Nahitaji kuchukua mtambo wa umeme wa jua wa kulipia kidogo kidogo.
nahitaji mtambo wa taa tano (bila TV)
Makampuni ambayo ni machaguo yangu ya mwanzo ni Sunking na Dlight.
Niliyogundua wakati...
Hizi ni baadhi ya picha za majengo mbalimbali mitaani kutoka uwanja wa Vita uko ukraine.
Kinachoshangaza hata majengo ya serikali (magorofa Hadi nyumba za Kawaida) Nayo hayana beams Wala columns...
RAIS DKT. SAMIA: BARABARA YA BAGAMOYO - PANGANI - TANGA NA DARAJA LA PANGANI KUUFUNGUA MKOA WA TANGA KIUCHUMI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa, Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Nyumba ya mbao kuna vitu havitakuwepo. Gharama ya kubeba tofali ulikozinunulia au kama umefyatulia nyumbani hakutakuwepo na wasaidizi wengi wa fundi unaweza kuwa mwenyewe msaidizi.
Kokoto na...
Tunauza mbao zilizokomaa zadawa buguruni
2/2 2900
2/4 5000
1 by 8 12000
1by10 16,000
Misumali inch 4 bei 3500
Misumali ya bati ya rangi pakt kg1 bei 10,000
..
Zote hizo ni ft 12...
RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI BARABARA YA BAGAMOYO - PANGANI - TANGA NA DARAJA LA MTO PANGANI (M 525)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan...
RAIS SAMIA ASIKIA KILIO CHA WANANCHI BARABARA YA SONI - BUMBULI - OROGWE
Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesikia kilio cha wananchi wa Bumbuli, mkoani Tanga kuhusu ujenzi wa barabara ya Soni -...
RAIS SAMIA: SERIKALI INAENDELEA NA UJENZI BARABARA YA AMANI - MUHEZA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali inaendelea na ujenzi wa...
Zijue aina za tiles zinazozalishwa na goodwill
Habari za muda huu wakuu leo nimekuja kwenu kwa kuwaelezea kwa uchache kuhusu tiles za Goodwill
Kwanza kabisa goodwill ceramic ( T) company limited...
Hivi vinafaa zaidi kwa watoto, sehemu za jumuiya ama kwa wapenda ng'areng'are.. Usukumani hivi utauza sana (joke)😂
Kama si mpenzi wa rangirangi hivi havikufai kabisa.. Vipite kama huvioni😂
HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA TANGA BOMBO KUWA NA MUONEKANO MPYA
Serikali kupitia Wizara ya Afya imejipanga kuanza ujenzi na ukarabati wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga (Bombo) kwa kuanzia na...
Hizi ni picha za mtandaoni.. Hivyo si lazima uagize nje kwa gharama kubwa ama uingie dukani
Ukipata vipimo sahihi kulingana na ukubwa wako na ukawapata mafundi mahiri basi unaweza kupendezesha...
Wakuu mko vizuri?
Kuna kipindi nilileta thread humu ya kujaribu kupata ideas ya namna ya kuiwekeza shs milioni 64 niliyokua nimei save, kwenye link hii hapa.
Nimekuja hapa kuleta mrejesho wa...
Nimejaribu kuwaza namna na mpangilio wa Makazi haswa kwa uzoefu wangu kuishi Jiji la Dar. Inakuwaje huwezi kuona hili ni eneo flani wanaishi matajiri na halipaswi kuwa na viklabu uchwara au maduka...
Kuna siku ndugu yangu anayeishi uingereza aliniambia, inashangaza sana kwa nchi kama Tanzania ambapo mchanga unapatikana kila mahali halafu bado kuna watu hawachangamki kujenga na kumiliki nyumba...
Hapa nitaelezea Sababu za msingi zinazosababisha majengo yanayofanana kujengwa kwa gharama tofauti.
Tuzungumzie mchoro wa nyumba ya vyumba vitatu vya Kulala kimoja kati ya hivyo ni master...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.