Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI imepongeza ubunifu wa Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini (TARURA) katika ujenzi wa daraja la kamba za chuma kwenye barabara ya Tipri, Halmashauri ya Mji wa...
Wakuu jamii forum kisima Cha maarifa nataka nianze ujenzi nisaidieni ramani nzuri ya kisasa chumba sebule jiko choo ndani nitashukuru sana wakuu na ikipendeza kama mafundi mpo mpate na kazi...
KAMATI YA BUNGE YA TAMISEMI YATAKA ULINZI WA DARAJA LA MAWE GARKAWE
OR-TAMISEMI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI, imewataka wananchi kuacha shughuli za kilimo kando ya mto ulipojengwa...
Habari Wakuu, natumai mnaendeea vizuri.
Msaada tutani kwa mwenye kufahamu dawa za Kichina zinasaidia kushusha maji kwenye shimo la choo kinachojaa haraka.
Serikali imedhamiria kuboresha Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuijenga upya ili kuwezesha huduma zote kutolewa ndani ya jengo moja litakalokuwa na vitanda 1,757 kutoka 1,435 vya sasa ambapo...
Never forget the ring beam. Never skip it either.no matter how broken. It's like a belt in your trousers 👖 or the elastic in your underwear 🤔. With them (it) things will fall apart.
Your house is...
RC LINDI, TELACK: MIRADI YA ELIMU IKAMILIKE KWA UBORA UNAOTAKIWA
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mh. Zainab Telack amewataka Halmashauri ya Mtama kuhakikisha wanawasimamaia fedha za miradi ya ujenzi wa...
Kwa ufupi.
Hii list ya materials ya plumbing, imekuwa ikinunuliwa sana kwa makadilio ya nyumba ya vyumba vitatu,
Sasa kwa aliye kwenye ujenzi unaweza kupata list hii au ikaongezeka kidogo au...
Money talk bandugu . ukiwa nazo huhitaji kubanana na watoto sebuleni.. Wala weekend huhitaji kuikimbia nyumba yako.. Pembeni ya garden yako unaweza kuweka kitu kama hiki❤❤❤
Kwenye ujenzi wa nyumba hakuna kitu kinakula gharama na kuleta stress karma 'finishing'
Leo tutaangazia kipengele cha urembo wa kwenye kuta.. Hapa badala ya kubandika mapichapicha yenye gharama...
Habari wanajukwaa,
Naomba mwenye uzoefu wa kujua eneo la sq metre 400 (20×20) linahitaji nguzo ngapi na waya kiasi gani kwa kujenga fence (uzio)?
Asanteni
Habari za jioni ndugu zangu,
Naomba kuuliza kiwanja chenye ukubwa wa 15x15 kinaweza kutosha nyumba ya vyumba vitatu sebule jiko na choo Kwa wanaojua naombeni msaada mnijulishe wadau maana Kuna...
Hii ni kazi niliyofanya, picha ni kabla ya na baada ya kufanya kazi.
Nilianza kwa kupiga ukuta plasta, nikamalizia kwa kuweka vipande vya tailiz chini.
Ukihitaji nipigie 0624254690
Nimemaliza Kupiga Mbao, site yangu wameshakuja watu wa sales wa makampuni mbalimbali, na wamenipiga saundi za kutosha.
Mafundi nao waliopiga mbao wamenishauri ila walivyoona nimepagawa sielewi...
Leo nimefanya window shopping kwenye moja ya kiwanda kikubwa cha mabati nimeshangazwa sana kukuta bati zimepanda bei sana! Sijui tunaelekea wapi na nn hatma ya hili.
Bati ya gauge 30 leo hi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.