka vyombo vya dola kuwachukulia hatua CHADEMA wanaotaka uchaguzi usifanyike bila ya mabadiliko kufanyika, akisema ni kisingizio kwa kuwa hawajajiandaa.
Kauli hii...
Maelezo ya Balozi wa Saudi Arabia katika Televisheni ya Taifa ya Saudia ni haya; "Utiaji saini wa Mkataba wa Nia ya kufanya utafiti wa fursa za uwekezaji na ushirikiano wa kujenga na kuendeleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.