Kuna tetesi kuwa mchakato wa uchaguzi wa CWT katika wilaya hiyo umegubikwa na visa vingi vinavyokiuka taratibu za uchaguzi.
Mojawapo ya visa hivyo ni pamoja na usambaji wa fomu kwa wagombea ngazi...
Taarifa kamili hii hapa
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA-Bara Mhe Amani Golugwa leo amefika ofisi ya Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kufuatia wito wa Polisi...
KIJIJI CHA NYUKI SINGIDA, DUNIA MPYA USIYOIJUA:
Ilikuwa Agosti 2, 2022 majira ya saa 10 jioni nikiwa nimeketi peke yangu juu ya mawe nyumbani Singida, nikiyatathimini maisha yangu, nilipofeli...
Wananchi wa Nanjilinji na Ruangwa wameelezea furaha yao kufuatia utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Daraja la Mto Nakiu, hatua inayotajwa kuwa suluhisho la kudumu kwa changamoto za usafiri, uchumi...
UJUMBE MZITO KWA WANABIHARAMULO KUHUSU MTU ANIYEJIITA LIMBILE MARTIN AU KIZINGU NI MTU HATARI TAPELI WA KISIASA ANAJIITA MSAIDIZI WA MBUNGE WA MPWA AMBAYE NI WAZIRI WA UTUMISHI NA UTAWALA BORA ...
Ziara ya Kikazi ya Rais Samia Mkoani Tanga Februari 23, 2025
https://www.youtube.com/live/A5Kayo33810?si=SkcoQaTDduuUWupm
Akiwa kwenye ziara hiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe...
Ewe Mfanyakazi wa Umma uliyewekewa Kikokotoo Chadema haijakutupa, huu ni wakati wako wa kuhakikisha jambo hilo linaondolewa kabisa ili isiwe chanzo cha kifo chako baada ya Kustaafu.
Taarifa yao...
1. Lisu kusema kwa ukali na makeke hakutaitisha CCM. CCM ni waovu, hawatishwi na maneno!
2. Mama yuko agressive supreme of power! hatishiwi na maneno makali/kelele za juu kama za Heche na Lisu...
Waziri mkuu wa Uingereza ametangaza kupunguza misaada ya kimataifa kwa 40% Ili Fedha hiyo iingizwe Kwenye bajeti ya Jeshi
Ni hilo tu
Credit: Al Jazeera news
Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamekasirishwa na kitendo kinachodaiwa kufanywa na familia ya marehemu kwa kushirikiana na Jeshi la Ulinzi kuwazuia kushiriki kama chama...
4Rs tumevuka boda Hadi Ubeberuni wakati kibaraka Lisu akijiliza Kwa Norway kuhusu hoja muflisi ya No reform No election.
https://www.instagram.com/p/DGf2OvVM7cn/?igsh=MThneDFicHQxODI2cw==
My Take...
Gambo acha ngonjera;
1. Kwanza hukuondoka kwenye kikao, bali ulikimbia baada ya kusikia Makonda anakuja. Na ulisahau baadhi ya vitu vyako ukumbini ikabidi mtu mmoja akukimbizie kwenye gari. Kikao...
Huyu mganga wa Makamba ni balaa sana. Yes!
Naweza kusema haya mambo bila nguvu Lucifer nyuma Yako utafel Kwa Kila kitu. Iwe Kwa ofisi, Biashara, music, Sanaa, mpira n.k
Kipara kaupiga mwingi...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Ummy Mwalimu ambaye alikuwa na amehudumu katika wizara mbalimbali hapa Nchini ikiwepo Wizara ya Afya .ambayo alikuwepo kama Waziri wake mara ya mwisho kabla ya...
Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo amejibu kilichotokea jana February 24,2025 kwenye baraza maalumu la jiji la Arusha la kupitisha bajeti baada ya madiwani kumtaka Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul...
Gambo amesema kuwa yeye ndiye Mbunge halali kwa muda huu na yeyote anayehitaji nafasi hiyo anapaswa kusubiri muda ufike kisha kufata taratibu zote za kuwania nafasi hiyo na sio vinginevyo.
“Kama...
Wanaosema wanataka debate waulizeni hizi hoja za Lissu. Maana naona Lissu hakuna mtu hata mmoja aweza kujibu hoja ya msingi. "Tuende kwenye uchaguzi kwa sheria hizi ili iweje"? Hata wandishi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.