Tanzania Kwa ujumla Makazi yake mengi ni holela na hayajafuata mipango Miji yaani squatters ambapo asilimia 67% ya majengo/Makazi yote Nchini ni Uswahilini yaani Slums.
Pamoja na hali hiyo mbaya...
Hi Great Thinkers.
NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA.
MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya...
TUNATOA HUDUMA ZA ujenzi wa namna yoyote kama ilivyo kwenye tangazo. Pia tunatengeneza garden za KISASA kwa gharama nafuu Sana. Piga namba 0714693107 au 0764068964 Tukuhudumie
WAGONJWA 6,847 WATIBIWA HOSPITALI YA WILAYA HANDENI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema wagonjwa wapatao 6,846 wamepata huduma za...
Hivi vigoda/stuli ni very special. Hakuna msumari hata mmoja uliotumika na bei yake ni kichaa.. Na wengi huvitumia kama urembo na si matumizi halisi ya kukalia.. Hivi havipigwi polishi bali...
NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA.
MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa...
Wakuu naomba kujua sebule yenye vipimo hivo inaingia tiles box ngapi? Na nahitaji tiles ambazo ni affordable kwa mlala hoi lakin imara urembo SIO kipaumbele, vilevile gharama za ujenzi zote pamoja...
Great thinkers.
Mwenyeji au anaeyelewa usalama na hatari zilizopo hapo atujuze. Bongo hii pamejaa makanjanja wengi sana.
Ili kuepuka kupigwa kwenye ununuzi wa aridhi tufumbueni macho...
Nimekua nikiangalia ramani nyingi sana za nyumba zinazoandaliwa na professionals wetu wengi kwa industry lakini bado nagundua kuna shida,,
1. Ramani zinaandaliwa pasipo kuzingatia proper...
Waziri Mhagama Akagua Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama Februari 22, 2025 amefanya ziara ya kukagua miundombinu pamoja na huduma...
Habari za jioni wakuu. Kati ya mbao , MDF na marine board ni ipi material imara kwenye kutengeneza kabati?
Nimeenda kwa mafundi nataka wqnitengeneze kabati ila kila mmoja ana material tofauti...
Wanaosema kujenga ni kuzika pesa utawakuta wanatoa mifano ya kina Bakhresa, Mo Dewji hivi kwa akili yako kuna tajiri hana nyumba?
Hivi unasemaje kujenga ni kuzika pesa wakati bei ya nyumba...
Habari, Nina shida na ndugu Mshana Jr. Ewe Mshana Jr nmekutafuta PM Lakini naona umeifunga. Samahani sana ukiona uzi huu naomba unitext please.
Shukran.
Salaam....
Ni vijana wengi sana wamepanga lakini wanakaa vijistoo yaani wanashindwa kupanga vyumba vya hadhi yao au nyumba nzima.
Kwa mimi binafsi yangu napendekeza kijana atoke kukaa kwenye...
Kama mada inavojieleza, kijana anaeanza kujipata jijini Arusha, ni mitaa gani rafiki kuanzia maisha na kujenga kabisa
Urafiki ninaoongelea namaanisha upatikanaji wa viwanja, huduma za kijamii, na...
TUENDELEE KUKUMBUSHANA - UJENZI WA SEKONDARI MPYA VIJIJINI MWETU
Jimbo la Musoma Vijijini lenye jumla ya Kata 21 lina:
*Sekondari 26 za Kata/Serikali
*Sekondari 2 za Madhehebu ya Dini
I -...
TANROADS YAPOKEA TUZO YA KIMATAIFA KUTOKANA NA MCHANGO WAKE WA KUBORESHA USALAMA WA BARABARA (SAFER ROAD)
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.