Mbunge wa Jimbo la Geita Dkt. Joseph Kasheku Musukuma, amesema kuwa milango iko wazi kwa yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge katika jimbo hilo kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Kupata matukio na...
Madiwani wa Baraza la Halmashauri katika Jiji la Arusha wamemuomba Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda agombee ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika...
Ndugu zangu Watanzania,
Mnyonge Mnyongeni lakini Haki yake Mpeni. Ni kweli Mimi Mwashambwa Lucas ni Mwana CCM kindakindaki ,tena mwana chama lialia wa CCM.ambaye kila mtu anafahamu hilo popote...
Wakuu,
Kumbe watanzania mnasakama mzee wa watu kuwa anachukua nafasi za vijana meanwhile kumbe hata halipwi mshahara na ANAJITOLEA?
Tungependa pia kujua hizo posho ni shingapi mzee Wassira ili...
Na Mwandishi wetu
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema ameridhishwa na maendeleo ya mradi wa Umwagiliaji Mkomazi unaofekelezwa na Tume ya Taifa ya Umwagilia (NIRC) mkoani Tanga.
Amesema, mradi...
Nashukuru sana wanasiasa mahiri walio saidia kurahisisha ujumbe na inazidi kuwa ngumu kwa matapeli kudanfanya tena. Tuna chaguo mbili tu! Hakuna chaguo la tatu
1. Kama una amini chaguzi za...
Ukiangalia kwa undani, CCM na serikali yake kila kitu kinachohusu wananchi wanataka watumie dola na ubabe kifanyike, wananchi wanajua kabisa CCM kupitia serikali wanaiba kura, na kwasababu ccm...
KAZI INAENDELEA! VIJIJI 28, WANANCHI 20,000 KUNUFAIKA NA MRADI WA UMWAGILIAJI MKOMAZI, KOROGWE TANGA
Mradi wa Mkomazi ni wa kihistoria, kwani ulianzishwa zaidi ya miaka 50 iliyopita lakini...
Wakuu,
Rais Samia amewahasa wananchi wa Korogwe na Tanga kwa ujumla kwenda kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura, mchakato ambao unasimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi ukiwa...
Mbunge wa Rombo Mkoani Kilimanjaro ambae pia ni Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameendelea na ziara yake yakufanya Mikutano ya hadhara ili kusikiliza kero za wananchi...
Wanabodi,
Kwanza sio kila kitu ni siasa, vitu vingine ni hoja za kikatiba, Sheria, taratibu na kanuni.
Ukileta hoja specific, hakuna ubaya kujifagilia ubobezi wako katika eneo husika.
Mimi...
Wanabodi,
Kati ya maeneo magumu sana kwenye tasnia ya habari ambayo kwa sisi Tanzania tumelikosa, tunaendelea kulikosa, na kama hawatajitokeza watu wenye uwezo wa kulifanya, tutaendelea kulikosa...
Umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Kagera wametoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao kumtukana na kumbeza Rais Samia pamoja na wasaidizi wake kuwa muda wao kuendelea kufanya hivyo sasa umekwisha.
Onyo...
Wakuu,
Nadhani kupitia video ya wananchi wa Salasala, Lissu na CHADEMA kwa ujumla mnaweza kujifunza kitu.
Hapa kama mnavyoona, kuna mixer ya wamama na vijana wameandamana wenyewe bila ya...
"Si kila anayevikwa taji ni mfalme, na si kila anayeshika fimbo ni mchungaji."
Mwaka huu si wa mchezo. Mwaka huu ni wa mtihani, siyo wa karatasi na kalamu, bali wa mioyo na akili. Mwaka huu ni...
Habari wana JF ,natumaini mu wazima wa afya .
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na matukio mengi ya watu kuonekana wanachukuliwa kwa nguvu au kutekwa na kupotea kabisa .
Kubwa zaidi katika matukio...
Nimeona wengi mnadhani si Sawa DOLA kuingilia Kati na kuzuia No Reforms no Election
Ndio nawauliza mmeisoma vizuri Sheria ya vyama Vingi na kujiridhisha CCM siyo sehemu ya Dola?
Nimekaa pale 🐼😄...
Sijajua kilitokea nini Hadi wahusika wakakubali kitu cha ajabu namna hii kikatokea. Hili lililotokea halikua sehemu ya uchekeshaji.... Huwezi kuomba kupiga picha na Rais WA Nchi (Mwanamke) eti ili...
Serikali limetangaza imetangaza kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe kwa kiwango cha lami.
Ujenzi huo utaanza rasmi baada ya kufunguliwa kwa zabuni ya mkandarasi mnamo Machi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.