PLN 0001 2BR
Ramani ya Vyumba Viwili
Living room (Sebule)
1 Master bedroom with a Dressing room (W.I.C)
1 Single bedroom
Kitchen (Jiko)
Public toilet (Choo cha jumuiya)
Ramani hii ina privacy...
Kama hujaanza ujenzi hasa wa nyumba yako ya kwanza ya kuishi jitahidi sana upate elimu ya kutosha kwenye
Ununuzi wa ardhi/kiwanja
Mafundi wa kila idara
Makisio ya vifaa, ufundi
Muda sahihi wa...
Ukiingia kwenye huu mfumo wa Tausi kupitia tausi.tamisemi.go.tz una vitu vingi sana ndani japo vingine naona havifanyi kazi.
Nimefurahishwa sana na uuzaji wa viwanja ambapo unanunua kiwanja...
KAMATI YA BUNGE YAELEKEZA UJENZI WA SHULE MPYA ZA MULEBA ZIKAMILIKE APRILI, 2025
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI imeuagiza uongozi wa Wilaya ya Muleba, Mkoa wa Kagera, kuhakikisha ujenzi wa...
Tunaendelea na topic za ubunifu.. Japo ndio zinafikia tamati.. Leo ni ubunifu wa kutumia mawe laini madogo
Mawe haya huhitaji kuyaponda ili kupata maumbo tarajiwa..yenyewe tayari yana maumbo yake
KAMATI YA BUNGE YAKOSHWA UWEKEZAJI SEKTA YA AFYA, SIMIYU
Na WAF-Simiyu
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI, Mhe. Hassan Mtenga, amepongeza juhudi za Rais Dkt...
Heri ya mwezi mpya,
Sisi ni wataalamu wa mbao za aina mbalimbali zinazozalishwa nchini Tanzania. Tupo Dar es Salaam. Tunao ujuzi na uzoefu wa miaka mingi.
Kama inavyofahamika, shughuli za ujenzi...
Habari wana JF
Kwa anaejua au mwenyewe uelewa juu ya Gharama za kujenga frame ndogo kwaajili ya biashara. Kwa kutumia mbao laini anisaidie ufafanuzi tafadhar.
Karibuni...
Kuna watu wanalilia kufika dar kisa magorofa ya kariakoo na posta. Ila kiukweli Dar ni mji wa kishamba sana.
Kwa kweli watu wanaishintu kwa sababu ya tabu otherwise mhii wengi wangeshapakimbia...
Hii ni kama urembo zaidi kuliko uhalisia.. Ama kumbukumbu za tulikotoka.. Kizazi hiki hakina wasomaji wa vitabu tena😪 internet imechukua nafasi ya kila kitu
Nikikumbuka enzi za collection ya...
Huu si ubunifu wala usanifu wa kubahatisha wala kukurupuka.. Kila mkono uliogusa mojawapo wa hizi kazi akili yake ilikuwa imetulia na roho ni nyeupe...
Huwezi kufanya hizi kazi kwa ufanisi huu...
Habari wadau, naomba msaada wenu kwa kitu kinachonichanganya kidogo. Nyumbani kwangu sijamaliza ujenzi so kwa suala la choo na bafu familia nzima tunatumia kile cha public. Hiki cha masters tayari...
Ujio wa wachina na viwanda vyao umeturahisishia maisha kwenye sekta nyingi na mambo mengi.. Vitu tulivyokuwa tunatumia gharama kubwa kuvimilki siku hizi sio ishu tena
Kwa malighafi zilizopo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.