Uchaguzi 2025: Mzalendo wa Kweli Huchagua kwa Busara!
“Siasa ni mchezo wa vivuli, unapoona mwangaza, jiulize nani ameuficha giza.”
Ndugu wana JamiiForums, kama mashujaa wa fikra huru...
Nimesikia leo huko Tanga kwenye Ziara ya Mama akirudishwa kwa Mama.
Wenye kujua watujuze huyu Mtoto alifanya nini kikamkera Mama hadi kufikia kupigwa kikofi na kufichiwa Chakula?
Mbunge wa Bumbuli, Januari Makamba, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumwamini na kumpa nafasi ya kuhudumu katika baraza la mawaziri, akisema kuwa ni heshima kubwa isiyofutika katika...
Hayo ameyasema Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi mkoa wa Mbeya Cde. Patrick Mwalunenge katika Wilaya ya kilolo mkoani Iringa kwenye ufunguzi wa mafunzo ya viongozi wa chama cha mapinduzi wilaya...
Mbunge wa Viti Maalum Esther Bulaya akizungumza siku ya Jumatatu Februari 24, 2025 kupitia kipindi cha Power Breakfast cha kituo cha habari cha Clouds FM.
"Uchaguzi ni demokrasia, kachukua fomu...
Wakuu,
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Amos Makalla amesema falsafa ya maandalizi ya umma inasema kuwa umma hauandaliwi kwa nguvu bali hukubali wenyewe...
Mambo haya.yalianza kwa Magufuli lakini.sasa yamezidi. Kila mwenye kingora kwenye gari anataka akiwashe.apishwe njia.zenyewe ziko kwenye ujenzi uchwara.wa.mwendokasi.
Wananchi tuna...
Kabudi alitangaza kuwa Singeli ni alama ya taifa la Tanzania
Maudhui ya Singeli kwa asilimia 90 yanahamasisha pombe, ufuska, kamari, mapenzi kinyume na mamumbile,inakuaje waziri anatangaza kuwa...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo ACT Wazalendo, Ado Shaibu Ado Shaibu, akijibu kauli ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Ally Hapi aliyosema vyombo vya Dola vishughulike na...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, ndugu Ado Shaibu amejibu kauli ya Ally Hapi kuwa Dola iwashughulikie wanaotaka kuzuia uchaguzi, ambapo amesema kuwa CCM siyo chama cha siasa tena, kwasababu sifa ya...
Msikilize kwa makini Dkt.Isaac Laizer Askofu KKKT Dayosisi ya Magharibi akiongea na wahumini katika Kongamano la UKWATA kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea
"Ndugu zangu tunahitaji kuondoa roho...
Lissu tuliambiwa atawalaza ccm na viatu. Kikubwa nilichoona mimi hadi sasa
Mimi naona kubwa neno reform no election hakuna zaidi ya hapo. Nano hili linafafanuliwa kila wakati na kwa tafsiri...
Mfano: Maalim alikuwa na kauli mbiu ya kuwakokomboa wazanzibar kutoka Tanganyika. Alieneza sera miaka karibu miaka 40 au zaidi.
Sera ilipokolewa na wapinzani na ndani ya CCM ndio upinzani...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kumsamehe Mbunge wa Bumbuli January Makamba akisema Mama ukimkera anakupiga kikofi na kukukufichia chakula na hivyo amekiri kuwa alimpiga...
Amerudishwa kundini, ni mtoto wa mama. Nape bado mtoto wa kambo..jitahidi kujikomba kwa kiwango cha hali ya juu utarudishwa.
Omba ziara ya jimboni kwako, Malaika gabriel atakutokea, nuru...
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Ndugu Shaweji Mkumbula, amefungua semina maalum ya mafunzo ya uongozi iliyoandaliwa na UVCCM Wilaya ya Kinondoni kwa zaidi ya viongozi 1,200 wa Kata na...
Swala la kuzalisha umeme wa kuendesha gari kwa kutumia mawimbi ya redio sio utani.
Nimejaribu kukagua makablasha ya physics nimepata jibu kama ifuatavyo:
Formula ya Kuzalisha Umeme Kutoka...
Nimesikia Porojo nyingi juu ya Ajenda ambayo imepata umaarufu duniani na Africa kiujumla, Ajenda ya Nishati safi ya kupikia, iliyoasisiwa na January Makamba na hata utekelezaji wake ulianzia kwake...
Za ndaani kabisa ni kwamba Nape na January pamoja na wabunge 15 wa CCM hawatarudi Tena bungeni hata kama watashinda kura za maoni na kupitishwa na wajumbe,wakiwamo pia mbunge wa Sumbawanga Mjini...
Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ameongoza maandamano kutoka eneo la Mafiati hadi Viwanja vya Stendi ya Kabwe panapofanyika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.