Wanabodi,
Mpaka sasa, nafikiri kwamba wengi tutakuwa tumeisha uzoea mwaka 2025. Mwaka ambao kama watanzania, tutatekeleza haki yetu ya kikatiba ya kuchagua viongozi wetu.
Wafuasi wa vyama vya...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema jamii ina Wàjibu wa Kujifunza Umuhimu wa Amani kupitia Mambo yanayojiri katika Nchi zilizokosa Amani...
Mimi binafsi najua kwamba afya zetu ni muhimu sana ! Tunavyokuwa watu wazima ni lazima tubadilike bila hivyo magojwa yanaongezeka sana. Mimi binafsi napata shida sana kupungua na kwasababu hiyo...
Mahakama ya Wilaya ya Kigoma imebatilisha matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Mtaa wa Geza Ulole, Manispaa ya Kigoma Ujiji, mkoani Kigoma, na kuamuru uchaguzi huo urudiwe baada ya...
Leo nimeshtushwa sana, kama vile Mheshimiwa Dk. Nchimbi hakusikika alipowaonya watu kuhusu kampeni.
Madiwani hawa wanapaswa kuonywa, na ikiwezekana, kunyimwa posho kwa muda kutokana na kwenda...
Najiuliza hili swali mara nyingi.
Angekuwepo je wananchi wangemkubalia astaafu baada ya kumaliza mihula yake miwili?
Je, yeye mwenyewe angekuwa tayari kustaafu na kurudi Chato huku akimtazama...
Nataka tu kumjulisha Shehe Ponda kuwa Serikali ina Itifaki zake inazozizingatia Wakati Wote inapopokea mialiko katika Shughuli mbalimbaki
Shehe Ponda anadhani ni lazima Mgeni rasmi kukaa kwenye...
Mmoja ya wananchi wa Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga amejitokeza kwenye Mkutano wa hadhara unaofanyika katika viwanja vya Chuo cha Ualimu Korogwe, ambako Rais Samia Suluhu Hassan anatazamiwa...
Watu wengi wanaamini Wenyeji wa Mbeya Mjini ni Wanyakyusa na Wasafwa kwao ni Mbeya Vijijini
Lakini ukweli ni Kuwa Mbeya Mjini na Vijijini kote ni Kwa Wasafwa ila inasemekana Wasafwa ni Watu...
Diwani wa Kata ya Themi wilaya ya Arusha mjini Mkoani Arusha Petro Lobora wakati wa kikao cha Baraza la madiwani bajet ya halmashauri kwa mwaka 2025-2026 alisimama na kuzungumza kwa niaba ya...
Nimesikitishwa sana kuona uvaaji wa Askari wetu wa uhifadhi wanaofanya operesheni ya kuua fisi huko mkoani Simiyu.
Inakuwaje nchi iliyofikisha Watalii Milioni 5 mwaka huu ambao wameingiza fedha...
Good evening jamiiforums.
Ndugu zangu, leo nilienda kumtembelea dada yangu mmoja (mtoto wa mama mkubwa) ameolewa eneo la Pugu huku Dar. Sasa wakati tupo tunakula mezani ule muda wa mchana, mtoto...
Wakuu,
Wakati CHADEMA ikikoleza moto wa ajenda ya No Reforms No Elections, Serikali ya Tanzania imetoa kanuni za Uchaguzi ambazo zitatumika kwenye uchaguzi wa mwaka huu...
Hii nimeona kuanzia kwa Magufuli mpaka kwa Samia. Hawa viongozi hawana nasaba zozote za kupigania uhuru ama kuwa kwenye line ya wapigania uhuru kwenye taifa hili. Viongozi Hawa hawakuwahi kupiga...
Wakuu,
Gavana wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) Emmanuel Tutuba akiwa anazungumza kwenye mahojiano maalum na mwandishi wa BBC Florian Kaijage amekiri kuwa deni la taifa hilo linazidi kukua ila bado...
Wanabodi
Mimi ni story teller, from time to time, nitakuwa nafanya short sessions za News analysis ambazo zitaitwa "PPR News Analysis".
Nichukue fursa hii kuelimisha kidogo hii news analysis ni...
Hata hivyo,
movement hiyo haramu ya kuhubiri na kuchochea chuki na migawanyiko miongoni mwa waTanzania, itasaidia sana na kuvipa fursa na nafasi muhimu, vyombo vya ulinzi na usalama, pamoja na...
Kwa mara ya kwanza waandishi wa habari hawajaukiza swali ktk mkutano wa CHADEMA.
Lema leo aliwaita waandishi wa habari ,lon cha ajabu hakuna alichowaambia badala yake kawaaambia kutakua na event...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.